edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 981
Hiyo Mofire south africa ni kitambo tu kiba atakuwa ni balozi tu wa hicho kinywaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ni Chake,ila tuambie kiwanda kinapatikana wapi?Kwa Tanzania ni chake. Ni sawa na coke pepse business . Mengi ana share zake na anapata. Kwa ufupi ni chake
Kinachofurahisha hawa watu leo wamesahau walivyokuwa wanamponda Diamond kuwa mali si zake,bahati nzuri mfalme wao nae kapita humohumo hawana cha kusema zaidi ya "mna chuki" hahahahaAhahaaaah...
Leo kazi mnayo..!
Hizi timu kuna wakati huwa zinafurahisha sana..!
Kama nawaona vile timu Diamond watakavyolivalia njuga hili jambo huko Instagram..!!!
Zile comments zako kwenye ule uzi wa Siku ya Kiba tunazo...usiwe nyumbuKiwe chake kisiwe chake ,ila cha muhimu anaingiza ela basi.
Yoyote yule awe Balozi au awe mmiliki muhimu anaingiza Mpunga basiiii.Pongezi kwa Ali Kiba kwa kuingia kwenye biashara,iwe ni ya ubalozi au umiliki cha msingi ni kujua umuhimu wa uwekezaji kwenye biashara.
Nimeona watu wakianza kupotosha umma na kuanza kujikweza na kuanza kuponda wengine kwa kusema Ali ndio mmiliki halali na sio balozi wa hicho kinywaji
lakini ni vyema watu hao wakafahamu kuwa MOFAYA ni Kinywaji kinachomilikiwa na Kampuni ya South Africa na wana product mbali mbali za kinywaji hicho ikiwemo Mofaya Premium,Mofaya Carb O,Ultimate.... View attachment 761078 View attachment 761079 View attachment 761080 View attachment 761081
SOMA NA HII PIA........South African radio DJ, recording artist and television presenter DJ Sbu has created a new energy drink brand called MoFaya.
Writing about the new drink on Facebook, the entertainer said: “#MoFaya to burn & melt all the NONSENSE in these fridges. Skhathele. Finally a local BRAND is here.
“#MoFaya has been 3 years in the making. Making sure we comply with all the health standards & regulations.”
The new energy drink was founded by a team of eight South Africans, with a collective 97 years of working experience, and every can sold will go towards educating a child in the region.
“#MoFaya will take at least 100 students to university/year starting 2016 & create at least 100 entrepreneurs/province per year.”
Hata mimi pia nikawaza kama wewe!😀😀Hahaaaa. Na mie nimejiwazia kama wewe ujue.
Samahani Simba hajapita njia za Kiba yeye ana tv station mbili na radio na karanga na perfume na studio na label kubwa Africa nzima, kiba anapromote kinywaji cha Mofaya.Kinachofurahisha hawa watu leo wamesahau walivyokuwa wanamponda Diamond kuwa mali si zake,bahati nzuri mfalme wao nae kapita humohumo hawana cha kusema zaidi ya "mna chuki" hahahaha
Sioni kibaya nilichozungumza, kama kipo kiweke hapaZile comments zako kwenye ule uzi wa Siku ya Kiba tunazo...usiwe nyumbu
Ahahaaa halafu kibakuli ndio balozi mashuhuri. Alianza na tembo saiv kinywajihakuna ubaya kiongozi ila naona kuna jamaa wameanza kujiona wako juu sana huku wakitupa kijembe kwa hashtag [HASHTAG]#NoUbalozi[/HASHTAG]
Kama Diamond KarangaKwahiyo neno balozi halitakua kitu cha ajabu tena..!
Asante kwa taarifa Kiongozi..!
Bora leo mmeanza kupata akiliYoyote yule awe Balozi au awe mmiliki muhimu anaingiza Mpunga basiiii.
Umiliki wa biashara wa kisasa umebadirika sana, hakuna tena kusimama peke yako mnachanganya nguvu ili kuzikabili changamoto mbalimbali za kibiashara.
Kibongobongo eti uwe na biashara unamiliki peke yako!!!!!!!!.