Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

Zipo sn tu siku izi wamebadilisha mashart mara nyingi huwa sio kuua tena siku izi wanataka mlengwa upigwe mashine yaan wakupelekee moto kila ukifir* ndo utajiri unaongezeka ka uko tyr kupelekewa pipe kwenye hazina nenda kusini huko utakuwa tajir wa kutupwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtafute Lwanda Magere akupe maonyesho alioyapata katika utajiri huo wa ndoto si mchezo utakula familya yako yote kwa Muungu kibonge alieko lake victoria chini ya maji.
Mkuu umasikini ni laana wacha nimtafute
 
Yeah kafara ipo mwenyewe nataka niende kumwambia mganga anibadilishie masharti sahivi ananipa dawa ya kuua kwa kutega mlangoni, naona inachelewesha nataka aniruhusu niwanyonge kwa mikono mwenyewe.
Kaka baunsa🙄🙄🙄
 
Hii mbona nyepesi, ya kuvaa nguo 1 na kulala chini? Mbona hata mie naiweza.

Au mpelekee akapewe ile ya kutoa funza mwilini.
Umasikini ni laana,ya kutoa funza kwangu ni rahisi tu
 
Kuna sehemu unaambiwa hela yako ni lazima uitumie hakuna kuweka akiba.

Sasa wana wanalazimisha watu kulewa, akifika bar analipia bia mnywe tu. Kuhonga ndo usiseme.

Yaani hela inakuweka busy isivyo kawaida.
 
Hiyo ya kuvaa shati moja kila siku rahisi sana.
Unakuwa na kampuni yako labda ya usafirishaji, unashonesha sare za kampuni kisha unachukua yako moja sawa na wafanyakazi unatupia mpaka ichakae.
Hakuna atakayekushangaa.
 
Back
Top Bottom