Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Inawezekana mleta made ni kocha mwenye leseni yake ,Mueleweni ki mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu huyuWewe jamaa ni muongo sana. Yanga na Simba ni timu zinazopishana katika falsafa. Simba falsafa yao ni soka la pasi nyingi huku Yanga falsafa yao ni kutumia nguvu na kasi na mifumo ya Yanga mara nyingi hutumia mawinga kupata magoli. Unasema eti Simba imepata mafanikio kimataifa kwa mpira wa kasi wa Roberinho. Kwani kipindi cha mpira biriani Simba hawakufanya vizuri? Hawakufika hatua sawa sawa na ya Roberinho?
Ukiweza pitia uzi huu niliongelea mada hii hii ila kwa kuwa niliileta mimi baadhi yenu mnajifanya kama hamuioni mpaka iletwe na mwingine. Icheki inawezekana nitakuwa nimeyajibu haya maswali yako. lakini haya ni maoni yangu na tukubali kutofautiana maoni badala ya kuitana waongo.Wewe jamaa ni muongo sana. Yanga na Simba ni timu zinazopishana katika falsafa. Simba falsafa yao ni soka la pasi nyingi huku Yanga falsafa yao ni kutumia nguvu na kasi na mifumo ya Yanga mara nyingi hutumia mawinga kupata magoli. Unasema eti Simba imepata mafanikio kimataifa kwa mpira wa kasi wa Roberinho. Kwani kipindi cha mpira biriani Simba hawakufanya vizuri? Hawakufika hatua sawa sawa na ya Roberinho?
Sasa Yanga nayo ina nn kipyaa? Kipi cha ajabu imefanya?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba sio mbovu tatizo watu wanailinganisha na Yanga lazima itaonekana mbovu tu.
Bahati mbaya 'like'huwa ni moja tu,nilitaka nikupe 'like'kama mia 200 hivi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]Simba sio mbovu tatizo watu wanailinganisha na Yanga lazima itaonekana mbovu tu.
Kiasili Yanga mpira wake ni wa kasi na ndio maana Yanga ndio club iliyotoa mawinga wengi na hatari ktk historia ya bongo.Kipindi cha Nabi Yanga waliridhika na mpira wa pasi nyingi maana ulikuwa unawapa matokeo kwenye ligi ya ndani ingawa mara nyingi ushindi ni wa goli 1 au zikizidi 2. Haya matamanio ya kutaka kucheza mpira wa kasi yamekuja baada ya Robertinho na kuona jinsi gani Simba inautumia mfumo huo hasa kimataifa kupata matokeo.
Kama unabisha nionyeshe mtu wa Yanga aliyewahi kuongelea habari za mpira wa kasi au direct football kabla Robetinho hajaja.
Hili neno "kubutua butua" huwa silikubali maana ni kama chaka la kutaka kusema mpira wa hovyo. Mpira wa kasi siku hizi maana yake lazima utumie pasi ndefu mara kwa mara (hizo mnazoita butua butua) ili ufike final third ya timu pinzani kwa haraka. Mapungufu kwa Simba yalikuwepo kwenye usahihi wa hizo pasi ndefu zinazopigwa, mara nyingi zimekuwa za kugombea 50/50 au zikiwafikia kina Kibu na Saidoo wanazipoteza haraka.Kiasili Yanga mpira wake ni wa kasi na ndio maana Yanga ndio club iliyotoa mawinga wengi na hatari ktk historia ya bongo.
Simba wao ni wazee wa kutandaza soka la chini miaka yote na ndio maana wana aka ya Lunyasi. Ila simba mpira wa kubutua butua au mpira wa kasi kupitia winga sio mpira wa Simba kabisa.
Sijui ni nani aliyekukaririsha kuwa mpira wa kasi ni lazima upige pasi ndefu. Unaweza usicheze mipira ya pasi ndefu na ukacheza mpira wa kasi. Hakuna uhusiano kati ya mipira ya pasi ndefu na mpira wa kasi.Hili neno "kubutua butua" huwa silikubali maana ni kama chaka la kutaka kusema mpira wa hovyo. Mpira wa kasi siku hizi maana yake lazima utumie pasi ndefu mara kwa mara (hizo mnazoita butua butua) ili ufike final third ya timu pinzani kwa haraka. Mapungufu kwa Simba yalikuwepo kwenye usahihi wa hizo pasi ndefu zinazopigwa, mara nyingi zimekuwa za kugombea 50/50 au zikiwafikia kina Kibu na Saidoo wanazipoteza haraka.
Mpira wa anao anao wa akina Lunyamila haupo sana siku hizi ndiyo maana kuna siku niliwahi kutania kuhusu goli la Mayele alilowafunga Marumo. Kama bado unamfuatilia Mayele, angalia kama ataendelea kufunga magoli ya aina ile huko Pyramids.
Hayo magoli ya anao anao wamefunga sana wakina Messi unataka kusema nini? Messi kacheza na Lunyamila? Kuna magoli ya aina tofauti tofauti na mengine yanatokana na jitihada binafsi za mchezaji.Hili neno "kubutua butua" huwa silikubali maana ni kama chaka la kutaka kusema mpira wa hovyo. Mpira wa kasi siku hizi maana yake lazima utumie pasi ndefu mara kwa mara (hizo mnazoita butua butua) ili ufike final third ya timu pinzani kwa haraka. Mapungufu kwa Simba yalikuwepo kwenye usahihi wa hizo pasi ndefu zinazopigwa, mara nyingi zimekuwa za kugombea 50/50 au zikiwafikia kina Kibu na Saidoo wanazipoteza haraka.
Mpira wa anao anao wa akina Lunyamila haupo sana siku hizi ndiyo maana kuna siku niliwahi kutania kuhusu goli la Mayele alilowafunga Marumo. Kama bado unamfuatilia Mayele, angalia kama ataendelea kufunga magoli ya aina ile huko Pyramids.
Tunaongelea mfumo wa timu. Leo nafasi ikitokea, mchezaji anaweza akaitumia kufunga kwa style hiyo ila ukiangalia kipindi cha Nabi na Mayele, Yanga ilikuwa inacheza mpira wa pasi nyingi ila magoli yake yalitokana zaidi na juhudi binafsi za Mayele kukimbia na mpira. Ndiyo maana tuliwahi kujadili sana humu nafasi nyingi ambazo Mayele alikuwa anapoteza kabla hajaweza kufunga.Hayo magoli ya anao anao wamefunga sana wakina Messi unataka kusema nini? Messi kacheza na Lunyamila? Kuna magoli ya aina tofauti tofauti na mengine yanatokana na jitihada binafsi za mchezaji.
Toa tafsiri yako mpira wa kasi una maana ganiSijui ni nani aliyekukaririsha kuwa mpira wa kasi ni lazima upige pasi ndefu. Unaweza usicheze mipira ya pasi ndefu na ukacheza mpira wa kasi. Hakuna uhusiano kati ya mipira ya pasi ndefu na mpira wa kasi.
Kwahiyo magoli yote ya Yanga chini ya Nabi yalifungwa na Mayele? Ukiachana na goli alilofunga dhidi ya Marumo, niambie mechi zingine ambazo Mayele alifunga kwa kukimbia. Na pia magoli ya namna hiyo huwa yanatokana na counter attack. Ni wazi najadiliana na mtu asiyejua mpira.Tunaongelea mfumo wa timu. Leo nafasi ikitokea, mchezaji anaweza akaitumia kufunga kwa style hiyo ila ukiangalia kipindi cha Nabi na Mayele, Yanga ilikuwa inacheza mpira wa pasi nyingi ila magoli yake yalitokana zaidi na juhudi binafsi za Mayele kukimbia na mpira. Ndiyo maana tuliwahi kujadili sana humu nafasi nyingi ambazo Mayele alikuwa anapoteza kabla hajaweza kufunga.
Jiulize hizo zilizoizidi zilishinda? Na kama hazikushinda ujue ndo mbovu zaidiMtego kivipi? Kuna direct football na poor performance. Kama timu inazidiwa hadi mashambulizi direct football gani hiyo muda wote watu langoni kwako tu?
Unataka PhD holder nieleweke kirahisi na failure?Sawa jifunze kupangilia mwandiko. Hausomeki kabisa
Nikajua utakuja kuelezea kiufundi, kumbe hakuna unachokielewa kuhusu direct football. Unachanganya kati ya kuzidiwa na direct football. Timu inashindwa kufanya kitu kwa usahihi ( mfano kupiga pasi zinazofika kwa usahihi) unasema ni direct football, labda kama neno direct football kwako linamaana tofauti.Jiulize hizo zilizoizidi zilishinda? Na kama hazikushinda ujue ndo mbovu zaidi
Hapo unatoa mfano wa timu moja kama ndio reference wakati Simba imecheza dhidi ya timu tofauti tofauti kama vile Raja, Wydad. Au uo mfumo unafanya kazi kwa timu vibonde pekee? Tuambie huo mpira wa kasi uliochezwa kwenye mechi kubwa dhidi ya Raja na Wydad.Umechanganya ukweli na Hisia humohumo.
Ila kama kuna mtu anabisha amuulize Horoya.
Sawaaa sijui mpira ila sentensi ya pili kwenye hiyo post yangu umeielewa?Kwahiyo magoli yote ya Yanga chini ya Nabi yalifungwa na Mayele? Ukiachana na goli alilofunga dhidi ya Marumo, niambie mechi zingine ambazo Mayele alifunga kwa kukimbia. Na pia magoli ya namna hiyo huwa yanatokana na counter attack. Ni wazi najadiliana na mtu asiyejua mpira.
Sentensi ipi?Sawaaa sijui mpira ila sentensi ya pili kwenye hiyo post yangu umeielewa?
Muwe mnajitahidi kujadili hoja badala ya kukimbilia kuita watu waongo au hawajui mpira au hawana akili.
"Leo nafasi ikitokea, mchezaji anaweza akaitumia kufunga kwa style hiyo....."Sentensi ipi?