Ukweli Kuhusu Wakazi Halisi wa Nchi Takatifu (the Holy Land)

Agenda kubwa ya Waislam
IMG_2299.jpeg
 
2. Leo hii dola za Uingereza na Marekani zinawalinda mno wayahudi pale palestine, Mosi ni project yao waliyoshiriki kuianzisha, pili Wayahudi wana influence kubwa za kiuchumi, kitekinolojia, kivyombo vya habari na hata funding za kisiasa kwa wanasiasa
Tatu ni kuwa hawawataki nchini kwao ulaya yote, kwa hivyo wanajaribu kwa vyo vyote kuwabakisha hapo hapo walipo.
 
Kwani nani kawambia kulikuwa na nchi inaitwa Israel kabla 1948? Na Wala hakukuwa na nchi inaitwa Palestine kabla ya 1948. Na mpaka tunafika 1967 hakukuwa na state of Palestine. Bali kulikuwa na Jordan iliyo extend mpaka west bank, na Egypt iliyo extend mpaka Gaza. Kuanzia 1979 Egypt iliikataa Gaza kwa sababu ya siasa zenu kali za Kiislam
Wewe unaejua zaidi ya wenye nchi msikilize huyu mama Golda Meir (natumai unamjua alikuwa nani)

View: https://www.youtube.com/watch?v=J2zvHcGNZXQ
 
Bitimkongwe PM Golda Meir anachosema ndicho UMOJA wa MATAIFA mwaka 1947 walikisisitiza, kuwa kulikuwa tu na Palestine land ambayo kwa miaka hiyo wakazi wake walikuwa Jews na Arabs. Baadae ya kuona watu Hawa hawawezi kupikwa chungu kimoja ndiyo wakaja na Resolution 181 (II) ya kuunda two states za Jewish state na Arab state. Nikakuwekea na Ramani ya Mipaka yake. Wayahudi waliukubali LAKINI Waarabu wakakataa.
Na ndipo ninaposisitiza kuwa chuki hiyo kwa Wayahudi imo kwenye Quran. Na pia Quran hiyo hiyo inachochea chuki ya Waislam kwa Wakiristo.
Soma Aya 9:29 Aya 5:51 na sahihi Muslim Hadith 2922 zote zinachochea chuki.
Na pia Waislam wanawafundisha watoto wao kwenye madrasa Tangu watoto kuwa na hii chuki
Ona hii Twitter

View: https://x.com/AmFuzzy/status/1712571289804972480?s=20
 
Ilipogawanywa SUDAN kuwa Sudan kusini na kaskazini walifurahia. Ilipogawanywa PALESTINE kuwa Palestine na Israel wanapiga kelele wanasema hakukuwa na nchi inayoitwa Israel. Mtu akivaa kobazi akafuga na ndevu basi anajiona yeye ndio mjomba wake mtume. ELIMU, ELIMU,ELIMU
 
Baadae ya kuona watu Hawa hawawezi kupikwa chungu kimoja ndiyo wakaja na Resolution 181 (II) ya kuunda two states za Jewish state na Arab state. Nikakuwekea na Ramani ya Mipaka yake. Wayahudi waliukubali LAKINI Waarabu wakakataa.
kwanza historically wote walikuwa chini ya ottoman empire na wala hakukuwa na 'kupikika chungu kimoja wala nini" , walikuwa wanaishi kwa moyo mmoja. Na ndiyo maana yeye anasema alikuwa na Palestinian passport before 1947. Jews pia walikuwepo Egypt, Iraq, Iran, Lebanon na Syria kwa miaka elfu yote hiyo wakifanya shughuli zao kwa amani kabisa.

Umewahi kusikia vita ya yahudi na muarabu kabla ya 1947? Hiyo yote ilikuwa ni 'divide and rule' ya muingereza na hiyo ndiyo aliyokuwa anayosema Golda Meir.

Umewahi kuwasikia 'ahlul kitab' kwenye qur'ani? Basi nikueleze ni wale 'wanaofuata kitabu' - yaani jews na christians. Bila ya shaka unachukuwa half a sentence kwenye qurani halafu munasema imeamrisha iuwe wakristo na yahudi.
 
Hili Ni Jambo ambalo Lina ukakasi Sana lakini Leo ntaweka wazi ukweli ulivyo ..ishu iko hivi waisrael wa sasa sio real Jews ..hawa kiasili Ni watu wanaotokea Kazakhstan ya zamani na uturuki na wanatokea katika kabila linaloitwa khazars...kwanini wanaitwa wayahudi?...Hii ni kwa sababu jamii hii ya watu ilikubali kubadili dini zao na kujiunga na dini ya uyahudi ...kwa hiyo Hawa watu walikuwa converted to Jews ...since there wakaanza kujiita wayahudi na pia wakatambulika hivyo ......JE WAYAHUDI HALISI WAKO WAPI?....katika kipindi ambapo yesu alikuwa anazaliwa Israel ilikuwa ni Roman colony...ilikuwa chini ya mamlaka ya waroma ...waroma walimchagua mfalme herode Kama mfalme wanayemtambua na kumfulusha aliyekuwepo.....katika kipindi hiki harakati za kusambaa dini ya ukristo zilikuwa zimepamba Moto na waroma walikuwa hawakubaliani na dini hii mpya...so baada ya kifo cha yesu waroma walipiga marufuku harakati za kusambaa ukristo...hii iliendana na utesaji na mauaji ya pro Christian katika kipindi hiki ndipo wafuasi waliuuwawa kwa wingi..policy hii ilikuwa inaitwa Christian persecution...pamoja na serikari ya kikoroni ya waroma kuzuia harakati za ukristo Bado wafuasi hawakukata tamaa...hivyo Basi historia inasema mwaka 70...waroma walikuja na mpango mwingine wa kuwahamisha waisrael wote katika eneo hilo na kubadilisha kabisa jina la eneo hilo na kuliita Palestine maana yake ardhi isiyokuwa na mwenyewe...hivyo Basi waisrael wengi waliuuwawa na wengine kukimbia na hapa kwa msisitizo mwamba Hawa watu walikimbia kusini ambako kulikuwa na watu wanaofafana nao yaani weusi wenzao..kwa maana hiyo ukiingalia ramani kusini maana yake ni maeneo ya misri na Ethiopia..ILIKUWJE HAWA WAISRAEL WA SASA KUISHI HAPO.. mwaka 1948 ndipo Israel ya sasa ilizaliwa Kama nilivyosema Hawa watu Ni wayahudi wa kusilimu na sio waisrael na Hawa Ni wazungu ..kwa sababu ulaya na maeneo mengi duniani dini zinazotambulika ni ukristo na uislamu ..so uyahudi Ni dini inayopinga ukristo hivyo Basi kundi hili la watu lilitengwa sehemu kubwa ya dunia na hii kupelekea kuuwawa watu milioni sita na hitrer kwenye tukio linaloitwa Holocaust...hivyo Basi wakubwa wa dunia walikuja na mpango wa kulitafutia mahali pa kuishi kundi hili na kulikuwa na suggestion nyingi kuhusiana na wapi wapelekwe kuishi ambako kutakuwa Ni salama ..maeneo mengi yalitajwa ikiwemo Uganda..ndipo wao wenyewe kupitia kiongozi wa wayahudi feki theodol hezir kusugest kuwa wapelekwe kwenye nchi yao ya ahadi ambapo Ni Palestine...so ikawa rahisi kwa sababu Palestine ilikuwa chini ya nwingereza so Jambo hili likafanikiwa 1948 wakaanzisha nchi yao inayoitwa Israel chini ya Ben gulion Kama first prime minister...so ni kosa wao kujiita WAISRAEL lakini sio kosa kujiita wao wayahudi kwa sababu mtu yeyote anawezabkuwa myayaudi kwa sababu Ni Imani Ila uisrael Ni asili ya watu ambao sio wao kwa sababu waisrael wenyewe Ni weusi sio wazungu wakati wao Ni wazungu....na waisrael HALISI yaani ambao kitaalamu wanaitwa biblical Jews wapo na mpaka jamaa zake yesu wapo na wanaishi Ethiopia..wanafuata tamaduni za biblia...
 
Siyto kwe;li. ninadhani umepata mafundisho ya mtu moja anayejiita nabii kwani ana maelezo yanayofanana na haya uliyoandika. Soma Biblia Takatifu ndipo utaujua UKWELI nao utakuweka huru.
 
Jifunze kuandika kwa kifupi.
 
weka chanzo cha hiki ulichoandika yaan online link au ni mawazo yako tu?
 
Kwa mwandiko huu, wewe hata la 7 B inaweza kuwa hukufika. Sasa kweli ma GT wa JF tujadili na mada yako?
 
Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi.

Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na Makabila 10 ya Waisrael (the Northern Kingdom of Israel), Makabila mawili ya waisrael (Judah & Benjamin) ikijulikana kama Ufalme wa Judah ambao Mji Mkuu wake ulikuwa Jerusalem. Hata hivyo upande wa Kusini mwa nchi takatifu maeneo ambayo sasa ni Gaza na Ashkelon lilikuwepo taifa la Wafilisti (Philistines); Mnamkumbuka Goliath aliyeuliwa na Mfalme Daudi. Jina hili Philistine walipewa na mwandishi mmoja wa Kigiriki.

Taifa la kwanza kutumia jina Palestine ni waroma katika karne ya 2 ambapo walitumia neno “Syria Palaestina,” kuhusiana maeneo chini ya himaya yao kusini mwa Syria (Holy Land). Karne ya 4 wakati mfalme wa Roman Empire Constantine the Great alipobatizwa, eneo hilo likawa kitovu cha Ukristo. Lakini ilipofika miaka ya 635 (or 638) Waislam chini Caliph Umar waliteka na kuanza kukalia Nchi takatifu. Utawala wa Kiislam ulimalizika baada ya Christian Crusaider walipoiichukua Jerusalem miaka ya 1099 au 1291.

Utawala wa Jerusalem na Holy Land kwa ujumla ulikuja tena kuwa chini ya Ottoman Empire (Uturuki) ambaye ni Muislam kuanzia 1516 mpaka baada ya Vita Kuu ya Kwanza ambapo Ottoman Empire ilipigwa na The League of Nations (Umoja wa Mataifa kwa Wakati Huo) ilipowakabidhi Waingereza Mamlaka ya kuitawala Nchi takatifu mwaka 1922. Wakati Ottoman empire inachukua Holy Land kulikuwa na Wajews 1,000

Kumbuka hapo mwanzo nilisema Nyumbani kwenye chimbuko lako ni kwako tu, ipo siku hali zikikulazimisha utarudi. Mazingira ya kwanza kuwafanya wayahudi waanze kurudi kwao ni ushawishi wa Sultan Suleyman wa Ufalme wa Ottoman akivutiwa na utaalam wao hivyo akawataka warudi ili kuimarisha uchumi. Hivyo kufikia karne ya 16 idadi ya wayahudi ikafikia 10,000. Mazingira ya pili ni Mauwaji ya Kimbari (Holocaust) waliofanyiwa na Wanazi. Wengi walirudi wakitokea Ulaya ya Mashariki.

Baada ya Uingereza kuona ugumu unaoletwa na Waarabu kufikia muafaka, ililirudisha suala hilo kwa Umoja wa Mataifa. Mwaka 1947 UN ilipiga kura na kupitisha Azimio (Resolution 181 (II) kuunda mataifa mawili yanayojitegemea moja la Waisrael (Jewish State) na la pili la Arab State, na kwamba Jerusalem ubakie Mji wa Kimataifa (Kitu kama hicho kimefanyika kwa NEW YORK ndiyo maana Serikali ya USA hata kama inaugomvi na Serikali yeyote ile, mfano Iran, bado hairuhusiwi kumzuia kiongozi wao kuja New York kwenye vikao vya Umoja wa Mataifa). Azimio hilo hilo. Waarabu kama ilivyodesturi yao wakaanzisha vurugu na kuwauwa wayahudi sababu ati Wayahudi walikubali mpango wa UMOJA WA MATAIFA wa kuruhusu wawe na State yao!! Kiujumla waarabu hawakuwataka Wayahudi katika Holy Land. Mwaka 1948 Wayahudi wakajitangazia Taifa lao na Hapo Mataifa mengine ya Kiarabu yakaingia Vitani na Israel (Egypt, Jordan, Syria na Lebanon) Israel ilishinda vita hiyo na kujiongezea Eneo lao la nchi kutoka 56% mpaka 77% n ahata waliweza kuchukua West Jerusalem. Baada ya hapo UN ilisuruhisha na kupitisha Azimio 181 la kuzipa Jordan kusimamia/tawala West Bank na East Jerusalem na Egypt kutawala GAZA.

Waarabu hawakukoma kwani walirudi tena kuivamia Israel mwaka wa 1967 (Egypt, Syria na Jordan). Israel iliwapiga na kuchukua Gaza, Sinai, golan Heights, West Bank na East Jerusalem. Wakati Israel na Egypt ziliposaini mkataba wa Amani 1979, Waziri Mkuu wa Israel, Menachem Begin alitaka Gaza pia irudishwe kwa Egypt lakini Rais Anwar Sadat akakataa katakata akijua fika kuwa Waarabu wa Gaza ni Siasa Kali.

Israel ilibakiwa na Gaza mpaka mwaka 2005, wakati huo Waziri Mkuu akiwa Ariel Sharon akaamua wawarudishie wenyewe hiyo Gaza. Katika kipindi chote Israel imekalia Gaza kulikuwa na maendeleo sana. Kama ilivyo Zanzibar Israel ilipeleka Maji na Umeme tena BURE (Mpaka leo hawalipii). Mara baada ya Gaza kurudi kwa wapalestina, Ushetani wa HAMAS kuna wakati wakachimbua Mabomba yam aji (steel pipes) na kutengenezea Rockets za kuwashambulia Israel. Upande wa West Bank Kuna maendeleo sana kwani angalau upande ule kunatawaliwa na Fatah. Jambo moja ninaloweza kusema kuhusu west bank na jambo hilo Marekani na Nchi zote za Magharibi zinapinga ni uanzishaji wa Makazi ya Walowezi (settlers) wa Kiyahudi kwenye Maeneo ambayo kulingana na UN Resolution 181 (II) ya 1947 ni ya Palestinian Arabs.

Jambo linguine ni kuwa Waislam kama alivyo Baba yao wa Tangu zama hizo (Shetani Mkubwa ALLAH-Quran inaonyesha hivyo wala situngi someni) ni Waongo na mafundi sana wa Propaganda. Wanatuambia sisi Waafrika kuwa Israel na Makaburu (Apartheid State) kama walivyokuwa Makaburu Afrika ya Kusini, HUO ni Uongo Mkubwa. Israel state wako Jews na Arabs na wote wanahaki sawa kabisa (Elimu, makazi, Matibabu, kujiunga na Jeshi na hata kushiriki siasa) Je kitu kama hicho kiliwezekana wakati wa Utawala wa Makaburu??

Kumalizia naomba mtafakari, mkikumbuka mwazo wa Uzi huu. Kihistoria the Holy land ilikuwa nchi ya watu gani?- Taifa ya Israel ya Kaskazini, Taifa la Yuda na Wafilisti. Unamkumbuka Mfalme Nebuchadnezzar wa Babylonian, huyo aliwachukua Utumwani Waisrael ambao baada ya Miaka 70 walirudi nyumbani. Lakini pia aliwauwa na Wafilisti waliobaki aliwachukua Utumwani, ila tofauti na Waisrael, hawa hawakurudi tena nyumani kwao na badala yake wakachangamana na Phoenician na kupotelea utumwani. HIVYO WAKAZI HALISI WA HOLY LAND WAKABAKIA KUWA NI WAYAHUDI Tafadhali soma Amos 1:8, Ezekiel 25:16,17 Jeremiah 47:4 and Isiah 14:29 kuhusu uangamizo wa Philistines

Wito wangu kwa Waislam, Msipumbazwe na Upepo wa sauti za wengi zinazoendelea huko Duniani, maana ilikuwa ni Agenda ya Uislam wa Siasa kali kuvamia Ulaya kwa nia ya Kuutawala ulimwengu, na ndicho tunachoona kinatokea sasa hivi Amerika na Ulaya; Hata hivyo Neno la Mungu (Biblia Litasimama palepale). Kwa tunaosoma Biblia hatushangai kwanini Waislamu wanaonekana kuwa na sauti katika kusukuma jambo lao. Hiyo YOTE NI KWA SABABU BIBLIA INASEMA ULIMWENGU MZIMA UKO CHINI YA USHAWISHI WA SHETANI 1 John 5:19 na pia John 16:11 inamtambulisha Shetani kuwa kwa sasa ndiye Mtawala wa Ulimwengu huu.
Bila shaka
wewe ni mkristo, Na umeandika haya kwa mtazamo wa kikristo, na maana umetumia rejea kutoka kwenye ukristo, je asili ya uyahudi ni nini? Na je Messiah aliwapinga au aliwaongoza? Kwanini walimkataa na hadi sasa wanamkataa? Na je ni kwanini wakristo wanajipendekeza kwa wayahudi? Ahsante ndugu muandishi
 
Umeandika mambo mengi, hata mpangilio unamvuruga msomaji.
Katika Uzi wangu nimekuonyesha Toka mwanzoni chimbuko hasa la wakazi wa hilo eneo ; history can deny it. Katika history aliyerekodiwa kuhamasisha wayahudi kurudi kwao alikuwa sultan wa Ottoman Empire. Waislam unaowasema wewe caliphates sana sana walikuwa na lengo la kueneza Uislam na kufuta historia ya uyahudi na ukiristo. Huwezi ficha hiyo kwani hata kwenye mafundisho ya Quran na Hadith za Mtume ipo hiyo. Nitakutipia screenshot hapa chini. Pili unawapa lawama Moja kwa Moja waingereza kuwa walikalia holy land na kuwasaidia wayahudi kurudi na kuanzisha Taifa lao; Uongo. Walianzisha Taifa la Israel na pia kutaka lianzishwe Taifa la Waarabu na UMOJA wa MATAIFA 1947. Mm nimesoma website ya UN, wewe taarifa zako unapata wapi kama siyo sources zenu za kijahidina?
Kama kweli nyinyi Waislam mko genuine mkijua kuwa wote wayahudi na Waarabu mna chimbuko katika Palestine land kwanini hamkukubali Azimio la UN? Tatizo lipo kwenyeafundisho yenu Allah ameawapamdikizia chuki kwa Wakiristo na Wayahudi. Soma Hadith 2922 na Quran 19:29-31
Wayahudi waliukubali Azimio hilo la UN.
Kwani wayahudi wanamkubali kristo? Au ndio uzamwamwa
 
Back
Top Bottom