Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Kwa bahati Biblia imeandikwa kwa lugha ya Kiswahili na nyingine kwa lugha zetu za asili. Maagizo yote ya Mwenyezi Mungu yanapatikana katika Biblia. Soma vizuri Biblia fuata maagizobyske. Ukatoloki, Ulutheli, Uanglikana, Ulokole hata ule uliopindukia hautampeleka MTU mbinguni. Matendo ndiyo yatakayomfanya mtu awe mtakatifu. Yohana alimwambia Yesu ; tumemuona mtu akitoa pepo kwa jina lako tukamzuia, Yesu anauluza kwa mini mlimzuia, Yohana anajibu, tulimzuia kwa sababu hafuatani na sisi. Yesu anamwambia msimzuie kwa sababu 'ASIYE KINYUME CHETU YU UPANDE WETU'. Kumbe mtu aliweza skatoa pepo kwa Nina la Yesu hsta kama hafuatani naye. Huna sababu ya kuukashifu Ukatoliki kama unaona haukufai. Hamia huko unakoona kunakufaa. Haipendezi waumini wrote wamepiga magoti we we umekaa kwa sababu hskuna sehemu imeandikwa watu wapige magoti.hutaki kufuata utaratibu uliopo, ondoka nenda huko kwenye utsratibu unaouafiki.
 
Unafahamu kejeli wewe au unabwabwaja...???

Hakuna haja ya kwenda huko...ipo wazi...Sheria za kuendesha taasisi fulani usipozifuata na kutaka kuleta zao njia iliyobaki ni kufukuzwa/kuondolewa...ili uwe huru kufanya unayoyataka...

Fr. Nkewera alifukuzwa, Fr. Kibwetere alifukuzwa...Kufukuzwa ni kitu cha kawaida ili walengwa wasiliharibu kanisa...
fr nkewera na fr kibwetere.....!!!! jamani kama hatujui tukae kimya.hawa ni kina nani ndani ya kanisa katoliki.tuache kugushi habari....naona tumeambukizwa tabia chafu ya kugushi na nanahii...
 
Kama wanatokea watu wanasali, wanasujudu mbele ya hizo sanamu, je, Kanisa linawakataza ?
Kama mtu atamua kuziabudu atazuiwa asifanye hivyo ?
 
MUHIMILI WA UKRISTO DUNIANI NI KANISA KATOLIKI.
LINA WAUMINI ZAIDI YA BILIONI MOJA NA WOTE WAMEUNGANISHWA NA BABA MTAKATATIFU. KILA JUMAPILI MAKANISA YOTE DUNIANI YANASOMA INJILI NA NENO MOJA.
BABA MTAKATIFU ANALINDWA NA KUHESHIMIWA KULIKO KIONGOZI YEYOTE DUNIANI.
LINA WASOMI WALIOBOBEA KATIKA FANI MBALI MBALI KULIKO DHEHEBU LOLOTE.
LINA TAASISI NA SHULE ZA AINA MBALI MBALI KULIKO SERIKALI AU DHEHEBU LOLOTE.
KANISA KATOLIKI HALINA UBAGUZI WALA MAJIGAMBO YOYOTE.
HAYA NI MACHACHE TU, KUNA MENGI ZAIDI.
SWALA LA SANAMU AU ALAMA (SYMBOL) YA KUUNGANISHA WATU NA WATU, MTU NA MTU, TAIFA NA TAIFA NA MUNGU NA MWANADAMU NI HIARI YA MTU AU TAIFA KADRI ANVYOONA INAMFURAHISHA BWANA WAKE ILI MRADI ASIHAMISHE HISIA ZAKE KWA YULE ANAYEMKUSUDIA.
ALAMA AMBAZO ZINATUMIKA KWA MADHUMUNI MBALIMBALI NI KAMA IFUATAVYO:
1. BENDERA ZA MATAIFA MBALI MBALI.
2. MWENGE WA UHURU.
3. DASIBINI YA WAISLAMU
4. ROZARI NA MSALABA KWA WAKATOLIKI.
5. KUSALI UNAELEKEA KASKAZINI KWA WAISLAMU
6. FIMBO YA MALKIA
7. BENDERA ZA AINA MBALIMBALI.
8. PICHA YA RAIS KUWEKWA KILA OFISI YA UMMA, SERIKALI N.K.
HAYA YOTE YANAJARIBU KUBADILISHA HISIA YA MWANADAMU NA KUMLETA KARIBU ZAIDI NA TUKIO. WATU WANATOFAUTINA SANA KWA HISIA, UELEWA, KUMBUKUMBU N.K.
 
Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...

Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Ahaa!
Sasa Mkuu hapo si usitishe tu kuhudhuria kanisani.

Bahati nzuri nimezaliwa katika kanisa la katoliki na nimepata kukaa na Ma-padri na Masisita bila kusahau Elimu ya Religion na Bible knowledge.
1.kanisa katoliki Linamambo mengi ambayo waamini hawayafahamu na pengine hawataki hata kuyatambuaa vyema.

2.Wakatoliki wengi ni wavivu wakusoma Biblia huu ni ukweli mchungu.

3.Wakotoliki wengi ni waoga wakuuliza maswali mbalimbali yahusuyo kanisa.

Nb: Nipo huru sina kanisa wala Buddhism/Islamic/Christianity/Baha'i/Hinduism.
 
Uko huru sasa yesu akija leo wewe atakuweka kundi gan
 
Ahaa!
Sasa Mkuu hapo si usitishe tu kuhudhuria kanisani.

Bahati nzuri nimezaliwa katika kanisa la katoliki na nimepata kukaa na Ma-padri na Masisita bila kusahau Elimu ya Religion na Bible knowledge.
1.kanisa katoliki Linamambo mengi ambayo waamini hawayafahamu na pengine hawataki hata kuyatambuaa vyema.

2.Wakatoliki wengi ni wavivu wakusoma Biblia huu ni ukweli mchungu.

3.Wakotoliki wengi ni waoga wakuuliza maswali mbalimbali yahusuyo kanisa.

Nb: Nipo huru sina kanisa wala Buddhism/Islamic/Christianity/Baha'i/Hinduism.
Mkuu wewe uko sahihi kabisa. Vijana kama kina Otorong'ong'o jiwe la majiwe hawawezi kukuelewa kabisa. Wao ili mradi kitu kimeandikwa kwenye katekisimu wao kwao ndio sheria.
 
Katekisimu ni nini...?

Huenda hata hiyo katekisimu hujui maana yake...
Mada iko mezani njoo na majibu kuhusu uwepo wa sanamu na kama zinaabudiwa au haziabudiwi. Sasa unakuja na imani moja,katekisimu na ukatoliki wa nini?!! Jadili mada ya msingi ndugu. Hakuna haja ya lugha kali wala matusi,toa maelezo na ushahidi hata asie na imani kama yako aelewe kwanini unaona sawa uwepo wa sanamu kanisani
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Kwel mi huwa nashangaa wanapata wap mamlaka hayo wakat amri kumi za mungu wamekataza
 
Mada iko mezani njoo na majibu kuhusu uwepo wa sanamu na kama zinaabudiwa au haziabudiwi. Sasa unakuja na imani moja,katekisimu na ukatoliki wa nini?!! Jadili mada ya msingi ndugu. Hakuna haja ya lugha kali wala matusi,toa maelezo na ushahidi hata asie na imani kama yako aelewe kwanini unaona sawa uwepo wa sanamu kanisani
Umeelewa alichoandika mtoa mada..?
 
Back
Top Bottom