Ukweli Kuhusu Kinywaji cha Ali Kiba Mofaya

Ukweli Kuhusu Kinywaji cha Ali Kiba Mofaya

Nadhan utakuwa umeelewa sasa..... Alikiba ni partner halali wa MoFaya na sio balozi..... Na ndio mana mpk sura yake ipo kweny kopo la kinywaji hicho......
advocate.fi-20180430-0001.jpg
 
Watanzania tuna roho mbaya sana....yaani roho zetu zinaumia sana tunapomuona mwenzetu anapiga hatua kujikwamua......haya mambo yapo kuanzia majumbani mpaka maofisini...ni roho za ajabu sana.....

Labda tu niwakumbushe vijana kuwa chuki dhidi ya waliofanikiwa au kupiga hatua mbele kwenye maisha yao hakiwezi kuboresha maisha yako badala yake ni kwamba kujifunza kupitia wao au kujikita kwenye mambo yako yanayokuletea mkate wa kila siku........
Hata wanaompinga JPM ni roho mbaya tu
 
Mengi anatumia brand name tuu lakini bidhaa anazo zalisha ni za kwake hivyo analipia brand name.....
Alikiba hana tofauti na King Majuto anavyo wekwaga kwenye matangazo ya kila bidhaa...
Yaani wewe unakuwaga na chuki mbayaa na Kiba
 
Pongezi kwa Ali Kiba kwa kuingia kwenye biashara,iwe ni ya ubalozi au umiliki cha msingi ni kujua umuhimu wa uwekezaji kwenye biashara.

Nimeona watu wakianza kupotosha umma na kuanza kujikweza na kuanza kuponda wengine kwa kusema Ali ndio mmiliki halali na sio balozi wa hicho kinywaji
lakini ni vyema watu hao wakafahamu kuwa MOFAYA ni Kinywaji kinachomilikiwa na Kampuni ya South Africa na wana product mbali mbali za kinywaji hicho ikiwemo Mofaya Premium,Mofaya Carb O,Ultimate.... View attachment 761078 View attachment 761079 View attachment 761080 View attachment 761081
SOMA NA HII PIA........South African radio DJ, recording artist and television presenter DJ Sbu has created a new energy drink brand called MoFaya.

Writing about the new drink on Facebook, the entertainer said: “#MoFaya to burn & melt all the NONSENSE in these fridges. Skhathele. Finally a local BRAND is here.

“#MoFaya has been 3 years in the making. Making sure we comply with all the health standards & regulations.”

The new energy drink was founded by a team of eight South Africans, with a collective 97 years of working experience, and every can sold will go towards educating a child in the region.

“#MoFaya will take at least 100 students to university/year starting 2016 & create at least 100 entrepreneurs/province per year.”
Mkuu unatuchanganya ujue maana unasema si mmiliki wakati mofaya wanasema kiba ni mmiliki tumuamini nani?
 
IMG_4437.JPG
haya bisheni na iyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13]
 
Mengi anatumia brand name tuu lakini bidhaa anazo zalisha ni za kwake hivyo analipia brand name.....
Alikiba hana tofauti na King Majuto anavyo wekwaga kwenye matangazo ya kila bidhaa...

IMG_4437.JPG
utakufa kinywa wazi [emoji23][emoji23]
 
Kajitahidi lakini manake bora alivyoiga mwenzake simba kwenye pilika pilika za kutumia umaarufu kupata pesa
 
Kuwa balozi pia sio mbaya maana still ana share yake anapata pale yaani halali njaa kwa ufupi kuliko ww unaekaa nyuma ya keyboard unaponda na kutukana
 
Back
Top Bottom