Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
- #21
Mkuki kwa nguruweIla wewe jamaa, limbwata la chaijaba naona limekukamata kikamilifu. Hata kama unakula kwake, sio kwa shobo hili. Unakuwa na chuki kaliiiiii kwa kila unaeona anataka kumpiku DOMO, watu waache kuishi au kufanya vitu kwa kuwa tu watampiku DOMO ?
- Unaleta thread za kuponda mara ASLAY, mara KIBA, mara DARASA
JINGALAO!