Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

Mwaga nondo mkuu
Utajiri wandagu sio mzuri tafuta utajili kwa maarifa na juhudi.
Na maarifa makubwa yapo ndani mwako hapo.
Nipale utakapo weza kulivua hilo gamba lan'je nakua wewe katika uhalisia.
Ningumu sana kunielewa
Sana,sana,sana.
Hivo acha nilicho kiongea ibaki kua ni ndoto,movie na ukosefu wa elimu yachuo kikuu uingereza.
 
Nimependa hii "madhara yake ni makubwa kwenye familia kuliko faida " watu wengine hawajui, wanachotaka ni utajiri kwa njia yoyote. Nimeshuhudia jinsi watu wanavyoteseka katika familia.
 
Utajiri wandagu sio mzuri tafuta utajili kwa maarifa na juhudi.
Na maarifa makubwa yapo ndani mwako hapo.
Nipale utakapo weza kulivua hilo gamba lan'je nakua wewe katika uhalisia.
Ningumu sana kunielewa
Sana,sana,sana.
Hivo acha nilicho kiongea ibaki kua ni ndoto,movie na ukosefu wa elimu yachuo kikuu uingereza.
kaka usiwape waache waangamie tu😂.
 
Umaskini ni mbaya sana ila wala tusiwe na mawazo hayo, jambo lingine unatakiwa ujue tu ya kwamba maisha yanahitaji upambanaji wa kweli na maombi kwa muumba wako, hizi ishu za hela za ndagu siku hizi hakuna ni waganga matapeli tu ndo wamejaa kudanganya watu, mimi nishazunguka sana kutafta hio ishu lakini sikufanikiwa zaidi ya kupewa kibuyu na kwenda kununua mzimu makaburini ambao ulikua hauna msaada wowote... Usidanganyike mkuu...
 
Una kazi au biashara unataka ichanue?? Una laki 5??

Au unataka upewe connection na mapumbu yako tu??

Kwanza kwa ujuaji wenu nani akupe connection kifara fara??
Unadhani watu humu hawana connection???? Unadhani kwanini hawatoi hovyo hovyo???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una kazi au biashara unataka ichanue?? Una laki 5??

Au unataka upewe connection na mapumbu yako tu??

Kwanza kwa ujuaji wenu nani akupe connection kifara fara??
Unadhani watu humu hawana connection???? Unadhani kwanini hawatoi hovyo hovyo???
Mkuu matusi yote ya nini,kama unaconnection nipatie #umasikini ni laana
 
Hiyo ya kuvaa shati moja kila siku rahisi sana.
Unakuwa na kampuni yako labda ya usafirishaji, unashonesha sare za kampuni kisha unachukua yako moja sawa na wafanyakazi unatupia mpaka ichakae.
Hakuna atakayekushangaa.
😂😂😂sasa ndagu inataka watu kama ww wenye akili , sio vijana wa kuhonga kisa tundu mbele na hapo hana akili kabisa . Ni vile tu hatuwezi sema hadharani ila kijana upo sawa hela itakupata tu mbeleni usiwaze
 
Mkuu kama una namba nipatie
Kua makini sana mdogo wangu. Nmeanza hizi harakati miaka 5 iliyopita nimeona mambo ya ajabu sana. Matapeli wapo. Wakweli pia wapo.
Matapeli hawaoni haya kwenda makaburini kuchimba kaburi na kumuweka mtu ndani akiwa anaongea na wewe kudhania unaongea na majini au mizimu, nahilo kaburi unaliona limefukiwa.
 
Una kazi au biashara unataka ichanue?? Una laki 5??

Au unataka upewe connection na mapumbu yako tu??

Kwanza kwa ujuaji wenu nani akupe connection kifara fara??
Unadhani watu humu hawana connection???? Unadhani kwanini hawatoi hovyo hovyo???
Acha kejeli. Acha utapeli. Acha kujifanya mjuaji.
 
Kua makini sana. Nmeanza hizi harakati miaka 5 iliyopita nimeona mambo ya ajabu sana. Matapeli wapo. Wakweli pia wapo.
Matapeli hawaoni haya kwenda makaburini kuchimba kaburi na kumuweka mtu ndani akiwa anaongea na wewe kudhania unaongea na majini au mizimu, nahilo kaburi unaliona limefukiwa.
Shukran mkuu
 
Zipo sana tu siku hizi wamebadilisha masharti mara nyingi huwa sio kuua tena siku izi wanataka mlengwa upigwe mashine ndio utajiri unaongezeka ka uko tyr kupelekewa pipe kwenye hazina nenda kusini huko utakuwa tajiri wa kutupwa
😀😀😀
 
Back
Top Bottom