Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

Mwaga nondo mkuu
 
Nimependa hii "madhara yake ni makubwa kwenye familia kuliko faida " watu wengine hawajui, wanachotaka ni utajiri kwa njia yoyote. Nimeshuhudia jinsi watu wanavyoteseka katika familia.
 
kaka usiwape waache waangamie tuπŸ˜‚.
 
Umaskini ni mbaya sana ila wala tusiwe na mawazo hayo, jambo lingine unatakiwa ujue tu ya kwamba maisha yanahitaji upambanaji wa kweli na maombi kwa muumba wako, hizi ishu za hela za ndagu siku hizi hakuna ni waganga matapeli tu ndo wamejaa kudanganya watu, mimi nishazunguka sana kutafta hio ishu lakini sikufanikiwa zaidi ya kupewa kibuyu na kwenda kununua mzimu makaburini ambao ulikua hauna msaada wowote... Usidanganyike mkuu...
 
Una kazi au biashara unataka ichanue?? Una laki 5??

Au unataka upewe connection na mapumbu yako tu??

Kwanza kwa ujuaji wenu nani akupe connection kifara fara??
Unadhani watu humu hawana connection???? Unadhani kwanini hawatoi hovyo hovyo???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una kazi au biashara unataka ichanue?? Una laki 5??

Au unataka upewe connection na mapumbu yako tu??

Kwanza kwa ujuaji wenu nani akupe connection kifara fara??
Unadhani watu humu hawana connection???? Unadhani kwanini hawatoi hovyo hovyo???
Mkuu matusi yote ya nini,kama unaconnection nipatie #umasikini ni laana
 
Hiyo ya kuvaa shati moja kila siku rahisi sana.
Unakuwa na kampuni yako labda ya usafirishaji, unashonesha sare za kampuni kisha unachukua yako moja sawa na wafanyakazi unatupia mpaka ichakae.
Hakuna atakayekushangaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sasa ndagu inataka watu kama ww wenye akili , sio vijana wa kuhonga kisa tundu mbele na hapo hana akili kabisa . Ni vile tu hatuwezi sema hadharani ila kijana upo sawa hela itakupata tu mbeleni usiwaze
 
Mkuu kama una namba nipatie
Kua makini sana mdogo wangu. Nmeanza hizi harakati miaka 5 iliyopita nimeona mambo ya ajabu sana. Matapeli wapo. Wakweli pia wapo.
Matapeli hawaoni haya kwenda makaburini kuchimba kaburi na kumuweka mtu ndani akiwa anaongea na wewe kudhania unaongea na majini au mizimu, nahilo kaburi unaliona limefukiwa.
 
Una kazi au biashara unataka ichanue?? Una laki 5??

Au unataka upewe connection na mapumbu yako tu??

Kwanza kwa ujuaji wenu nani akupe connection kifara fara??
Unadhani watu humu hawana connection???? Unadhani kwanini hawatoi hovyo hovyo???
Acha kejeli. Acha utapeli. Acha kujifanya mjuaji.
 
Shukran mkuu
 
Zipo sana tu siku hizi wamebadilisha masharti mara nyingi huwa sio kuua tena siku izi wanataka mlengwa upigwe mashine ndio utajiri unaongezeka ka uko tyr kupelekewa pipe kwenye hazina nenda kusini huko utakuwa tajiri wa kutupwa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…