Ukweli Kuhusu Wakazi Halisi wa Nchi Takatifu (the Holy Land)

Kwani nani kawambia kulikuwa na nchi inaitwa Israel kabla 1948? Na Wala hakukuwa na nchi inaitwa Palestine kabla ya 1948. Na mpaka tunafika 1967 hakukuwa na state of Palestine. Bali kulikuwa na Jordan iliyo extend mpaka west bank, na Egypt iliyo extend mpaka Gaza. Kuanzia 1979 Egypt iliikataa Gaza kwa sababu ya siasa zenu kali za Kiislam
Kuna upogo kwenye andiko lako,baada ya wayahudi kufurushwa Israel na byzantine,ni khalifa ummar ndiye aliyewarudisha,rejea ummar pact,halafu crusaders walifurushwa hapo Saladin,hao wayahudi mtume saw kaishi nao na wakiishi arabuni miaka nenda Rudi,vurugu zote zilizotokea tangu na.tangu hawakuingiliana na watu wengine na kuzaana?!..bado ni walewale tu?
 
Umeandika mambo mengi, hata mpangilio unamvuruga msomaji.
Katika Uzi wangu nimekuonyesha Toka mwanzoni chimbuko hasa la wakazi wa hilo eneo ; history can deny it. Katika history aliyerekodiwa kuhamasisha wayahudi kurudi kwao alikuwa sultan wa Ottoman Empire. Waislam unaowasema wewe caliphates sana sana walikuwa na lengo la kueneza Uislam na kufuta historia ya uyahudi na ukiristo. Huwezi ficha hiyo kwani hata kwenye mafundisho ya Quran na Hadith za Mtume ipo hiyo. Nitakutipia screenshot hapa chini. Pili unawapa lawama Moja kwa Moja waingereza kuwa walikalia holy land na kuwasaidia wayahudi kurudi na kuanzisha Taifa lao; Uongo. Walianzisha Taifa la Israel na pia kutaka lianzishwe Taifa la Waarabu na UMOJA wa MATAIFA 1947. Mm nimesoma website ya UN, wewe taarifa zako unapata wapi kama siyo sources zenu za kijahidina?
Kama kweli nyinyi Waislam mko genuine mkijua kuwa wote wayahudi na Waarabu mna chimbuko katika Palestine land kwanini hamkukubali Azimio la UN? Tatizo lipo kwenyeafundisho yenu Allah ameawapamdikizia chuki kwa Wakiristo na Wayahudi. Soma Hadith 2922 na Quran 19:29-31
Wayahudi waliukubali Azimio hilo la UN.
Kwa nini unachanganya dini na ardhi?..wapelestina wanapambania ardhi yao na si waislam,mtazamo wako kwenye hili suala unaongozwa na dini,hapakua na nchi ya Israel kabla ya 1948 Bali hiyo nchi iliitwa palestina,na khalifa ummar ndiye aliyewarudisha wayahudi Palestine, soma ummar pact,ipo hata mtandaoni
 
Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi.

Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na Makabila 10 ya Waisrael (the Northern Kingdom of Israel), Makabila mawili ya waisrael (Judah & Benjamin) ikijulikana kama Ufalme wa Judah ambao Mji Mkuu wake ulikuwa Jerusalem. Hata hivyo upande wa Kusini mwa nchi takatifu maeneo ambayo sasa ni Gaza na Ashkelon lilikuwepo taifa la Wafilisti (Philistines); Mnamkumbuka Goliath aliyeuliwa na Mfalme Daudi. Jina hili Philistine walipewa na mwandishi mmoja wa Kigiriki.

Taifa la kwanza kutumia jina Palestine ni waroma katika karne ya 2 ambapo walitumia neno “Syria Palaestina,” kuhusiana maeneo chini ya himaya yao kusini mwa Syria (Holy Land). Karne ya 4 wakati mfalme wa Roman Empire Constantine the Great alipobatizwa, eneo hilo likawa kitovu cha Ukristo. Lakini ilipofika miaka ya 635 (or 638) Waislam chini Caliph Umar waliteka na kuanza kukalia Nchi takatifu. Utawala wa Kiislam ulimalizika baada ya Christian Crusaider walipoiichukua Jerusalem miaka ya 1099 au 1291.

Utawala wa Jerusalem na Holy Land kwa ujumla ulikuja tena kuwa chini ya Ottoman Empire (Uturuki) ambaye ni Muislam kuanzia 1516 mpaka baada ya Vita Kuu ya Kwanza ambapo Ottoman Empire ilipigwa na The League of Nations (Umoja wa Mataifa kwa Wakati Huo) ilipowakabidhi Waingereza Mamlaka ya kuitawala Nchi takatifu mwaka 1922. Wakati Ottoman empire inachukua Holy Land kulikuwa na Wajews 1,000

Kumbuka hapo mwanzo nilisema Nyumbani kwenye chimbuko lako ni kwako tu, ipo siku hali zikikulazimisha utarudi. Mazingira ya kwanza kuwafanya wayahudi waanze kurudi kwao ni ushawishi wa Sultan Suleyman wa Ufalme wa Ottoman akivutiwa na utaalam wao hivyo akawataka warudi ili kuimarisha uchumi. Hivyo kufikia karne ya 16 idadi ya wayahudi ikafikia 10,000. Mazingira ya pili ni Mauwaji ya Kimbari (Holocaust) waliofanyiwa na Wanazi. Wengi walirudi wakitokea Ulaya ya Mashariki.

Baada ya Uingereza kuona ugumu unaoletwa na Waarabu kufikia muafaka, ililirudisha suala hilo kwa Umoja wa Mataifa. Mwaka 1947 UN ilipiga kura na kupitisha Azimio (Resolution 181 (II) kuunda mataifa mawili yanayojitegemea moja la Waisrael (Jewish State) na la pili la Arab State, na kwamba Jerusalem ubakie Mji wa Kimataifa (Kitu kama hicho kimefanyika kwa NEW YORK ndiyo maana Serikali ya USA hata kama inaugomvi na Serikali yeyote ile, mfano Iran, bado hairuhusiwi kumzuia kiongozi wao kuja New York kwenye vikao vya Umoja wa Mataifa). Azimio hilo hilo. Waarabu kama ilivyodesturi yao wakaanzisha vurugu na kuwauwa wayahudi sababu ati Wayahudi walikubali mpango wa UMOJA WA MATAIFA wa kuruhusu wawe na State yao!!

Kiujumla waarabu hawakuwataka Wayahudi katika Holy Land. Mwaka 1948 Wayahudi wakajitangazia Taifa lao na Hapo Mataifa mengine ya Kiarabu yakaingia Vitani na Israel (Egypt, Jordan, Syria na Lebanon) Israel ilishinda vita hiyo na kujiongezea Eneo lao la nchi kutoka 56% mpaka 77% n ahata waliweza kuchukua West Jerusalem. Baada ya hapo UN ilisuruhisha na kupitisha Azimio 181 la kuzipa Jordan kusimamia/tawala West Bank na East Jerusalem na Egypt kutawala GAZA.

Waarabu hawakukoma kwani walirudi tena kuivamia Israel mwaka wa 1967 (Egypt, Syria na Jordan). Israel iliwapiga na kuchukua Gaza, Sinai, golan Heights, West Bank na East Jerusalem. Wakati Israel na Egypt ziliposaini mkataba wa Amani 1979, Waziri Mkuu wa Israel, Menachem Begin alitaka Gaza pia irudishwe kwa Egypt lakini Rais Anwar Sadat akakataa katakata akijua fika kuwa Waarabu wa Gaza ni Siasa Kali.

Israel ilibakiwa na Gaza mpaka mwaka 2005, wakati huo Waziri Mkuu akiwa Ariel Sharon akaamua wawarudishie wenyewe hiyo Gaza. Katika kipindi chote Israel imekalia Gaza kulikuwa na maendeleo sana. Kama ilivyo Zanzibar Israel ilipeleka Maji na Umeme tena BURE (Mpaka leo hawalipii). Mara baada ya Gaza kurudi kwa wapalestina, Ushetani wa HAMAS kuna wakati wakachimbua Mabomba yam aji (steel pipes) na kutengenezea Rockets za kuwashambulia Israel. Upande wa West Bank Kuna maendeleo sana kwani angalau upande ule kunatawaliwa na Fatah. Jambo moja ninaloweza kusema kuhusu west bank na jambo hilo Marekani na Nchi zote za Magharibi zinapinga ni uanzishaji wa Makazi ya Walowezi (settlers) wa Kiyahudi kwenye Maeneo ambayo kulingana na UN Resolution 181 (II) ya 1947 ni ya Palestinian Arabs.

Jambo linguine ni kuwa Waislam kama alivyo Baba yao wa Tangu zama hizo (Shetani Mkubwa ALLAH-Quran inaonyesha hivyo wala situngi someni) ni Waongo na mafundi sana wa Propaganda. Wanatuambia sisi Waafrika kuwa Israel na Makaburu (Apartheid State) kama walivyokuwa Makaburu Afrika ya Kusini, HUO ni Uongo Mkubwa. Israel state wako Jews na Arabs na wote wanahaki sawa kabisa (Elimu, makazi, Matibabu, kujiunga na Jeshi na hata kushiriki siasa) Je kitu kama hicho kiliwezekana wakati wa Utawala wa Makaburu??

Kumalizia naomba mtafakari, mkikumbuka mwazo wa Uzi huu. Kihistoria the Holy land ilikuwa nchi ya watu gani?- Taifa ya Israel ya Kaskazini, Taifa la Yuda na Wafilisti. Unamkumbuka Mfalme Nebuchadnezzar wa Babylonian, huyo aliwachukua Utumwani Waisrael ambao baada ya Miaka 70 walirudi nyumbani. Lakini pia aliwauwa na Wafilisti waliobaki aliwachukua Utumwani, ila tofauti na Waisrael, hawa hawakurudi tena nyumani kwao na badala yake wakachangamana na Phoenician na kupotelea utumwani. HIVYO WAKAZI HALISI WA HOLY LAND WAKABAKIA KUWA NI WAYAHUDI Tafadhali soma Amos 1:8, Ezekiel 25:16,17 Jeremiah 47:4 and Isiah 14:29 kuhusu uangamizo wa Philistines

Wito wangu kwa Waislam, Msipumbazwe na Upepo wa sauti za wengi zinazoendelea huko Duniani, maana ilikuwa ni Agenda ya Uislam wa Siasa kali kuvamia Ulaya kwa nia ya Kuutawala ulimwengu, na ndicho tunachoona kinatokea sasa hivi Amerika na Ulaya; Hata hivyo Neno la Mungu (Biblia Litasimama palepale). Kwa tunaosoma Biblia hatushangai kwanini Waislamu wanaonekana kuwa na sauti katika kusukuma jambo lao. Hiyo YOTE NI KWA SABABU BIBLIA INASEMA ULIMWENGU MZIMA UKO CHINI YA USHAWISHI WA SHETANI 1 John 5:19 na pia John 16:11 inamtambulisha Shetani kuwa kwa sasa ndiye Mtawala wa Ulimwengu huu
Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi.

Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na Makabila 10 ya Waisrael (the Northern Kingdom of Israel), Makabila mawili ya waisrael (Judah & Benjamin) ikijulikana kama Ufalme wa Judah ambao Mji Mkuu wake ulikuwa Jerusalem. Hata hivyo upande wa Kusini mwa nchi takatifu maeneo ambayo sasa ni Gaza na Ashkelon lilikuwepo taifa la Wafilisti (Philistines); Mnamkumbuka Goliath aliyeuliwa na Mfalme Daudi. Jina hili Philistine walipewa na mwandishi mmoja wa Kigiriki.

Taifa la kwanza kutumia jina Palestine ni waroma katika karne ya 2 ambapo walitumia neno “Syria Palaestina,” kuhusiana maeneo chini ya himaya yao kusini mwa Syria (Holy Land). Karne ya 4 wakati mfalme wa Roman Empire Constantine the Great alipobatizwa, eneo hilo likawa kitovu cha Ukristo. Lakini ilipofika miaka ya 635 (or 638) Waislam chini Caliph Umar waliteka na kuanza kukalia Nchi takatifu. Utawala wa Kiislam ulimalizika baada ya Christian Crusaider walipoiichukua Jerusalem miaka ya 1099 au 1291.

Utawala wa Jerusalem na Holy Land kwa ujumla ulikuja tena kuwa chini ya Ottoman Empire (Uturuki) ambaye ni Muislam kuanzia 1516 mpaka baada ya Vita Kuu ya Kwanza ambapo Ottoman Empire ilipigwa na The League of Nations (Umoja wa Mataifa kwa Wakati Huo) ilipowakabidhi Waingereza Mamlaka ya kuitawala Nchi takatifu mwaka 1922. Wakati Ottoman empire inachukua Holy Land kulikuwa na Wajews 1,000

Kumbuka hapo mwanzo nilisema Nyumbani kwenye chimbuko lako ni kwako tu, ipo siku hali zikikulazimisha utarudi. Mazingira ya kwanza kuwafanya wayahudi waanze kurudi kwao ni ushawishi wa Sultan Suleyman wa Ufalme wa Ottoman akivutiwa na utaalam wao hivyo akawataka warudi ili kuimarisha uchumi. Hivyo kufikia karne ya 16 idadi ya wayahudi ikafikia 10,000. Mazingira ya pili ni Mauwaji ya Kimbari (Holocaust) waliofanyiwa na Wanazi. Wengi walirudi wakitokea Ulaya ya Mashariki.

Baada ya Uingereza kuona ugumu unaoletwa na Waarabu kufikia muafaka, ililirudisha suala hilo kwa Umoja wa Mataifa. Mwaka 1947 UN ilipiga kura na kupitisha Azimio (Resolution 181 (II) kuunda mataifa mawili yanayojitegemea moja la Waisrael (Jewish State) na la pili la Arab State, na kwamba Jerusalem ubakie Mji wa Kimataifa (Kitu kama hicho kimefanyika kwa NEW YORK ndiyo maana Serikali ya USA hata kama inaugomvi na Serikali yeyote ile, mfano Iran, bado hairuhusiwi kumzuia kiongozi wao kuja New York kwenye vikao vya Umoja wa Mataifa). Azimio hilo hilo. Waarabu kama ilivyodesturi yao wakaanzisha vurugu na kuwauwa wayahudi sababu ati Wayahudi walikubali mpango wa UMOJA WA MATAIFA wa kuruhusu wawe na State yao!!

Kiujumla waarabu hawakuwataka Wayahudi katika Holy Land. Mwaka 1948 Wayahudi wakajitangazia Taifa lao na Hapo Mataifa mengine ya Kiarabu yakaingia Vitani na Israel (Egypt, Jordan, Syria na Lebanon) Israel ilishinda vita hiyo na kujiongezea Eneo lao la nchi kutoka 56% mpaka 77% n ahata waliweza kuchukua West Jerusalem. Baada ya hapo UN ilisuruhisha na kupitisha Azimio 181 la kuzipa Jordan kusimamia/tawala West Bank na East Jerusalem na Egypt kutawala GAZA.

Waarabu hawakukoma kwani walirudi tena kuivamia Israel mwaka wa 1967 (Egypt, Syria na Jordan). Israel iliwapiga na kuchukua Gaza, Sinai, golan Heights, West Bank na East Jerusalem. Wakati Israel na Egypt ziliposaini mkataba wa Amani 1979, Waziri Mkuu wa Israel, Menachem Begin alitaka Gaza pia irudishwe kwa Egypt lakini Rais Anwar Sadat akakataa katakata akijua fika kuwa Waarabu wa Gaza ni Siasa Kali.

Israel ilibakiwa na Gaza mpaka mwaka 2005, wakati huo Waziri Mkuu akiwa Ariel Sharon akaamua wawarudishie wenyewe hiyo Gaza. Katika kipindi chote Israel imekalia Gaza kulikuwa na maendeleo sana. Kama ilivyo Zanzibar Israel ilipeleka Maji na Umeme tena BURE (Mpaka leo hawalipii). Mara baada ya Gaza kurudi kwa wapalestina, Ushetani wa HAMAS kuna wakati wakachimbua Mabomba yam aji (steel pipes) na kutengenezea Rockets za kuwashambulia Israel. Upande wa West Bank Kuna maendeleo sana kwani angalau upande ule kunatawaliwa na Fatah. Jambo moja ninaloweza kusema kuhusu west bank na jambo hilo Marekani na Nchi zote za Magharibi zinapinga ni uanzishaji wa Makazi ya Walowezi (settlers) wa Kiyahudi kwenye Maeneo ambayo kulingana na UN Resolution 181 (II) ya 1947 ni ya Palestinian Arabs.

Jambo linguine ni kuwa Waislam kama alivyo Baba yao wa Tangu zama hizo (Shetani Mkubwa ALLAH-Quran inaonyesha hivyo wala situngi someni) ni Waongo na mafundi sana wa Propaganda. Wanatuambia sisi Waafrika kuwa Israel na Makaburu (Apartheid State) kama walivyokuwa Makaburu Afrika ya Kusini, HUO ni Uongo Mkubwa. Israel state wako Jews na Arabs na wote wanahaki sawa kabisa (Elimu, makazi, Matibabu, kujiunga na Jeshi na hata kushiriki siasa) Je kitu kama hicho kiliwezekana wakati wa Utawala wa Makaburu??

Kumalizia naomba mtafakari, mkikumbuka mwazo wa Uzi huu. Kihistoria the Holy land ilikuwa nchi ya watu gani?- Taifa ya Israel ya Kaskazini, Taifa la Yuda na Wafilisti. Unamkumbuka Mfalme Nebuchadnezzar wa Babylonian, huyo aliwachukua Utumwani Waisrael ambao baada ya Miaka 70 walirudi nyumbani. Lakini pia aliwauwa na Wafilisti waliobaki aliwachukua Utumwani, ila tofauti na Waisrael, hawa hawakurudi tena nyumani kwao na badala yake wakachangamana na Phoenician na kupotelea utumwani. HIVYO WAKAZI HALISI WA HOLY LAND WAKABAKIA KUWA NI WAYAHUDI Tafadhali soma Amos 1:8, Ezekiel 25:16,17 Jeremiah 47:4 and Isiah 14:29 kuhusu uangamizo wa Philistines

Wito wangu kwa Waislam, Msipumbazwe na Upepo wa sauti za wengi zinazoendelea huko Duniani, maana ilikuwa ni Agenda ya Uislam wa Siasa kali kuvamia Ulaya kwa nia ya Kuutawala ulimwengu, na ndicho tunachoona kinatokea sasa hivi Amerika na Ulaya; Hata hivyo Neno la Mungu (Biblia Litasimama palepale). Kwa tunaosoma Biblia hatushangai kwanini Waislamu wanaonekana kuwa na sauti katika kusukuma jambo lao. Hiyo YOTE NI KWA SABABU BIBLIA INASEMA ULIMWENGU MZIMA UKO CHINI YA USHAWISHI WA SHETANI 1 John 5:19 na pia John 16:11 inamtambulisha Shetani kuwa kwa sasa ndiye Mtawala wa Ulimwengu huu.

Hakuna wa kuishinda Israel. Subiri majeshi ya ardhini yaanze operesbeni uone magaidi wa Hamas watakavyofyekwa. Safari hii damu itamwagika kwelikweli.

Hamas watajuta kuiva.mia Israel.

Mungh ibariki Israel.
 
Bila shaka
wewe ni mkristo, Na umeandika haya kwa mtazamo wa kikristo, na maana umetumia rejea kutoka kwenye ukristo, je asili ya uyahudi ni nini? Na je Messiah aliwapinga au aliwaongoza? Kwanini walimkataa na hadi sasa wanamkataa? Na je ni kwanini wakristo wanajipendekeza kwa wayahudi? Ahsante ndugu muandishi
Namfuye Historia ya Wayahudi inaanzia kwa Jacobo, ambaye alikuja kuitwa Israel. Babu yake Abraham alikuwa Chaldean (mkaldayo) wakazi wa Ur. Kwanini Mungu alimchagua Abraham kati watu wengine wote hata ingawa nyakati hizo hakuwa amejitambulisha kuunga mkono dini yeyote? Jibu unalipata ktk Warumi 2:14&15 kila mtu ana dhamiri; kwa wale ambao Bado kuijua Sheria yake Mungu, hao huhukumiwa kupitia dhamiri. Mungu kwa kuiangalia dhamiri ya Abraham aliona kabisa huyu anaweza kuwa Rafiki yangu. Ndipo pia Mungu katika kutimiza unabii wake ktk Mwanzo 3:15 akaona ampitishie Yesu katika Taifa la Israel.
Sasa wewe unaweza kuwa Baba uliyemshika sana Mungu lakini hiyo haigarantii kuwa watoto wako wote watamfuata Mungu. Hiyo ilianza kutokea kwa watoto wa Abraham kuanzia na Ishmael akishawishiwa na mama yake Haigar.
Watoto wa Isaac, Jacobo alikuwa mtii, wakati Esau hakumshika Mungu.
Hiyo ikaenda hivyo hivyo kwa watoto 12 wa Jacobo. Kizazi Cha makabila 10 kilishondwa kushika kikamilifu maahizo ya Mungu, hivyo kunyimwa privilege ya kuwa ukoo wa kifalme, wakati kizazi Cha kabila la Benjamin na Yuda walikuwa watiifu.
Mfalme wa kwanza alikuwa Saul, wa kabila la Benjamin, lakini kwa sababu alikosa utii kabila hilo likakosa privilege ya ufalme na badala yake akapewa Daudi wa kabila la Yuda. Na ndyo ikatambulika kuwa Yesu ni wa kabila la Yuda.
Sasa ukifuata mlolongo hapo juu ndyo utaona kuwa si kwamba wayahudi wote walimkataa Yesu. Mfano wa Mwanzo wa wayahudi waliomkubali Yesu ni Petro, matayo yohana etc. Na mpaka sasa wako wayahudi ambao siyo Dini ya Judah (Yuda).
Siyo kwamba wakiristo tunajipendekeza kwa Wayahudi. Ila Moja tunaheshimu historia ya wapi ukiristo ulikotokea; tunajua fika hawamtambui Yesu kama yule Masiya aliyeahidiwa. Ila wanatambua alikuwepo katika nchi yao na walimuua.
Kuchagua kati ya Wayahudi na Waislam, wakiristo tunachagua kuwa na wayahudi
1. Mafundisho yao hayawajengei chuki ya kuwaua wakiristo Wala Waislam. Wakati Yale ya Waislam yanasema waziwazi UA hao wayahudi na Wakiristo
2. Wayahudi hawajajaribu kufutiliabali historia ya Ukiristo wakati Waislam wamefanya hivyo. Dome of the Rock na Al Aqsa mosque ni maeneo ambayo Yana historia ya uyahudi na ukiristo. Waislam kwa Hadith zao za UONGO wamefutilia mbali history ya maeneo hayo.
3. Kule Uturuki kulikuwa na Kanisa kubwa lenye History ya Ukiristo wakati wa Mtume Paulo wamefutilia mbali na kuweka Msikiti, Dunia Mzima iliwasihi Serikali ya Edogan alikataa
4. Jerusalem UN iliazimia mwaka 1947 uwe mji wa Kimataifa-, wayahudi waliukubali lakini Waislam wakakataa
 
Mwanzo wa nchi inayoitwa Israel Leo iliitwa Jewish state of Palestine,wakati nchi ya palestina ilikuwepo kabla ya hiyo 1948,jifunze
Nchi ya Palestine yes ilikuwapo lakini hakukuwa na Palestine state Wala Jewish state. UN ndiyo ilitaka kuanzisha mataifa hayo lakini Waarabu wakakataa.pia azimio hilo lingeifanya Jerusalem kuwa International city
 
Unaelewa hata ulichoandika!?..mkoloni wa mwisho muingereza,akitawala Palestine,nchi,kabla palikua na mturuki,hiyo nchi Leo kuitwa Israel ni mnyimbuliko,hawakuwa hata na jina la nchi,so mwanzo iliitwa Jewish state of Palestine,waundaji wa nchi ya Israel Leo ni uingereza na ufaransa,hao ndiyo baba wa Israel
 
Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi.

Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na Makabila 10 ya Waisrael (the Northern Kingdom of Israel), Makabila mawili ya waisrael (Judah & Benjamin) ikijulikana kama Ufalme wa Judah ambao Mji Mkuu wake ulikuwa Jerusalem. Hata hivyo upande wa Kusini mwa nchi takatifu maeneo ambayo sasa ni Gaza na Ashkelon lilikuwepo taifa la Wafilisti (Philistines); Mnamkumbuka Goliath aliyeuliwa na Mfalme Daudi. Jina hili Philistine walipewa na mwandishi mmoja wa Kigiriki.

Taifa la kwanza kutumia jina Palestine ni waroma katika karne ya 2 ambapo walitumia neno “Syria Palaestina,” kuhusiana maeneo chini ya himaya yao kusini mwa Syria (Holy Land). Karne ya 4 wakati mfalme wa Roman Empire Constantine the Great alipobatizwa, eneo hilo likawa kitovu cha Ukristo. Lakini ilipofika miaka ya 635 (or 638) Waislam chini Caliph Umar waliteka na kuanza kukalia Nchi takatifu. Utawala wa Kiislam ulimalizika baada ya Christian Crusaider walipoiichukua Jerusalem miaka ya 1099 au 1291.

Utawala wa Jerusalem na Holy Land kwa ujumla ulikuja tena kuwa chini ya Ottoman Empire (Uturuki) ambaye ni Muislam kuanzia 1516 mpaka baada ya Vita Kuu ya Kwanza ambapo Ottoman Empire ilipigwa na The League of Nations (Umoja wa Mataifa kwa Wakati Huo) ilipowakabidhi Waingereza Mamlaka ya kuitawala Nchi takatifu mwaka 1922. Wakati Ottoman empire inachukua Holy Land kulikuwa na Wajews 1,000

Kumbuka hapo mwanzo nilisema Nyumbani kwenye chimbuko lako ni kwako tu, ipo siku hali zikikulazimisha utarudi. Mazingira ya kwanza kuwafanya wayahudi waanze kurudi kwao ni ushawishi wa Sultan Suleyman wa Ufalme wa Ottoman akivutiwa na utaalam wao hivyo akawataka warudi ili kuimarisha uchumi. Hivyo kufikia karne ya 16 idadi ya wayahudi ikafikia 10,000. Mazingira ya pili ni Mauwaji ya Kimbari (Holocaust) waliofanyiwa na Wanazi. Wengi walirudi wakitokea Ulaya ya Mashariki.

Baada ya Uingereza kuona ugumu unaoletwa na Waarabu kufikia muafaka, ililirudisha suala hilo kwa Umoja wa Mataifa. Mwaka 1947 UN ilipiga kura na kupitisha Azimio (Resolution 181 (II) kuunda mataifa mawili yanayojitegemea moja la Waisrael (Jewish State) na la pili la Arab State, na kwamba Jerusalem ubakie Mji wa Kimataifa (Kitu kama hicho kimefanyika kwa NEW YORK ndiyo maana Serikali ya USA hata kama inaugomvi na Serikali yeyote ile, mfano Iran, bado hairuhusiwi kumzuia kiongozi wao kuja New York kwenye vikao vya Umoja wa Mataifa). Azimio hilo hilo. Waarabu kama ilivyodesturi yao wakaanzisha vurugu na kuwauwa wayahudi sababu ati Wayahudi walikubali mpango wa UMOJA WA MATAIFA wa kuruhusu wawe na State yao!!

Kiujumla waarabu hawakuwataka Wayahudi katika Holy Land. Mwaka 1948 Wayahudi wakajitangazia Taifa lao na Hapo Mataifa mengine ya Kiarabu yakaingia Vitani na Israel (Egypt, Jordan, Syria na Lebanon) Israel ilishinda vita hiyo na kujiongezea Eneo lao la nchi kutoka 56% mpaka 77% n ahata waliweza kuchukua West Jerusalem. Baada ya hapo UN ilisuruhisha na kupitisha Azimio 181 la kuzipa Jordan kusimamia/tawala West Bank na East Jerusalem na Egypt kutawala GAZA.

Waarabu hawakukoma kwani walirudi tena kuivamia Israel mwaka wa 1967 (Egypt, Syria na Jordan). Israel iliwapiga na kuchukua Gaza, Sinai, golan Heights, West Bank na East Jerusalem. Wakati Israel na Egypt ziliposaini mkataba wa Amani 1979, Waziri Mkuu wa Israel, Menachem Begin alitaka Gaza pia irudishwe kwa Egypt lakini Rais Anwar Sadat akakataa katakata akijua fika kuwa Waarabu wa Gaza ni Siasa Kali.

Israel ilibakiwa na Gaza mpaka mwaka 2005, wakati huo Waziri Mkuu akiwa Ariel Sharon akaamua wawarudishie wenyewe hiyo Gaza. Katika kipindi chote Israel imekalia Gaza kulikuwa na maendeleo sana. Kama ilivyo Zanzibar Israel ilipeleka Maji na Umeme tena BURE (Mpaka leo hawalipii). Mara baada ya Gaza kurudi kwa wapalestina, Ushetani wa HAMAS kuna wakati wakachimbua Mabomba yam aji (steel pipes) na kutengenezea Rockets za kuwashambulia Israel. Upande wa West Bank Kuna maendeleo sana kwani angalau upande ule kunatawaliwa na Fatah. Jambo moja ninaloweza kusema kuhusu west bank na jambo hilo Marekani na Nchi zote za Magharibi zinapinga ni uanzishaji wa Makazi ya Walowezi (settlers) wa Kiyahudi kwenye Maeneo ambayo kulingana na UN Resolution 181 (II) ya 1947 ni ya Palestinian Arabs.

Jambo linguine ni kuwa Waislam kama alivyo Baba yao wa Tangu zama hizo (Shetani Mkubwa ALLAH-Quran inaonyesha hivyo wala situngi someni) ni Waongo na mafundi sana wa Propaganda. Wanatuambia sisi Waafrika kuwa Israel na Makaburu (Apartheid State) kama walivyokuwa Makaburu Afrika ya Kusini, HUO ni Uongo Mkubwa. Israel state wako Jews na Arabs na wote wanahaki sawa kabisa (Elimu, makazi, Matibabu, kujiunga na Jeshi na hata kushiriki siasa) Je kitu kama hicho kiliwezekana wakati wa Utawala wa Makaburu??

Kumalizia naomba mtafakari, mkikumbuka mwazo wa Uzi huu. Kihistoria the Holy land ilikuwa nchi ya watu gani?- Taifa ya Israel ya Kaskazini, Taifa la Yuda na Wafilisti. Unamkumbuka Mfalme Nebuchadnezzar wa Babylonian, huyo aliwachukua Utumwani Waisrael ambao baada ya Miaka 70 walirudi nyumbani. Lakini pia aliwauwa na Wafilisti waliobaki aliwachukua Utumwani, ila tofauti na Waisrael, hawa hawakurudi tena nyumani kwao na badala yake wakachangamana na Phoenician na kupotelea utumwani. HIVYO WAKAZI HALISI WA HOLY LAND WAKABAKIA KUWA NI WAYAHUDI Tafadhali soma Amos 1:8, Ezekiel 25:16,17 Jeremiah 47:4 and Isiah 14:29 kuhusu uangamizo wa Philistines

Wito wangu kwa Waislam, Msipumbazwe na Upepo wa sauti za wengi zinazoendelea huko Duniani, maana ilikuwa ni Agenda ya Uislam wa Siasa kali kuvamia Ulaya kwa nia ya Kuutawala ulimwengu, na ndicho tunachoona kinatokea sasa hivi Amerika na Ulaya; Hata hivyo Neno la Mungu (Biblia Litasimama palepale). Kwa tunaosoma Biblia hatushangai kwanini Waislamu wanaonekana kuwa na sauti katika kusukuma jambo lao. Hiyo YOTE NI KWA SABABU BIBLIA INASEMA ULIMWENGU MZIMA UKO CHINI YA USHAWISHI WA SHETANI 1 John 5:19 na pia John 16:11 inamtambulisha Shetani kuwa kwa sasa ndiye Mtawala wa Ulimwengu huu.
Matatizo ya Israel na Palestine yatatatuliwa KIBIBLIA tu.

Kwanza hakuna nchi imewahi kuitwa Palestine
 
Hakuna nchi takatifu hapa duniani zaidi ya Tanzania, Kenya, Ethiopia. Hizi ndizo nchi ambazo mwanadamu wa kwanza anapatikana hapa, hakuna taifa lingine hapa duniani ambalo linaweza kusema hivyo na ushuhuda tunao wa kuona si wa kusimuliwa tu toka kwenye vitabu vilivyotungwa na binadamu. Never trust the Bible, Qur'an na Torat, si vitabu vya kweli.
 
Hakuna nchi takatifu hapa duniani zaidi ya Tanzania, Kenya, Ethiopia. Hizi ndizo nchi ambazo mwanadamu wa kwanza anapatikana hapa, hakuna taifa lingine hapa duniani ambalo linaweza kusema hivyo na ushuhuda tunao wa kuona si wa kusimuliwa tu toka kwenye vitabu vilivyotungwa na binadamu. Never trust the Bible, Qur'an na Torat, si vitabu vya kweli.
 
Unaelewa hata ulichoandika!?..mkoloni wa mwisho muingereza,akitawala Palestine,nchi,kabla palikua na mturuki,hiyo nchi Leo kuitwa Israel ni mnyimbuliko,hawakuwa hata na jina la nchi,so mwanzo iliitwa Jewish state of Palestine,waundaji wa nchi ya Israel Leo ni uingereza na ufaransa,hao ndiyo baba wa Israel
Acha UONGO, na usitufanye watu wazima kuwa ni mambumbumbu. Kwa nimekwambia taarifa hizo nimepata Tovuti ya UN, wewe taarifa zako isije kuwa ni za kiislamist maana hao ndiyo kazi yao propaganda zinazoongozwa na chuki iliyokaa kwenye Quran. UN walitaka kuanzisha Jewish State na Arab State. Waislam walipoukataa huo mpango, ndiyo waisrael wakajitangazia uhuru na kuanzisha Israel state.
 
Matatizo ya Israel na Palestine yatatatuliwa KIBIBLIA tu.

Kwanza hakuna nchi imewahi kuitwa Palestine
Mkuu kutokana na literature nilizosoma, nikwamba hapajawahi kuwa na watu wanaitwa wapalestina. Ila kulikuwa na land of Palestine ambayo katika Karne ya 19 na mwanzoni mwa Karne ya 20 ilikaliwa na Wayahudi na Waarabu. Kuanzishwa kwa Taifa la Palestine ambalo ni la Waarabu waliokuwa Wana co exist na wayahudi ni Hila za Kiislam za Waarabu ili kuupumbaza Ulimwengu kuwa wao ndiyo wakazi halisi wa nchi hiyo inayogombaniwa.
Pia nikukumbushe tena kuwa UN mwaka 1947 ilipitisha Azimio kuunda MATAIFA mawili na wakati huo huo kuuweka huru Mji wa Jerusalem kwa Mataifa yote Duniani yenye Dini za Kikiristo, kiyahudi na kiislam; Cha kusikitisha Waarabu walikataa. Kidini hasa ni mafundisho ya Quran ambayo HAMAS pia wameyaweka kwenye Katiba yao. Wewe soma mwenyewe Sahih Muslim Hadith 2922
 
Waislael ni watu weusi walioko Africa ikiwemo wabantu sio Mimi Kwa mujibu wa kitabu kinachoitwa From Babylon to Timbuktu.
Mkuu huu ukweli wanaujua wachache sana, usipoteze muda wala usiumize kichwa kubishana wala kuwaelewesha kitu hawa watumwa wakiarabu na kizungu, acha wauanae ili black jews wajulikane, ilishanenwa kwenye book of Enoch
{there will be no piece till they all kill each others}
 
Mkuu kutokana na literature nilizosoma, nikwamba hapajawahi kuwa na watu wanaitwa wapalestina. Ila kulikuwa na land of Palestine ambayo katika Karne ya 19 na mwanzoni mwa Karne ya 20 ilikaliwa na Wayahudi na Waarabu. Kuanzishwa kwa Taifa la Palestine ambalo ni la Waarabu waliokuwa Wana co exist na wayahudi ni Hila za Kiislam za Waarabu ili kuupumbaza Ulimwengu kuwa wao ndiyo wakazi halisi wa nchi hiyo inayogombaniwa.
Pia nikukumbushe tena kuwa UN mwaka 1947 ilipitisha Azimio kuunda MATAIFA mawili na wakati huo huo kuuweka huru Mji wa Jerusalem kwa Mataifa yote Duniani yenye Dini za Kikiristo, kiyahudi na kiislam; Cha kusikitisha Waarabu walikataa. Kidini hasa ni mafundisho ya Quran ambayo HAMAS pia wameyaweka kwenye Katiba yao. Wewe soma mwenyewe Sahih Muslim Hadith 2922
Ni kweli mkuu, hawa Hamas ni washenzi tu. Mbona Wapalestina wanaoishi West Bank kwenye miji ya Nablus, Ramallah, Bethlehem hawana shida hizo?
 
Hakukuwa na nchi inayotwa Israel kabla ya 1948.
Kuna Documentary moja niliiona kitambo....kwamba waisrael hawa tunaowaona leo si original....Hawa ni planted kwa sababu wanazozijua wenyewe.
Inaeleza kwamba wa Israel utambulisho wao ni mifugo ya kuchunga kama wamasai.
Kwamba ukiona kabila fulani Afrika ni la wafugaji hao ndio wa Israel.
 
Kuna Documentary moja niliiona kitambo....kwamba waisrael hawa tunaowaona leo si original....Hawa ni planted kwa sababu wanazozijua wenyewe.
Inaeleza kwamba wa Israel utambulisho wao ni mifugo ya kuchunga kama wamasai.
Huo ni ukweli, hawa wanaitwa ashkenzazi.

Watu kitu wasichoelewa ni kuwa Wayahudi walikuwa wanaishi Palestina kama wanavypishi kwengine, wao na imani yao lakini ni raisa wa Palestina. Mpaka walipoletwa hao mapandikizi kutoka Ulaya.
 
Acha UONGO, na usitufanye watu wazima kuwa ni mambumbumbu. Kwa nimekwambia taarifa hizo nimepata Tovuti ya UN, wewe taarifa zako isije kuwa ni za kiislamist maana hao ndiyo kazi yao propaganda zinazoongozwa na chuki iliyokaa kwenye Quran. UN walitaka kuanzisha Jewish State na Arab State. Waislam walipoukataa huo mpango, ndiyo waisrael wakajitangazia uhuru na kuanzisha Israel state.
Kumbe mpuuzi,kaa na upuuzi wako
 
Ni kweli mkuu, hawa Hamas ni washenzi tu. Mbona Wapalestina wanaoishi West Bank kwenye miji ya Nablus, Ramallah, Bethlehem hawana shida hizo?
Halafu Wana Maendeleo mazuri tuu, kwa sababu ya kutofanya vita
 
Back
Top Bottom