Ukweli kuhusu Simba Sports Club

Ukweli kuhusu Simba Sports Club

Nilichokisema ni kwamba Simba imeachana na mpira wa kujifurahisha na kuelekea kwenye mpira was malengo toka imlete Pablo na waliomfuata watu wakadhani namtetea Robertinho
Kwahiyo Robertinho kaonewa?:
 
Hakufukuzwa kwa aina ya mpira hata ni mambo mengine yakiwemo kufungwa 5
Mwaka huu ni msimu wa 3 mfululizo bila dalili za kuvuna chochote, vipi pira malengo limelipa kuliko pira biriani?
 
Bado upo kwenye hali ya kutokubaliana na hali ila kiufupi Mayele anahitaji mfumo unaoweza kuwa tayari kumvumilia na kumpa playtime ya kutosha bila kujali mchango wake uwanjani. Mayele siyo mchezaji wa kumpa dakika 10 halafu akupe matokeo kama ambavyo wamekuwa wanampa kwenye AFCON, hizo dakika 10 kama mfumo siyo sahihi kwake anaweza kugusa mpira mara moja tu.

Jiandae kisaikolojia maana dirisha lijalo unaweza kumkuta Azam FC ila afadhali mtakuwa mnashare kiwanja kimoja.
Kwani Mayele Pyramids ana miezi mingapi?

Mbona kuwa kama sio mtu wa mpira.Halafu mbona wengi,Salah na KDB Chelsea walikuwa wa kawaida msimu mzima hawa perform huko walipotoka walikuwa wapo vizuri.Je sasa hivi KDB na Salah una waonaje.

Hata huyo Drogba alivyotoka Marseille alikuwa ana kiwasha,ila Chelsea msimu wa kwanza hakufanya vizuri, baada ya kuanza msimu pili ndipo akakiwasha.

Swala la kuja Azam ni swala lake,kwani si mchezaji wa Yanga.
 
Anachokionyesha sasa toka amejiunga Pyramids huo ndiyo uwezo wake, hiko ndiyo hamtaki kukubali. Kwa matarajio mliyokuwa naye kwake na ubora mliokuwa mnaamini anao, Mayele alikuwa mtu wa kusugua benchi vile katika AFCON huku unasingizia kiwango kushuka? Kiwango kinashuka kwa kutegemea mashindano anayocheza mtu? Ni kwamba wacongo wenzake wamemuona hatoshi kuwa mchezaji tegemeo na hii ni toka alipoanza kuitwa timu ya taifa. Kwenye ligi ana goli 4 ambazo ni namba nzuri tu mpaka sasa ila kwenye CL ana 0. Hii inakufundisha nini kwenye mlichokuwa mnaamini ubora wa CL na CC?
 
Kama KDB na Salah wangekata tamaa,leo hii wasingekuwa pale. Kwangu still bado ana nafasi kubwa ya kurudi tena kama akijitambua na kuachana na mawazo ya kipuuzi.Mayele ni bora tokea alivyo toka kwao Kongo kaja bongo kafanya vizuri so sina wasi na kiwango chake.
 
Rudi kwenye mada, mada ni mpira gani unachezwa au jibu swali langu
Sasa katimuliwa, tunamjadili aliyetimulwa je kama ana aina nzuri ya mpira kwanini atimuliwe wakati kapoteza mechi moja pekee?
 
Back
Top Bottom