Sawa, nao Waarab wamefanya nini katika kuleta mandeleo hapa duniani? Katika masuala ya kiroho, hapa Afrika kila jamii (kabila) lilikuwa linaamini Mungu kutokana na mila na imani zao kabla ya wasanii Waarab kuja kutudanganya na dini yao isiyo na mashiko kwetu. Katika imani zetu, hatujawahi hata siku moja kuuana kumgombea Mungu kwani kila mmoja aliamini Mungu kwa imani yake kutokana na ukanda anaoishi au kabila lake na tuliishi kwa amani huku tukiheshimiana.
Katika suala la ngono kama unavyodai, sikatai kuwa wanadamu tunapenda ngono na ni kitu ambacho kipo na kugegedana ni haki ya kila mtu kwani ni starehe na pia ni nzuri kiafya. Ukiangalia takwimu kwenye mitandao nchi zinazoongoza kuangalia sinema za X za kujamiana jinsia moja utakuta nchi za Waarab, Pakistan ndiyo vinara na hizi ni nchi za Kiislam. Unapata picha gani hapa? Ndugu zanguni Waislam mnakalia unafiki tu wakati hampendi ukweli, msijidanganye jamani, hamkeni muda ndiyo huu.