Waliokuelewa ni hawa:Wanaukumbi mbona mjadala unapungua kasi siyaoni mawimbi makubwa ya pale mwanzo ya kuzamisha "super tankers." Mjadala umetoka ladha au kitu gani? Prof. Mhina hajapatikana au vipi?
Safi sana mkuu Mohammed Said , maana tukikuweka kwenye bahasha inayokueleza vilivyo unakuwa mkali kupindukua.Ngoja nikuhadithie mstuko nilopata siku niliposikia watu wanamwita Nyerere "Baba wa Kanisa." Ilikuwa mwaka 1995 tunaadhimisha mwaka mpya wa Kiislam katika Viwanja vya Mnazi Mmoja. Marehemu Prof. Malima na mimi tulipangwa kuwahutubia Waislam. Prof. Malima alieleza mengi aliyoyaona serikalini jinsi ubaguzi dhidi ya Waislam ulivyoshamiri hasa Wizara ya Elimu. Aliposhuka yeye sasa ni usiku tushaswali Isha mimi nikapanda kuzungumza. Mimi nilieleza historia ya Waislam na mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Mwisho nikaeleza "mgogoro" wa EAMWS na nafasi ya serikali katika kadhia ile. Sasa ikawa kuna mahali wakati namtaja Nyerere nikamwita Baba wa Taifa. Zogo likalipuka. Mimi niko juu ya jukwaa nasikia kelele lakini sisikii yale ambayo watu wanasema. Palipotulizana kidogo ndiyo nikasikia wanasema kwa sauti, "Baba wa Kanisa, Baba wa Kanisa, Baba wa Kanisa." Yaani Mwalimu kwa yale alowafanyia Waislam wao hawawezi kamwe kumuona kama Baba wa Taifa bali ni Baba wa Kanisa. Hii cassette tape ninayo hadi leo. Baada ya kusikia vile palepale nikabadili mwelekeo wa ile hotuba nikawataka Waislam wajitazame iweje leo kiongozi alopendwa na wazee wao leo aje aonekane msaliti? Siku ya pili taarifa zikanifikia kuwa cassettes za ile khutba yangu zinauzika mjini kama keki za moto.
LG: Hili lingekuwa la maana sana kama ungemfahamisha Prof.Mhina kuwa Mohamed Said kasema kadha wa kadha sasa nakuomba uingie ukumbini umjibu. Kutumia paper ya Prof. Mhina kunijibu sidhani kama itanogesha mjadala. Natoa changamoto kwa wanaukumbi kwa ujumla tafadhalini mtafuteni Prof. Mhina popote alipo kama mnamfahamu aje Insha Allah na yeye achangie sote tunufaike.
1. Nyerere hakutaka kumuachia Mzee Mwinyi kwa kupenda. alitaka sana Mtu wake awe Rais baada yake. lkn wakati ule katiba ilitaka Rais atoke ZNZ, na so far wakati Ule Nyerere Nchi ilishamshinda. hali mbaya ya uchumi ilibidi lazima aachie Ngazi...Kipande hiki naachia wanahistoria kufanya utafiti kilichojiri wakati wa Mkutano wa CC wa CCM wakati Ule...Ilikuwa ni mara ya pili Nyerere kulia Ndani ya Kikao....!!!
2. Fundi..nakutajia CHUO cha BANK- Iringa amepewa nani?
3. Hata Hizo shule za kanisa zilizoporwa na Nyerere Kanisa hawakujenga. Shule Zilijengwa na Mkoloni zikapewa kanisha kuziendesha. as moja ya Ajenga ya Mkoloni kutumia DINI kutawala...Local Wakristo fanyeni hesabu shule ngapi mmejenga kwa Mikono yenu?...hapa Mkapa akawapa tena shule ya Magamba...muifanye Chuo Kikuuu...Shule ya Mazengo---na Chuo cha Nyegezi...!!!
4. Hio idadi ulotaja, sikatai, lkn wenzetu kwa kuwepo wao wachache tu Mmefanya Kikwete aitwe Mdini. mlitaka hizo nafasi zote ziende kwenu....nafasi ya BOSS wa TISS ilikuwa na mjadala mrefu hapa JF. utafute uuone. So far hatuhitaji eti waislam wangapi wamechaguliwa, tusipenda ni pale mwislam hata mmoja akichaguliwa kuongozo Idara au Shirika wenzetu mnakuja juu.,mmejizoesha Vibaya kuona Utawala wa Serikali ni Mali yenu....
.....JK teuzi zote anazofanya balaa linakuja pale ambapo kawateua waislam wawili/watatu wenzetu mnaanza kulipuka. ipo Mijadala mingi hapa JF, ambayo kila teuzi ya JK ambayo ndani yake yuko mwislam alau mmoja, mmekuja juu...teuzi zingine hata huwezi kukuta mijadala hapa JF, wala watu kuhoji CV zao...na zikihojiwa tu, mnaanza kutoa Pongezi...Tuache hii kitu.
5. kaka neno HAKI lipo so clear. sio Upendeleo.
1. Magamba Secondary School imetokana na Magamba Country Club iliyonunuliwa na Usambara-Digo Lutheran Church mwaka 1961. Kwanza iliitwa Usambara Trade School na baadae kupanuliwa kutokana na msaada wa Nation Lutheran Church ya New York na mkopo kutoka Benki Kuu ya Dunia. Shule ilitaifishwa mwaka 1969 wakati Mwalimu Gideon Chaghuza akiwa headmaster. Shule hii ilirudishwa kwa walutheri mwaka 2005.. Hata Hizo shule za kanisa zilizoporwa na Nyerere Kanisa hawakujenga. Shule Zilijengwa na Mkoloni zikapewa kanisha kuziendesha. as moja ya Ajenga ya Mkoloni kutumia DINI kutawala...Local Wakristo fanyeni hesabu shule ngapi mmejenga kwa Mikono yenu?...hapa Mkapa akawapa tena shule ya Magamba...muifanye Chuo Kikuuu...Shule ya Mazengo---na Chuo cha Nyegezi...!!!
Mkuu Mohammed Said usijiwejke juu sana katika fani ya usomi na sisi tunajua kuperuse, kutafuta na kupipata kile kunachoweza kukuweka kwenye bahasha unayostahili.
Kama waandishi wote tunaorefer wangekuja kutetea mada zao hapa jamvini , basi huu ukumbi usingekewa ulivyo.Na waliotangulia je? maandishi yao ingekuwaje?
Katika mada hii JIBU ALLEGATIONS HIZO ili uweze kuona fallacy ya argument yako.
Kukosea herufi moja ya jina lako Gwasika badala Gwakisa si dalili ya umakini wa mtu. Hebu jisome mwenyewe hapoTukubaliane sote kuwa huyu jamaa anatatizo la kimsingi.
Kwanza soma vizuri kabla ya kukurupuka mantiki ndani ya ushauri wangu.My pen name is LOLE GWAKISA na si Lole Gwasika! Naweza kujifunza toka maandiko yako kuwa wewe si mtu makini katika masuala ya nchi hii.
Usipoteze muda wako kubadili mada iliyopo mbele yetu, mada ambayo imeshachukua sura mbaya ya udini, historia ya TANU na waanzilishi wake kamwe haiwezi kuchukua sura kuwa ilikuwa ni mapambano kati ya Ukristo na Uislamu.
Na hapo ndio nashangaa akili ya watu wa aina ya AMI na wateteaji wa Udini uliolemea Uislamu kutaka kuredress kitu ambacho ni cha kudhania.
Matatizo ya kimaendeleo yapo na kila mtu anakubali hili, lakini kuweka assumption kuwa Wakristo tu ndio wamefaidika na Uhuru ni ukosefu wa upeo wa kufikiri.
Dont economize your brains capacity ndugu Ami.
Kama unafikiri unaweza kuleta maendeleo kwa waislamu, bila juhudi za Taifa zima , basi you are more than welcome, ingawaje I strongly doubt your means and ways.
Tunapotetea umoja wa kitaifa, hata Mwalimu aliwahi kusema , inabidi uonekane kama mwenda wazimu vile , au kama Padri au Shekhe.Maana matunda yake huyaoni in your life time.
Ami, Mohammed Said,nimesema bila kuwabeba waTanzania wote kwenye mikakati yenu ya the future of your own selves hamfiki mbali sana, you will hoplessly get bogged down in a messy quagmire ya ubaguzi, udini zaidi na mabishano ya nani zaidi katika Uislamu.Haya tunayaona hata leo.
Nyie ndugu zetu, na pengine tunawaelewa zaidi kuliko ninyi mnavyojielewa.
Juhudi, umoja na kodi yangu na yako ndivyo vitakavyo tuwezesha.
Fuatilia Mjadala ....Kipengele kimebadilishwa..so far tulikuwa tunazungumzia mambo ya baada ya Nyerere kuachia Ngazi.
Khs Shule za Kanisa(Shule zilizojengwa na Serikali ya Mkoloni).....Nimekuambia zilizotaifishwa na Nyerere ...kama unataka majina tafuta mwenyewe ktk database za Wizara ya Elimu.
Tafadhali wana JF hebu muperuzi haya yaliyotokea kabla ya uhuru.Waislamu waliazinisha chama chao kilichoitwa AMNUT(All-Muslim National Union of Tanganyika), Sasa mtu akija na kusema waislamu walionewa kabla ya uhuru ni uongo.
Tupate kutoka kitabu cha August H. Nimtz: Islam and politics in East Africa: the Sufi order in Tanzania
" Though many Muslims were active in TANU, the national leadership of the party had a disproportionate number of chrirtians, including the head,Julius Nyerere , a Roman Catholic.To some Muslims TANU seemed a party of christians that would not serve the interests of Islam.This sentiment was the prime motive in the formation in 1957 of the All-African National Union of Tanganyika(AMNUT).
This organisation was not intended to be a political party but radher a pressure group that would lobby with the government to improve the social status of Muslims. The suspicions that AMNUT supporters held about TANU increased to such a degree that, as it became clearer that Nyerere's party would inherit power from the British, the new Islamic organisation took the position that independence should be delayed until Muslims had reached parity with Christians in educational attainments.
During the year preceeding independence, when TANU shared power with the British,the AMNUT attempted to win over religious leaders in different locales to their positio, but with little success. In Kondoa ,for example fifty one shayks publicly declared oposition to the delaying strategy.
The strongest support for AMNUT was in the capital, Dar es salaam. One of its leaders, Shaykh Hussayn b. Juma, a prominent resident of the capital, was at the same time the head of the United Tanganyika Party, a government supported alternative to TANU that advocated proportional representation based on race. In Dar es salaam, nevertheless, its support began to wane as both leading and rank-and-file members began to question the wisdom of its policy on independence. TANU was able to ally the majority of the shayks to its side and opposition to the AMNUT. In late 1960, forty -three shayks gave their written support to the TANU and denounced the AMNUT. The organisation became discredited in the eyes of many and by 1963 it was moribund."
Wakuu tusidanganywe mara ooh wakoloni waliwapendelea waKristo, mara uhuru ulipatikana kwa nguvu kubwa ya waIslamu. Vitabu , kama hapo juu,vinatuambia kuwa kuna waIslamu walitaka uhuru uahirishwe sababu ikiwa udini!!
Hatushangai kuwa vyama kama AMNUT viliishia mbali kusikojulikana, kama ambavyo vitabu vya Mohammed Said vitaishia mbali na kutothaminiwa na mTanzania yoyote mwenye akili timamu.
WaTanzania wenye moyo wa Utaifa hawawezi hata kuviweka vitabu hivi nadarasani,, sana sana vitasomwa na watu wasio na muda na wenye kupendelea shari badala ya maendeleo.
...Ndugu yangu Katiba hatuna Ugomvi nayo. japo mara kwa mara thru katiba mmekuwa mnakuja Juu. Ugomvi wetu upo ktk Utendaji wa Serikali.Katiba haizungumzii mgombea wa urais atoke wapi. Inachozungumzia ni mgombea mwenza. Tutajie kifungu cha katiba kinachosema au kilichokuwa kikisema kuwa rais ni lazima atoke upande fulani wa JMT. Nyerere hakulazimika kumwachia mzanzibari urais. Hakulazimishwa na mtu kuachia ngazi maana wakati ule hakukuwa na term limits. Hayo hadithi za kwenye mikahawa ati Nyerere alilia ni upuuzi mtupu. ..
....kama habari za Mikahawa endelea hivyo hivyo...alilazimishwa na Hali ya Uchumi...!!!
Am not sure na Katiba..kama nimekosea mtanisamehe...!!!ila Kimsingi Nyerere alikuwa na mtu wake ambae alishindwa kumsimika..!!!
Unauliza jibu badala ya kutuambia kapewa nani? Sema, uumbuke. ...Chuo kimepewa KANISA.
Uongo mtupu. Shule hizi zilijengwa na wamisheni na sio wakoloni. Nyingine zilijengwa hata kabla ya utawala wa kiingereza kuingia sasa utasemaje kuwa walijenga wakoloni? Hizo zote unazozungumzia ni shule zilizokuwa za wamisheni na zilirudishwa kwao baada ya serikali kushindwa kuziendesha. Shule zinajengwa na makanisa kutokana na sadaka za wakristu. Sasa kuanza kuuliza ngapi wamejenga kwa mikono yao ni upuuzi mtupu. Angalia tu ni shule ngapi ziko mikononi mwa madhaehebu tofauti ndipo utajua kuwa sadaka zao zinafanya kazi.
..Endelea kukutaa Ukweli...!!!
Kwa nini tuache hili? Hao wakina Dr. Nchimbi, Dr. Mary Nagu wanaoandamwa kila siku kuwa wametoa vyeti feki ni waislamu? Nyinyi akiguswa muislamu tu mnajificha nyuma ya pazia la udini lakini wanaposakamwa wakina BEN Mkapa, EDWARD Lowasa, huo udini hamuuoni? Mimi sijawahi kusema kuwa Kikwete au Mwinyi ni wadini kwa sababu ya kuteua waislamu. Hiyo ni haki yao na wanaweza kuteua yeyote wamtakaye kama ilivyokuwa kwa Julius na Ben. Tunachokataa ni pale nyinyi mnapokazania kuona mkono wa wakatoliki hata pale ambapo serikali inaongozwa na watu ambao ni waislamu!
..Fundi Hata kama Hukusema wewe..lkn wenzako wanalisema hili....
Hatusemi kila akiguswa muislam udini? mbona kaguswa Msabaha?, akaguswa na Karamagi? Dr. Idrissa? kuna mwislam kasema udini?..Mistakes zao za Kiuongozi huwezi kupata support ya waislam.
Serikali kuongozwa na Mwislam si Hoja kuwa Mkono wa Kanisa hauna nguvu...hao wote uliowataja wamekuwa wanakwenda kwa pressure za Wakristo.
Kama hilo neno lipo clear unashindwa nini kuliweka wazi? Unashindwa nini kuweka wazi haki ambazo waislamu mnanyimwa kikatiba na ambazo mnadai mpewe? Au unaogopa kutaja maana mtaishiwa visingizio?
Amandla......
Safi sana mkuu Mohammed Said , maana tukikuweka kwenye bahasha inayokueleza vilivyo unakuwa mkali kupindukua.
Kwa vyovyote vile unachokuhubiri ni uchochezi, unachochea vurugu za kidini kwa kutumia kalamu na mihadhara, audience yako ikiwa vijana wadogo wa kiislamu.
Kwenye mihadhara yako usisahau kuandika kuwa wasikilizaji karibu wote ni vijana wa madrassa mliowakusanya kutoka sehemu mbalimbali.
Kwa mantiki hiyohiyo sasas wewe tukuiteje ? mwandishi wa historia ya kiislamu?
Maana historia hiyo wengine haituhusu au unaonaje.
Safi sana mkuu Mohammed Said , maana tukikuweka kwenye bahasha inayokueleza vilivyo unakuwa mkali kupindukua.
Kwa vyovyote vile unachokuhubiri ni uchochezi, unachochea vurugu za kidini kwa kutumia kalamu na mihadhara, audience yako ikiwa vijana wadogo wa kiislamu.
Kwenye mihadhara yako usisahau kuandika kuwa wasikilizaji karibu wote ni vijana wa madrassa mliowakusanya kutoka sehemu mbalimbali.
Kwa mantiki hiyohiyo sasas wewe tukuiteje ? mwandishi wa historia ya kiislamu?
Maana historia hiyo wengine haituhusu au unaonaje.
..Fundi Hata kama Hukusema wewe..lkn wenzako wanalisema hili....
Hatusemi kila akiguswa muislam udini? mbona kaguswa Msabaha?, akaguswa na Karamagi? Dr. Idrissa? kuna mwislam kasema udini?..Mistakes zao za Kiuongozi huwezi kupata support ya waislam.
Serikali kuongozwa na Mwislam si Hoja kuwa Mkono wa Kanisa hauna nguvu...hao wote uliowataja wamekuwa wanakwenda kwa pressure za Wakristo.
Uwe na msimamo. Hauwezi kusema kuwa wakina Msabaha, Karamagi na Idrissa kilichowaponza ni mistakes zao halafu ukageuka hapo hapo na kudai kanisa ndiyo lililowatoa! Huo ndio undumila kuwili tusikopenda. Bahati mbaya ni mtazamo kama huo ndio uliotawala mada hii.
Amandla.......
LG: Insha Allah nitakiweka kisa kizima cha AMNUT ukumbini. Nimtz kama mtafiti wa nje kapitwa na mengi sana. Sheikh Hussein Juma akikaa Mtaa wa Nyamwezi/Mafia nyumba ya bibi yangu bint Farijallah Mkubwa ilikuwa Mafia/Msimbazi pale inapopita barabara ya Msimbazi hivi sasa. Nakufahamisha haya yote ili ujue kuwa mimi si wakumsikiza mtu kutoka Canada, Augustus Nimtz kuhusu historia ya wazee wangu na jinsi walivyoyaona mambo kwa wakati ule. Sheikh Hussein Juma sijui lini alikuwa kiongozi wa AMNUT. Mwenyekiti wa AMNUT alikuwa Mashado Ramadhani Plantan na Katibu alikuwa Abdulwahid Abdulkarim. Mashado nyumba yake ilikuwa Kirk Street (sasa Lindi)/Nyamwezi na mjomba wangu Shomari Lupindo alikuwa jirani yake. Nadhani umenielewa. Insha Allah nitakiweka kisa cha AMNUT ili ukumbi ufaidike. Napoandika hivi sasa ni kama watu hawa nawaona. Tatizo ulokuwanalo wewe ndilo lilomtatiza Nyerere wakati Abdulwahid Sykes na Dr Klerruu wanaandika historia ya TANU. Mtu kutoka Musoma anataka awaeleze watu wa Dar es Salaam siasa za mji zilikuwaje na yeye mgeni kaingia mjini hata miaka kumi haijafika. Huu ni muhali mkubwa. Nimtz utafiti wake ulizama zaidi katika Tariqa Quadiriyya na alikaa sana kwa Sheikh Mohamed Ramia Bagamoyo. Tasnifu yake ipo Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hiyo ina mengi kuliko kitabu.
Mkuu Mohammed Said kuwafahamu hawa masheikh kufahamiana au kuwa ndugu zao haiondoi mashaka yangu juu ya maandiko yako yenye mwelekeo wa udini.
Maandiko kwa ujumla kama nimeyaelewa vema yasema hivi:
1Waislamu ndo waliopigania uhuru zaidi kuliko kundi jingine lolote hasa la Kikristo kabla
ya uhuru kupitia TAA/TANU
2 Baada ya uhuru Nyerere alihakikisha historia ya waIslamu waasisi wa kupigania uhuru
wanapuuzwa katika na kusahauliwa katika maeneo yote
3 Kwamba Mohammed Said anaandika kitabu cha kuonyesha "ukweli" wenyewe na jinsi unavyoonyesha muIslamu alivyo na anavyo kandamizwa nchini Tanzania.
4Kwamba Mohammed Said na nduguze anaowafahamu hata kwa mitaa waliyoishi na wa
Islamu wengine, hawajafaidika na uhuru tuliopata takriban miaka 50 iliyopita
Sasa kwa mtazamaji wa kawaida wa mada hii ya "Ukweli kuhusu waasisi wa TANU na harakati za kupigania uhuru" mimi nimefarijika sana kupata some details kutoka kwa Mohammed Said juu ya yaliyojiri kabla na baada tu ya uhuru.
Nadiriki kusema nimefahamu articles za Mohammed Said tokea magazeti hasa The East African.
Pamoja na ukweli kuwa sikubaliani kabisa na mada za ndugu yangu huyu kwa vile mada hizi zimekaa kuitukuza imani yake kama ndio ikliyopigania uhuru.Na kwamba imani hiyo ikatekelezwa baada ya uhuru na Mwalimu.
Mimi nimeweka maandiko ya watu wawili kukanusha kuwa waTanganyika walipigania uhuru kama mwAfrka kwanza na si kwa imani zao.
Na kupinga ukoloni haukuanza na waislamu , post za nyuma nimeonyesha juhudi za kina Mirambo, Mkwawa , Meli na Sina, na hawa wala hawakuwa waIslamu au waKristo.
Maandiko ya Prof Mhina na Mitz yote Ndugu yangu huyu anayakataa ati kwa vile yeye amekula na kuishi na hao anawaita waasisi wa kiislamu wa uhuru wetu.
Maandiko haya mawili nimeya weka ili kuonyesha kuwa WAISLAMU WALIKATAA UDINI, hata kabla ya uhuru kwa kuikataa AMNUT!!!
Maandiko yapo mengi tu ya kukanusha mwelekeo wa udini wa mwandishi Mohammed Said.
Na vile vile kabla ya uhuru vyama kama TAA vilikuwepo vingi tu mikoani, hivi ni pamoja na vyama vya ushirika vilvyojulikana sana na kuwa na nguvu kubwa.
MS, Mwalimu Nyerere ni jina kubwa kuliko unavyofikiri.
Nina uhakika kuwa leo hii mimi na wewe tusingekuwa tunaelezana haya kama isingekuwa Mwalimu kuondoa matabaka ya kabila , dini na rangi.
Nimeonyesha vile vile kuwa AMNUT, chama cha Kiislamu, kilitaka ubaguzi wa rangi uendelezwe katika Tanganyika.
Sasa unaposema tatizo langu ndilo la Nyerere mtu wa Musoma, na asingeweza kuelewa mambo ya mjini mimi nakushangaa sana.
Bado wa mjini(waIslamu) wakampa Nyerere uenyekiti wa TANU na baadaye Urais wa Tanganyika.
Umjini huo huo ndio ukaviua vyama vya kibaguzi kama AMNUT na vingine vikaishia kupigwa marufuku.
MS you are full of contradictory stories that are nice to read though!!!
Chuma,1. Nyerere hakutaka kumuachia Mzee Mwinyi kwa kupenda. alitaka sana Mtu wake awe Rais baada yake. lkn wakati ule katiba ilitaka Rais atoke ZNZ, na so far wakati Ule Nyerere Nchi ilishamshinda. hali mbaya ya uchumi ilibidi lazima aachie Ngazi...Kipande hiki naachia wanahistoria kufanya utafiti kilichojiri wakati wa Mkutano wa CC wa CCM wakati Ule...Ilikuwa ni mara ya pili Nyerere kulia Ndani ya Kikao....!!!
2. Fundi..nakutajia CHUO cha BANK- Iringa amepewa nani?
3. Hata Hizo shule za kanisa zilizoporwa na Nyerere Kanisa hawakujenga. Shule Zilijengwa na Mkoloni zikapewa kanisha kuziendesha. as moja ya Ajenga ya Mkoloni kutumia DINI kutawala...Local Wakristo fanyeni hesabu shule ngapi mmejenga kwa Mikono yenu?...hapa Mkapa akawapa tena shule ya Magamba...muifanye Chuo Kikuuu...Shule ya Mazengo---na Chuo cha Nyegezi...!!!
.....
4. Hio idadi ulotaja, sikatai, lkn wenzetu kwa kuwepo wao wachache tu Mmefanya Kikwete aitwe Mdini. mlitaka hizo nafasi zote ziende kwenu....nafasi ya BOSS wa TISS ilikuwa na mjadala mrefu hapa JF. utafute uuone. So far hatuhitaji eti waislam wangapi wamechaguliwa, tusipenda ni pale mwislam hata mmoja akichaguliwa kuongozo Idara au Shirika wenzetu mnakuja juu.,mmejizoesha Vibaya kuona Utawala wa Serikali ni Mali yenu....
.....JK teuzi zote anazofanya balaa linakuja pale ambapo kawateua waislam wawili/watatu wenzetu mnaanza kulipuka. ipo Mijadala mingi hapa JF, ambayo kila teuzi ya JK ambayo ndani yake yuko mwislam alau mmoja, mmekuja juu...teuzi zingine hata huwezi kukuta mijadala hapa JF, wala watu kuhoji CV zao...na zikihojiwa tu, mnaanza kutoa Pongezi...Tuache hii kitu.
5. kaka neno HAKI lipo so clear. sio Upendeleo.