Nadhani unajichanganya.wewe!! Mabadiliko ya sheria kuhusu maliasili wa 2017, kuwa.mikataba yote itakayoingiwa kukitokea migogoro, mahakama za ndani zitahusika. Hao waliopitisha hiyo sheria hawakujua mkataba wa Vienna? Kwa nini wasingeanza na sheria inayowazuia kupeleka kesi mahakama za nje,waibadilishe au waifute,then waje na huu mkataba? Hii tabia ya kuwabambikia kesi watu,na ni juzi tumemsikia Rais mwenyewe akikemea watu kukamatwa pasipo upelelezi kukamilika,alipokuwa akipokea taarifa ya kazi ya tume Jaji Chande.