Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

Kwa wanauliza why NSSF wasinunue ardhi kigamboni. The answer is waulizwe NSSF wenyewe watoe majibu waliyompa CAG .

Why NSSF leaked the draft report but NSSF does not want to leak majibu?

Wanajua wataumbuka. CAG ni mtu makini asingetoa clean report Kama kuna madudu.

Pia audit ilifanywa jointly na kampuni ya kimataifa. Ernest and young wasingetoa clean report Kama majibu hayaridhishi.

Why NSSF wametoa draft report jf lakini hawataki kutoa majibu waliyowapa CAG na Ernest and young?
 
Mkuu unapothaminisha ardhi kuna vitu vinaangaliwa kama vinaendana na thamani halisi,kulikuwa na factors zipi zilizofanya thamani ya ardhi kupanda kiasi hicho? kumbuka ni lazima kuwe na existing factors ili kupandisha thamani ya eneo. Huwezi kusema hili eneo lina thamani kwa sababu chuo kikuu UDSM kitahamia hapa, ukamuuzia mtu kwa thamani ya chuo kikuu kuwa pale wakati hakipo. Kama hilo eneo lilikuwa wazi na wakalivalue kwa thamani isiyo halisi, hapo mtu anashtakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi. Huwezi kusema eneo hili milioni 800 wakati eneo linalopakana na hilo linauzwa milioni 25 na halipati wateja.
NSSF hawajauziwa hicho kiwanja,na infact bado ni mali ya azimio,Nssf wakitaka wanaweza kuondoa majengo waliyoanza kujenga ili jamaa waweke majaruba ya mpunga
 
Yaani Azimuo hana hata mia. Maana hiyo 35% ya hela ya mtaji ambayo alitakiwa atoe,alitaka kuikopa NSSF yenyewe. Yaani at the end NSSF ingekuwa imejenga mradi wote kwa hela zake yenyewe halafu hao matapeli wangepewa 55% share ya mradi bila kutoa hata shilingi moja. Halafu watu wanateteta upuuzi hapa
hana hata,unafikiri ardhi ni mchezo mchezo?,
azimio wametoa ardhi na kisha wamekubaliana pia atatoa 35 % ya gharama ya ujenzi,
haya Nssf wameanza ujenzi juu ya ardhi ya azimio,

haya,azimio wameanza kutafuta bank ili wakope nao waingize hiyo asilimia 35 kwenye mradi.

Ghafla bin vuu mhepele mmoja anaanza kusema ni ufisadi ufisadi,WTF?.

Hebu sasa mwenye risiti ya mauziano ya ardhi kati ya Nssf na azimio estate aweke hapa.

Mjue tu ardhi ile kisheria bado iko chini ya azimio na si nssf
 
SWALI:
The concept of land for equity hakuanza NSSF. Imeanzishwa na NHC tokea wakati wa Masebo then Marehemu Sang'anya then Madekwe na sasa Mchechu ameiendeleza. PPF TPDC TBA na wengineo wamefanya.

Why iwe dhambi kwa NSSF?

Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha!!!!!!
 
Pia kuna mradi ya kiwanda cha sukari bagamoyo which was approved by the cabinet . Land for equity .

The value of land 40% imagine 40% ......NSSF wametoa 20% only
 
Kaazi kweli kweli...nauheshimu sana ukweli. Ngoja ukweli utoke mbele...uongo ukae mbali
 
NSSF hawajauziwa hicho kiwanja,na infact bado ni mali ya azimio,Nssf wakitaka wanaweza kuondoa majengo waliyoanza kujenga ili jamaa waweke majaruba ya mpunga
hivyo vitu wataviondoa bure mkuu? na vitakua na thamani sawa? unajua maana ya share contract au joint venture contract?
 
Elungata tutolee hizi justification za wizi, hakuna mwekezaje mwenye akili timamu anayeweza kukubali kiwanja cha 10m kiwe valued 400m (au 25m iwe 800m), hiyo ni zaidi ya 30 ya thamani ya soko, huu ni utapeli wa wazi.
Tukichukua 775m iliyoliwa kwa kila acre, kwa acres 20,000 ni ela nyingi sana
775m * 20,000 = 15tr

Tukisema tuchukue acre 3000 tu ni
775m * 3000 = 2.3tr

Nyie watu mnafaa kunyongwa, yaani mnataka kupiga 2.3tr kwa makaratasi tu, hata tukiunganisha Richmond, Escrow na takataka nyingine inaweza isifike 2.3tr, Magu lazima azae na nyie, muandae ndoo tu za kwenda nazo.

Bado na hamu ya kujua mmiliki wa Azimio housing ni nani? Nani ana guts za kutaka kulitapeli shirika pesa nyingi hivi?
kwa mawazo yako unadhani hiyo azimio ni kampuni ngeni sana katika mambo ya real estate.

Hakuna hela ambayo nssf wamelipa kununua kiwanja kwa bei ya milion 800 kwa heka,mmekaririshwa,
kile kiwanja ni mali ya hiyo kampuni ya azimio
 
SWALI:
The concept of land for equity hakuanza NSSF. Imeanzishwa na NHC tokea wakati wa Masebo then Marehemu Sang'anya then Madekwe na sasa Mchechu ameiendeleza. PPF TPDC TBA na wengineo wamefanya.

Why iwe dhambi kwa NSSF?

Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha!!!!!!

Kila kitu kimeenda kadri sheria na taratibu zinavyotaka?
 
hivyo vitu wataviondoa bure mkuu? na vitakua na thamani sawa? unajua maana ya share contract au joint venture contract?
so kumbe unaelewa ni joint venture,sasa kwanini unaamini kuwa NSSF wamenunua hivyo viwanja kwa milion 800 kwa hekari,
kama wamenunua hicho kiwanja maana yake ni kuwa azimio hana chake pale na hawezi kuwa mbia,

which meanz kijana wa kileo umeingizwa chaka na hawa maprofesor uchwara,use your common sense maan
 
Mkuu kumbe hujaelewa mada, sio kwamba NSSF wamenunua ila wameingia kwenye ubia na hao Azimio huku wakikubali wakithaminisha viwanja kwa Milioni 800 kwa kila kiwanja. Mfano mm na wewe tunaingia JV, wewe unaeneo mm nina hela ya materials, unaniambia thamani ya eneo lako ni milioni 10, mm nakubali lakini kiuhalisia thamani ya eneo lako ni elfu 10 tu!! hicho ndo kilichotokea.
 
mimi hiyo yote najua ila wasioujua watadhani nsssf kweli wamenunua heka moja kwa milioni 800,

wakati kumbe wamecalculate kutokana na thamani za hisa,

hii wala si ajabu,Rugemalila aliwapa IPTL shamba lake la mihogo heka 2 kule tegeta ,wakasimika majenereta yao,
vuup Ruge akawashareholder.

Na Pap walipotaka kumdhulumu mgao wake kwa maelezo kuwa hajachangia hata waya kwenye mtambo,aliwapeleka mahakmani,akawashinda na wakamlipa karibu bilion 100,

sasa jiulize hivi heka 2 zinaweza kuuzwa kwa bilioni 90
 
Tunajua wewe ni mmojawapo wa wanufaika sasa majibu yako huku hata kusaidia nenda mbele ya kamati waeleze hayo,

[HASHTAG]#adobe[/HASHTAG] mwambieni boss wenu apige kazi! mwenziwe Dau alikuta shirika dogo sana akalinyanyua kwa kipaji chake na msaada wa Mola wake mpaka likawa giant organization, na yeye asitafute sababu mara hivi mara vile! aendelee hapo alipokuta!

Imeshafika mienzi kadhaa sasa tokea amewekwa hapo! ajitafakari amelifanyia nini shirika mpaka sasa hivi ! ameadd value gani kwa shirika! mwambie aache bla bla achape kazi ajenge viwanda kama alivoamrishwa na mabosi wake vyenye tija ili na yeye mpaka siku anaondoka hapo tujue ameadd value gani kwa shirika!

Mwambieni mienzi inakimbia! mpaka sasa amefanya lipi na lipi?
 
Na kuna kale kamradi kengine kule kama unaelelkea kimbiji kamezuiwa kuendelea soon baada ya jamaa kula kiapo last yr, naskia tatizo ni kwamba kipindi kile aliambiwa ye ni "mbwa" so hawezi kuzuia chochote labda "mwenye mbwa"
 
kwa mawazo yako unadhani hiyo azimio ni kampuni ngeni sana katika mambo ya real estate.

Hakuna hela ambayo nssf wamelipa kununua kiwanja kwa bei ya milion 800 kwa heka,mmekaririshwa,
kile kiwanja ni mali ya hiyo kampuni ya azimio
Elungata hizi ni justification za kitoto, deal lipo wazi kuwa ardhi itakuwa ni sehemu ya hisa za Azimio na wakaithaminisha kwa kila acre ni 800m wakati market value ya acre ni 25m. Kama hizo hisa za 20% zilikuwa zinatokana na ardhi ambayo imethaminishwa kwa utapeli jua hizo hisa zitarudi tu NSSF, na wahuni wote lazima muende Segerea.
 
Back
Top Bottom