Huwezi fananisha habar za Mars na wewe ulipotoka ulitokatokaje.
Nini kuingia labor il upewe mtoto wako? Naamin bado haujaoa, nakuombea ukishaoa mkeo apate uchungu mkiwa wewe na yeye tu ndani tena mtoto atoke means wewe ndio umzalishe halaf uje kutupa maexperience hapa, kama hata huo mkono utaunyanyua kuandika chochote.
Inaonesha ubishi ni kitu unapenda , nimekuuliza swali rahisi umeniletea porojo mingi.Naamini wengi hawajui gender yangu.
Mimi ni (she) mama wa watoto kadhaa so nimeshaingia labour mara kadhaa, nina experience ya uchungu na kisu.
Nafkiri cha msingi mheshim sana mama.
Kuna mwingine anaweza pata labor pain ya kuja na kuacha huyo aweza umwa hata wiki.
Wanaume mkikaa huko nje mnafikiri mwanamke akiwa huko ndani (labor) anakuwa na option sana eti oohhhh tupo private tunalipa hela nyingi.. wewewe. .. nani kasema!!!
Cha msingi akiingia huko mkeo piga magoti mwombe Mungu wako atoke salama, na kama unataka kuingia wee ingia ukitoka ngamazia vile vile.
Nani aliyewaambia uchungu unajulikana unapoanza ili mama ajipange masaa sita kabla asile.????
asakuta same
Huyu kichanga nae ilikuwa emergency csec. Issue ya cord shingoni.No labour pains but I fucking hate the spinal injection.Thanks for ur advice but Alhamdulillah. No more for me.
Ile epidural si mchezo. Unajua mara ya kwanxa nilushaumwa sana so nikienda theatre nilikuwa nisha surrender.Karucee zile sindano ni balaa..na ndio maana baadhi ya wanawake huwa wanasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo. Mi napenda ile style ya kulazwa moja kwa moja, na ndo nilifanyiwa mara ya kwanza. Ngoja mtaalam asakuta same atuambie bongo hamna option zaidi ya ile sindano ya kwenye uti wa mgongo na kufanya operation mtu akiwa AWAKE?! Alafu na mie niliumwa uchungu for days, ijumaa mpaka jumatatu ndo chupa ilipasuka na ndo nikaenda hosp na bado njia haikufunguka so c section ikahusika for the second time. Kama ningeenda mapema si wangenipa tu dawa za ku-speed uchungu?!
Nikirudi kwenye mada kuu...
Mie sijaexperience hizo vitu maana nimeambulia c section tu. Ya kwanza kwasababu ya Eclampsia dizaini ya kupewa maji ya uchungu kama aliyoongelea babu Dark City na ya pili sababu njia ilikataa kufunguka japo nilishaumwa uchungu siku tatu.
Masaa sita kabla nahisi kama ataishiwa nguvu hivi njaa halafu tukio lenyewe linahitaji nguvu.
mkuu ikitokea ulw uchungu wa kuja na kukata kama inashtua flani hivi hata msosi huwezi utaman ndugu sema kila mtu ana experience tofauti na mwenzie
Inaonesha ubishi ni kitu unapenda , nimekuuliza swali rahisi umeniletea porojo mingi.
Hicho unachozungumzia kukaa kwenye labor pain kwa wiki nzima hakipo.
Kama upo vizuri Google "partogram" ujifunze ni nini ili ujue wakunga na madaktari wanamanage vipi process ya labor mpaka kufanya maamuzi na siyo kuleta hadithi za kusadikika.
Hahahaaaa a. .........
Mie ninaezungumzia from experience nina hadithi za kusadikika, wewe unayeleta kutoka google ndio unatoa fact?? Sio mchezo.
Karucee zile sindano ni balaa..na ndio maana baadhi ya wanawake huwa wanasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo. Mi napenda ile style ya kulazwa moja kwa moja, na ndo nilifanyiwa mara ya kwanza. Ngoja mtaalam asakuta same atuambie bongo hamna option zaidi ya ile sindano ya kwenye uti wa mgongo na kufanya operation mtu akiwa AWAKE?! Alafu na mie niliumwa uchungu for days, ijumaa mpaka jumatatu ndo chupa ilipasuka na ndo nikaenda hosp na bado njia haikufunguka so c section ikahusika for the second time. Kama ningeenda mapema si wangenipa tu dawa za ku-speed uchungu?!
Nikirudi kwenye mada kuu...
Mie sijaexperience hizo vitu maana nimeambulia c section tu. Ya kwanza kwasababu ya Eclampsia dizaini ya kupewa maji ya uchungu kama aliyoongelea babu Dark City na ya pili sababu njia ilikataa kufunguka japo nilishaumwa uchungu siku tatu.
Hahahaaaa a. .........
Mie ninaezungumzia from experience nina hadithi za kusadikika, wewe unayeleta kutoka google ndio unatoa fact?? Sio mchezo.
sijui umekurupushwa wapi wewe ng'ombe, exprience ipi uliyoitoa zaidi ya kurukia watu na ujuaj mbuz bata.
daktari asakuta same achana na huyu shetani jini, endelea toa darasa wengine wanaelimika humu.
Wewe unaweza kuwa umezaa watoto zaidi ya 300 niliowafanyia operesheni?
Wewe unaweza kuwa umezaa zaidi ya watoto 700 niliowazalisha mama zao baada ya kupata complications za labor?
Usiwe mbumbumbu kutuletea vieksipiriensi vya watoto wako watatu kubishana na ulimwengu mzima.
Wewe unaweza kuwa umezaa watoto zaidi ya 300 niliowafanyia operesheni?
Wewe unaweza kuwa umezaa zaidi ya watoto 700 niliowazalisha mama zao baada ya kupata complications za labor?
Usiwe mbumbumbu kutuletea vieksipiriensi vya watoto wako watatu kubishana na ulimwengu mzima.
Karucee zile sindano ni balaa..na ndio maana baadhi ya wanawake huwa wanasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo. Mi napenda ile style ya kulazwa moja kwa moja, na ndo nilifanyiwa mara ya kwanza. Ngoja mtaalam asakuta same atuambie bongo hamna option zaidi ya ile sindano ya kwenye uti wa mgongo na kufanya operation mtu akiwa AWAKE?! Alafu na mie niliumwa uchungu for days, ijumaa mpaka jumatatu ndo chupa ilipasuka na ndo nikaenda hosp na bado njia haikufunguka so c section ikahusika for the second time. Kama ningeenda mapema si wangenipa tu dawa za ku-speed uchungu?!
Nikirudi kwenye mada kuu...
Mie sijaexperience hizo vitu maana nimeambulia c section tu. Ya kwanza kwasababu ya Eclampsia dizaini ya kupewa maji ya uchungu kama aliyoongelea babu Dark City na ya pili sababu njia ilikataa kufunguka japo nilishaumwa uchungu siku tatu.
Ukizungumzia ulimwengu daktari, kumbuka pia wale wa kijijini wanaozalishwa na wakunga wa jadi, je wana option ya uchungu uwe maximum ya muda gani?
Wanaojifungulia hospital za serikali ambao wala hawaaford hizo gharama za operation, ukimwambia operation ni kama umemtangazia kifo.
Usibase kwa wanaojifungulia regency, agha khan, muhimbili fast track n.k.
Ila dakitari una temper balaaa.