futa kauli....you can't talk about engineers like thathuyo mkurugenzi mpya atakuwa ni wale wenye PHD za kuunga unga,maana haingii akilini asijue hasa nini maana ya land equity,au usikute alikua mhandisi wa mabalabala,anachojua ni kutandaza lami tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
futa kauli....you can't talk about engineers like thathuyo mkurugenzi mpya atakuwa ni wale wenye PHD za kuunga unga,maana haingii akilini asijue hasa nini maana ya land equity,au usikute alikua mhandisi wa mabalabala,anachojua ni kutandaza lami tu
mkuu sio utapeli ndo dunia ya biashara inavyoenda,watu wanachangia idea tu kwenye miradi na wanavuna mabilioni,Yaani Azimuo hana hata mia. Maana hiyo 35% ya hela ya mtaji ambayo alitakiwa atoe,alitaka kuikopa NSSF yenyewe. Yaani at the end NSSF ingekuwa imejenga mradi wote kwa hela zake yenyewe halafu hao matapeli wangepewa 55% share ya mradi bila kutoa hata shilingi moja. Halafu watu wanateteta upuuzi hapa
Uliyosema ni kweli lakini ni land owner mpumb'avu tu ndie anaweza kukubali kuachia ardhi yake for real estate development basing land market value... no one can accept that especially kama land owner nae ni real estate developer cuz' anafahamu ni namna gani haya mambo yanafanyika! Mwenzangu mimi ndie anaweza kukubali kuachia ardhi under market value basis.Utetezi wako ni mzuri sana Ikiwa tu valuation/appraisal ilifanywa kwa kuzingatia share contribution ya parties. Ila ikiwa kilichofanyika ni appraisal for NSSF assets for accounting purpose where market value is the basis, then utetezi wako unakuwa null and void.
ha ha ha ha,kwani injinia ni nini mkuu,injinia ni fundi makanika tu,au fundi uashi,ama fundi mchundo aliyefundishwa darasani,yaani hata mhitimu wa la saba unaweza kumwelekeza bila kupitia darasani akawa injiniafuta kauli....you can't talk about engineers like that
huna ulijualo kuhusu engineering mkuu ..ni heri ukae kimya kuliko kuendelea kutoa mashudu...utaaibikaha ha ha ha,kwani injinia ni nini mkuu,injinia ni fundi makanika tu,au fundi uashi,ama fundi mchundo aliyefundishwa darasani,yaani hata mhitimu wa la saba unaweza kumwelekeza bila kupitia darasani akawa injinia
kumbe ni lecture huyu mtu?,ndo maana wahitimu wetu wanamaliza vyuo hawajui hata umombo,kwa malecture kama huyu,it means anajua kushika chaki na duster na si kuongoza shirika kubwa kama NSSF
Elungata tutolee hizi justification za wizi, hakuna mwekezaje mwenye akili timamu anayeweza kukubali kiwanja cha 10m kiwe valued 400m (au 25m iwe 800m), hiyo ni zaidi ya 30 ya thamani ya soko, huu ni utapeli wa wazi.kijana wa leo ngoja nikupe explanation for dumb ,
imagine wewe una kiwanja cha heka moja hapo kibaha ambacho tusema thamani yake waweza muuzia mtu kwa milion 10,
wanakuja wawekezaji wanataka kuweka mradi wa kujenga maghorofa ya kupangisha na wanataka wakupe milion 10 uwaachie kiwanja,
unapiga hesabu ya mradi utakaowekwa hapo na kuona utakuwa na thamani ya bilion 100,unaona kuuza kiwanja kwa milion 10 utakuwa umewapa watu ulaji,
unakataa kuuza,wanakubembeleza hatmaye unakubali kuingia nao ubia na mnapanga katika mradi huo upewe hisa 20%,ambayo kama sikosei ni thamani kama milion 200.
Kumbuka mwanzo thamani halisi ya hiyo heka yako moja ni sh milion 10,
lakini kwasababu umeingia mkataba wa land for equit sasa thamani yako katika mradi huo ni milioni 200.
Ndicho kilichotokea,halafu watu wanatumia umbumbu wa watu kutojua haya mambo kwa kuwapaka watu matope kuwa kuna ufisadi,
sasa swali ukipeleka mahakamani hii kesi utashinda au ndo yaleyale ya Dowans
futa kauli....you can't talk about engineers like that
TUMEKUELEWA VIZUUUUURI,KUMBE NDIO MAANA YA KAULI ILEHivi tunaharibu ya zamani, siyo? Ndiyo tulishauriwa tusiharibu haya?? Maswali kwa mleta mada.
Naona taratibu tunaanza kumuelewa Mzee Vijisenti.Elungata tutolee hizi justification za wizi, hakuna mwekezaje mwenye akili timamu anayeweza kukubali kiwanja cha 10m kiwe valued 400m (au 25m iwe 800m), hiyo ni zaidi ya 30 ya thamani ya soko, huu ni utapeli wa wazi.
Tukichukua 775m iliyoliwa kwa kila acre, kwa acres 20,000 ni ela nyingi sana
775m * 20,000 = 15tr
Tukisema tuchukue acre 3000 tu ni
775m * 3000 = 2.3tr
Nyie watu mnafaa kunyongwa, yaani mnataka kupiga 2.3tr kwa makaratasi tu, hata tukiunganisha Richmond, Escrow na takataka nyingine inaweza isifike 2.3tr, Magu lazima azae na nyie, muandae ndoo tu za kwenda nazo.
Bado na hamu ya kujua mmiliki wa Azimio housing ni nani? Nani ana guts za kutaka kulitapeli shirika pesa nyingi hivi?
It is not the responsibility of the auditor to detect flaud, it's of managementCAG aliposema NSSF IS CLEAN alimaanisha nini na kama CAG report hiwezi kuaminika tena tumuamini nani tena , wakati bajeti yake ukaguzi ilikuwa 79b mwaka jana ikashuka hadi 40 mwaka huu sio haba hizo ni pesa nyingi sana kwa watanzania
Hapa hapa sasa mpaka CAG anafikia kusema everything is ok..!!where did he get the mandatory to say so while kunamapungufu ya kutiashaka,au unataka kutuambia kuwa kunamahala CAG haruhusiwi kukagua??Nakuuliza mleta thread. Market value ya hiyo ardhi iliyoripotiwa kwenye books of accounts za NSSF ni ngapi? Pia kasome what is market value, share value, investment value, na potential value and. How they are used. Usidandie tu Real Estate bila kujua ina maaanisha nini.
CAG aliposema NSSF IS CLEAN alimaanisha nini na kama CAG report hiwezi kuaminika tena tumuamini nani tena , wakati bajeti yake ukaguzi ilikuwa 79b mwaka jana ikashuka hadi 40 mwaka huu sio haba hizo ni pesa nyingi sana kwa watanzania