Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Hahahaha povu la nini?? Mimi ni mkatoliki wa kuzaliwa, kubatizwa na saktramenti zote nimepata ukatolikini. Hakuna wa kunitoa. Na ningetaka kuondoka ningeshaondoka... sioni sababu ya kutoka, ntabakia na msimamo wangu.

Sibusu msalaba... Period!
Tena mbao mninga uliochongwa na fundi seremala na kuipaka vainish safi kabisa.
 
Barikiwa mtumishi
 
Asante kwa kunielewesha ila hili swala la kuua watu nimelisikia sana japo kila nikiuliza hao watu waliouwawa ni kinanani na wamekosea nini huwa sipati majibu unaweza kunisaidia na taarifa hizo pia mkuu
 
Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...

Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Wewe ni kivuli cha imani yangu. Nilisoma kuwa padri na ibaada ya ijumaa kuu, sakramenti ya kitubio ni baadhi ya mambo ambayo mpaka sasa zaidi ya miaka 25 kuacha useminari - sijaelewa kwanini yanafanyika. Hata hivo, ukatoliki ulioa afrika ni tofauti sana na ulio ulaya na marekani. Huko hawana masanamu bali mosaics za kioo na hawana sanamu. Hata hivo mimi bado ni mkatoliki. Ninaamini katika matendo na imani. Si katika madhehebu!!
 
Kwa mie naejua kusoma kiswahili tu sijafaidika na mada jitahidi utumie kiswahili kwa faida ya wengi!!
 
Hakuna kijipa moyo huo ndio ukweli usiotaka kusikia kwasababu umeishalishwa sumu.
 
Uliyakuta utakufa utayaacha nachuki zako utakufa nazo hujui hata ekaristi nini?
 
Ni bora kuabudu sanamu zinazoonekana, kuelezeka na kuyumkinika kuliko Mungu asiyeonekana, kuelezeka wala kuyumkinika.
 
Musa aliambiwa tengeneza nyoka wa shaba kaambiwa na nani? Soma kwa uelewa huwezi kuabudu kwa kuangalia, au nawewe unamwabudu mchungaji kwakuwa anakuwa mbele yako.?
 
Mbona jaziba? Unaambiwa kuwa kilichokatazwa ni kuabudu sanamu sio kutengeneza kama unavyoamini wewe. 2Sanduku la agano nini? Makerubi nini?
 
Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...

Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Unajichanganya.
 
Mimi nimezaliwa mkatoliki kwa maana wazazi wangu wote wawili ni Wakatoliki,nikalelewa kwa mafundisho ya kikatoliki kanisani catekisimu nikapata kipaimara ....nilivyokuja kusoma huku n'gambo nikakuta bible knowledge kama somo la ziada.. . Nikasoma bible kuanzia genesis mpaka revelation.....nikakutana na Wataalamu wa bible....anyway baada ya kumaliza kozi...ninaona aibu kuingia kanisa la roma nafsi inanisuta....mpaka Leo hii mtu akiniita mkatoliki naona amenitukana...naamini bible na yesu kristu utatu mtakatifu....naomba wakatoliki wasome bible na sio kusubiri wasomewe mistari michache na padri siku ya jumapili...ukatoliki hauendani ma maandiko matakatifu....
 
Tukutane mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…