Ukweli kuhusu sakata la Bandari na mkataba mbovu; Wananchi wamewaelewa CHADEMA kuliko CCM. Kila kona wananchi wanasema Mama anauza Tanganyika

Mtu mwenye akili timamu unaweza kuuliza upuuzi kama huu? Hujui hata gas inabebwa na meli! Mgense ni mgense tu
Tupe uthibitisho wa meli zinazobeba gas hapa Tanzania? Zinabebea bandari ipi na iyo gas inapekekwa wapi?
 
Wakati Magufuli anasema mbele yenu CCM kuwa gas yetu imeuzwa, alimuonyesha nani transaction ya hayo mauzo kama udhibitisho?
Ccm na wafuas wao ni wapumbavu ndio maana chongolo alikuwa anazunguka na makuwad wenzie kina jerry silaa ili wapige pesa za hongo kwa kisingizio cha mikutano mwisho wa siku wamesanda na kutepeta huku wanaume wa shoka kina lissu wakitawala dimba, kwasasa kanda ya ziwa yote ni chadema tupu ccm kwishaa walijaribu kuleta wanengua viuno pale mwanza siku ya mkutano wa chadema lakin wapiii wanengua viuno wakaangukia pua.
 
Yaani sakata la Bandari limewacha hoi.
 
Kwani hiyo iliyokuwepo ilijengwa na nani
 
Kama kuna manufaa kwa nini msiwape bure hao waarabu bandari zenu za Zenji?!
 
Mama kauza nchi
 
Nadhani unajichanganya.wewe!! Mabadiliko ya sheria kuhusu maliasili wa 2017, kuwa.mikataba yote itakayoingiwa kukitokea migogoro, mahakama za ndani zitahusika. Hao waliopitisha hiyo sheria hawakujua mkataba wa Vienna? Kwa nini wasingeanza na sheria inayowazuia kupeleka kesi mahakama za nje,waibadilishe au waifute,then waje na huu mkataba? Hii tabia ya kuwabambikia kesi watu,na ni juzi tumemsikia Rais mwenyewe akikemea watu kukamatwa pasipo upelelezi kukamilika,alipokuwa akipokea taarifa ya kazi ya tume Jaji Chande.
 
Kwahiyo huo mkataba umeingia bungeni kwakuwa ni wa kimataifa, ila kwenda kwenye mahakama zetu sio za kimataifa? Uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.
Waambie kina Mwabukusi na wanasheria wengine wanaowachangisha humu JF ili wapate pesa ya kukata rufaa kuwa wauze bongo zao zinazokaa nao kwa hasara.

Unadhani wanasheria walioandika kwenye mkataba kwamba mahakama ya Afrika ya kusini ndio iwe msuluhishi kwenye biashara ya serikali na DP World walifikia uamuzi huo wakiwa ni wajinga?.

Panueni uelewa wenu kabla hamjawa wa kwanza kutaka kuongea mbele za watu, kwa kufanya hivyo mnazidi kulipotosha taifa ambalo mpaka muda huu imethibitika kuwa limejaa wajinga wengi..
 
Mbona wameshindwa kesi kule Mbeya hao mawakili wanaopinga uwekezaji bandarini?.
 
Kwahiyo kwakuwa hakuna watu wengi humu, basi ni kuwa suala hilo halina utata? Wingi wa watu humu mitandaoni ndio kipimo cha watu kujua utata wa huo mkataba?
Wanaopinga ni watu wachache sana hawazidi hata milioni moja katika nchi yenye watu milioni karibu 63. Ni hawa madalali wa wapigaji wa pale TPA kina Prof Tibaijuka na wengine wa aina hiyo.
 
Ahsante sana, lakini kona za nchi gani hizo mkuu maana huku kwetu Mwanza ni kheri tumsikilize Diamond kuliko hiko kikundi cha nyumbu!! Wenyewe mmejionea juzi!
 
Sina hakika kama nitakuwa naelekea kukuelewa au mimi ndiye bure kabisa.

Kwa hiyo Mkataba ukiwa na vigezo vya Viena ndio usiweze kuwa na maslahi ya nchi husika utakamo fanyiwa kazi?
Mwabukusi alishashindwa hii kesi siku ya kwanza tu alipoiwakilisha mahakamani kule Mbeya. Mkataba wa kimataifa haufuati contract laws za nchini mwetu.
 
Wanaopinga ni watu wachache sana hawazidi hata milioni moja katika nchi yenye watu milioni karibu 63. Ni hawa madalali wa wapigaji wa pale TPA kina Prof Tibaijuka na wengine wa aina hiyo.
Ni nchi gani watu wote huwa wanapinga au kukubali? Kinachotakiwa ni nini kinapingwa sio idadi ya wapingaji.
 
Ni nchi gani watu wote huwa wanapinga au kukubali? Kinachotakiwa ni nini kinapingwa sio idadi ya wapingaji.
Hao wapingaji wakiwa wachache sana haimsumbui hata kidogo anayepingwa ni sawa na nzi mgongoni mwa tembo akiwa anakunywa maji mtoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…