Ukweli Kuhusu Kinywaji cha Ali Kiba Mofaya

Hiyo Mofire south africa ni kitambo tu kiba atakuwa ni balozi tu wa hicho kinywaji
 
Mange itabidi amsaidie ku promote hii bidhaa coz ali ni mvivu sana kazi zake mwenyewe zinamshinda kuzitangaza
 
Kwa Tanzania ni chake. Ni sawa na coke pepse business . Mengi ana share zake na anapata. Kwa ufupi ni chake
Sawa ni Chake,ila tuambie kiwanda kinapatikana wapi?
 
Ahahaaaah...
Leo kazi mnayo..!

Hizi timu kuna wakati huwa zinafurahisha sana..!
Kama nawaona vile timu Diamond watakavyolivalia njuga hili jambo huko Instagram..!!!
Kinachofurahisha hawa watu leo wamesahau walivyokuwa wanamponda Diamond kuwa mali si zake,bahati nzuri mfalme wao nae kapita humohumo hawana cha kusema zaidi ya "mna chuki" hahahaha
 
Yoyote yule awe Balozi au awe mmiliki muhimu anaingiza Mpunga basiiii.
Umiliki wa biashara wa kisasa umebadirika sana, hakuna tena kusimama peke yako mnachanganya nguvu ili kuzikabili changamoto mbalimbali za kibiashara.
Kibongobongo eti uwe na biashara unamiliki peke yako!!!!!!!!.
 
Ni ushamba na ujinga wa ALIKIBA NA DIAMOND kuleta products zao wakiipa majina yao. Siyo fair hata kidogo kwasababu anayekupenda leo kesho atakuchukia na yakitokea hayo wataotumia hiyo kinywaji yako kwisha habar. Wajifunze kutafuta brands name ambazo hazileti ukakasi wa kibiashara. Wamuulize Lady Jay Dee na maji yake kama alifikia wapi na hatima yake? Bado hawajifunzi kwa akina Azam na Barkresa kwenye PRODUCTS zao, pamoja na umarufu wao lakini bidhaa zao hawajaipa majina yao halisi au majina ya watoto wao.

Huyo Kiba asubiri wenye leseni ya MOFAYA watakavyomfilisi soon kwa kutumia Brand ya watu alafu eti unajiongezea kajina kako, pambaffffffffffffffffffffffffffffffffff
 
Kinachofurahisha hawa watu leo wamesahau walivyokuwa wanamponda Diamond kuwa mali si zake,bahati nzuri mfalme wao nae kapita humohumo hawana cha kusema zaidi ya "mna chuki" hahahaha
Samahani Simba hajapita njia za Kiba yeye ana tv station mbili na radio na karanga na perfume na studio na label kubwa Africa nzima, kiba anapromote kinywaji cha Mofaya.
 
Unalusha mawe nyuma ya ukuta. Umeonwa na wenye maono
 
hakuna ubaya kiongozi ila naona kuna jamaa wameanza kujiona wako juu sana huku wakitupa kijembe kwa hashtag [HASHTAG]#NoUbalozi[/HASHTAG]
Ahahaaa halafu kibakuli ndio balozi mashuhuri. Alianza na tembo saiv kinywaji
 
Bora leo mmeanza kupata akili
 
Aisee, maadam kuna jina lake hata akiwa balozi ni mafanikio.
Big up Kiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…