Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

Hii ina uhusiano na Kuuzwa kwa Bandari zetu? Puumbavu
 
Mbona Magufuli ambaye anajifanya alikuwa mzalendo hakuweza kuzuia huo wizi wakati alikuwa kwenye vikao vya baraza la mawaziri? Au wakati akiwa waziri uliwahi kumsikia akipinga mikataba ya wizi?
Ndio hapo ujinga wenu ulipo na ccm inapenda sana kuona mawazo kama haya.
 
Huyu jiwe inabidi kila mwaka watanzania tukusanyike kwenye kaburi lake pale Chato ili tulichape viboko
Una utindio wa ubongo!

Unashindwa kwenda kuwachapa hao wanaokuuza dubai ukiwa hai, ukalichape kaburi?

Ccm ikiona maoni ya kitaahira kama haya yako inafurahi sana
 
Ndio hapo ujinga wenu ulipo na ccm inapenda sana kuona mawazo kama haya.
Ujinga wa kwamba tunajua Magufuli naye alikuwa mwizi kama wezi wengine ama upi? Ccm ni nini boss, naona unazungumza kama vile ccm ni kitu cha maana sana.
 
Ujinga wa kwamba tunajua Magufuli naye alikuwa mwizi kama wezi wengine ama upi? Ccm ni nini boss, naona unazungumza kama vile ccm ni kitu cha maana sana.
Mkuu anza kujiandaa mamayo huyu mwema mwanademocrasia kakuuza kwa wajomba zake
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
So tukusaidieje!!?
 
Na ilikua ukijifanya unaujua au ku usema ukwel............UNAZIMWA KAMA ANOLOGY KWENDA DIGITALLY πŸ™‚β˜ΊοΈπŸ˜Š
 
Mkuu anza kujiandaa mamayo huyu mwema mwanademocrasia kakuuza kwa wajomba zake
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ameuza kwa kushirikiana na bunge lililowekwa na dhalimu. Hapa ndio tulipaswa kujiridhisha na uzalendo wa wabunge dhalimu aliosema ni wazalendo.
 
Mbona Magufuli ambaye anajifanya alikuwa mzalendo hakuweza kuzuia huo wizi wakati alikuwa kwenye vikao vya baraza la mawaziri? Au wakati akiwa waziri uliwahi kumsikia akipinga mikataba ya wizi?
Magufuli alishiriki kikamilifu kuuza Nyumbani za serikali prime area kwa bei chee na bila aibu Nyumbani moja akampa hawara yake ambaye si Mtumishi wa serikali.

Huo uzalendo wa huyu shetani uko wapi?
 
Ameuza kwa kushirikiana na bunge lililowekwa na dhalimu. Hapa ndio tulipaswa kujiridhisha na uzalendo wa wabunge dhalimu aliosema ni wazalendo.
Kauza pekeake!

Ndio maana kwenye maonesho ya sabasaba ya dubai alienda pekeake hakuenda na bunge ndiko alikosaini kuzwa kwenu kwa warabu.

Pia dhalimu wako hata angemuweka Lisu mtupu na mbowe tupu pale bungeni bado wasingefanya lolote maana maamuzi tayari yameshafanywa na mamako huyu mwema mwanademocrasia
 
Kama aliuuza mwenyewe hao wabunge wangepinga maana ni wazalendo kwa mujibu wa dhalimu.

Dhalimu halikuwa jukumu lake kuweka wabunge, hiyo ni kazi ya wananchi kupitia kura zao. Tunaposema katiba hii sio sawa ni pamoja na hilo la rais kuweza kufanya chochote bila kuchukuliwa hatua yoyote.
 
Au nasema uongo NKOI..........πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni lini wabunge waliwahi kuwa wazalendo kwa nchi?..

Slaa katwambia kuna mikataba ya hovyo zaidi ya 2,000 inatafuna nchi. Je nayo ilipita kipindi cha bunge la dhalimu wako?
 
Tujipange Kwa 2025 mkuu hayo yameshakwenda zake- yafuta trick nzuri basi CCM wapingwe chini 2025- hayo maneno hayasaidii inabidi tuwe na mipango yakinifu ili CCM ife mchana kweupee
 
wote ni mashahidi 2015 CCM ilikuwa inapumua pumzi za mwisho, nini kilitokea baada ya hapo ni fundisho. Ilikuwa ni kumaliza chochote kilichotishia uhai wa chama tawala.
Kazi maalum ikafanyika 2020 kuhakikisha bunge linakuwa la kijani na ikafanikiwa 100%. Tume inateuliwa na rais halafu utegemee haki?
Ukweli ni kuwa hata bila ya kuwepo mwendazake bado kura zitachezeshwa tu hata zile nafasi watakazoshinda upinzani chama tawala kitakuwa kimeamua iwe hivyo.
Bado safari ndefu sana kufikia kuwa uchaguzi huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…