stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Atakutanguliza kabla ya daliliNikiona dalili ya zamu yangu naanza kumtanguliza mganga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakutanguliza kabla ya daliliNikiona dalili ya zamu yangu naanza kumtanguliza mganga
Ntamkata kichwa kabla ya daliliAtakutanguliza kabla ya dalili
Utakufa umekenuaMkuu kifo hakikimbiliki,ni swala la muda
NakaziaBora shilingi 10,000 yako unayoipata kawaida kuliko shilingi 1,000,000 unayoipata Kwa masharti
Wakati huo tayari ushakatwa kibofuNtamkata kichwa kabla ya dalili
Utakufa umedindaNipe connection,nithibitishe hii reply yako
Kweli MkuuNakazia
Sawa MkuuSawa mkuu ngoja tusubir maexpert wa field hii watupe muongozo
Ushiled?Kuna ka'ID nimekaona humu kanafanana na ID yangu, ebu ngoja nianze kukafuatilia polepole tuone...😋
Utakufa umeliwaHapo sio mbaya kama umeinjoy zaid ya miaka 25 ya utajiri