Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani


Kuhusu nyoka wa shaba, Musa alipewa maagizo ya kumharibu. Maana walianza kumuabudu.
Pia hata Musa alivyokufa, maiti yake haikuzikwa, maana kuna watu wangeanza kuabudu kaburi.

Kuhusu bendera, rejea kisa cha Meshack, Shadrack na Abednego walivyotupwa kwenye tanuru la moto na mfalme Nebukadneza wa Babiloni.
 
NAWEWE soma biblia, acha uvivu.
Imeandikwa
Warumi 14:5-6
[5]Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku, mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe.
One man esteemeth one day above another: another esteemeth every day alike. Let every man be fully persuaded in his own mind.
[6]Yeye aadhimishaye siku, huiadhimisha kwa Bwana; naye alaye, hula kwa Bwana, kwa maana amshukuru Mungu; tena asiyekula, hali kwa Bwana, naye pia amshukuru Mungu.
He that regardeth the day, regardeth it unto the Lord; and he that regardeth not the day, to the Lord he doth not regard it. He that eateth, eateth to the Lord, for he giveth God thanks; and he that eateth not, to the Lord he eateth not, and giveth God thanks.
 

Kwa hiyo wasabato na Yesu kuna gap kati yao?
 
Wasabato hawaadhimishi siku, Bali wanaadhimisha Sabato kama ilivoelekezwa na Mungu.
 
Maneno mengi huna HOJA.

Acheni IBADA ya sanamu,

Ni Machukizo Kwa Muumba.
 
Ukiona taaluma inakunyang'anya General Knowledge, jiulize kama hiyo taaluma ina tija🧐

Yaani uogope kusema 1 + 1 = 2 sio 1 au 1 x 1 = 1 na sio 2 kwa sababu unataka mpaka uwe engineer ndo useme hilo🤔
 
Asante,
 
Wasabato hawaadhimishi siku, Bali wanaadhimisha Sabato kama ilivoelekezwa na Mungu.
Soma hapa angalia kama siku ya 7 ya lunar calendar ni Kila jumamosi ya Gregorian calendar ndo uje tubishane
 

Attachments

alafu hayo mapared hayana maana

namaanisha kutawala dunia kama ilivyotawala roman empire....simaanishi kuenea maana kama kuenea duniani sisi islamic ndo tupo kila mahali na n mara 3 ya idafi ya katolic wordwide
Utakuwa siyo kazima wewe!
 
Kwani ni Uongo,hamna Masanamu kwenye nyumba zenu za ibada?
 
Wakatoliki, wapentecoste, waprostent na vikundi vya mitume na manabii mnasali jumapili lkn mnafundishana maagizo ya wanadamu. Nyie ndo mnashika pasaka, kristmass, mnacheza disco kwenye ibada zenu, mnapiga miziki, mnashindana style na diamond. Ni maagizo ya wanadamu.

Wakristo tunasali jumapili, hatuna music, hatupigi music, tuna ibada kama zilivyo elekezwa na Kristo au mitume wake waliopokea ujumbe kwa Yesu au roho mtakatifu. Tunasali jumapili sababu:-

1. Yesu alifufuka jumapili. Leo mmesoma maandiko mengi yanayothibitisha hayo.

2. Wakristo wa kanisa la karne ya kwanza, walifanya ibada siku ya kwanza ya juma ya juma. Soma mdo 20:7 na 1kor 17:1-2

3. Jumamos siyo siku ya ibada, ni siku ya kupumzika. Kufanya ibada ni kazi, siyo mapumziko. Wanaofanya ibada jumamos hawana andiko linapowaagiza.

4. Siku ya kwanza imetamkwa tangu kutoka 12

Wakatoliki nyie ndiyo mmeharibu injili, mna mafundisho yenu ya uongo mmejitungia wenyewe
 
Ukijibizana na kichaa, na wewe utaonekana ni kichaa. Ajifunze kwa Kakobe ambaye alijitahidi kushindana na Kanisa la Mungu; akaishia tu kuangukia pua.
Kanisa la Mungu ni lipi? Kwa hbr ya upotofu, wakati katoliki imepotoka kwa asilimia 95%, Kakobe amepotoka kwa 50% ana nafuu japo wote ni wakosefu.
 
Usidhani kanisa katoliki ni mapadre tu na maaskofu na masista.

Kanisa ni pamoja na wewe yaani kila aliyebatizwa na hivyo kila mmoja ana duty ya kulilinda kanisa.

Hivyo mjibu huyo muhubiri usisubiri askofu au padre.
Katoliki siyo kanisa, ni dhehebu lililohusika kupotoa kanisa la Yesu. Mathayo 16:17-18. Kujiita kanisa, ni kujifungamanisha na Mungu wkt mmetangaza kumwasi.

Mt 15:8-9 SUV
Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.
 
Hakuna mkatoliki aliyesomea biblia, wamesoma canon law tu, wanatumikia taifa la rumi chini ya taasisi yao ya Vatican
 

Unayo hoja, usikilizwe
 
Kama kuna waumini wajiona tayari wameingia mbinguni nihawa wanasali siku yakufua nguo.
 
Kama kuna sababu za kupondwa wapondwe Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…