Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Fanyeni siasa kwa nguvu zenu zote kwa sasa lakini msivunje sheria.Pia kumbukeni baada ya kuapishwa JPM itabidi msimame haraka kufanya siasa zenu ili rais apate muda wa kuongoza serikali,hakutakuwa na siasa tena hadi 2025 watakaruhusiwa ni wabunge majimboni kwao.

Ukweli mtakatifu ndo huu
 
Nilisikia yeye akisema eti awamu hii kuifikisha nchi kwenye pato la kati

Kikwete akaja sema huu mpango ulianza toka zaman mwinyi kafanya yake , mkapa yake na mimi yangu kisha ikatimia

Kwamba akawa kama kampinga flani
 
Mwaka 2015 si mpipata 40% ya kura , basi toa 20%, sio maneno yangu ni ya lissu, unapoteza mda sana kuandika upuuzi apa mgombea mwenyewe anajua anaenda kufa,


Zero brain ndo umesha type ivo na kazima na data😁
 
Kuna lile la makorosho... magu alizingua

Kuna lile alinunuaga kivuko kwa mabilioni alafu alivokua rais akasema anawapa wanajeshi ili msimdiskasi....

Magu ana taabu mwaka huu... nyeee
 
Labda zinaingia kwenye akili za nyumbu
Kifo cha CCM ndio kimeanza hata mufanye nini niThe beggining of the End of Natural death hata Magufuli akishinda uchaguzi

Kifo hakina huruma
 
Kifo cha CCM ndio kimeanza hata mufanye nini niThe beggining of the End of Natural death hata Magufuli akishinda uchaguzi

Kifo hakina huruma
Toka 2005 mnasema ivyo ivyo, nuthn new happened nuthn new will happen.
 
Yaani hii nayo unaona ni promo kabisa kwa JPM??? Kweli CCM mmeishiwa hoja. Hiyo treni ya Mwaka 47 ya kizamani kabisa ndo kitu cha kujisifia karne hii ya 21???
Ningewaona wajanja kama mngetafuta mwekezaji angejenga treni ya umeme kwa mfumo wa PPP hapo ningewaona wajanja!!

Ndo mana Raisi wenu anaendaga kuzindua hadi vituo vya mabasi. Yaani kwa hiyo treni ya mwaka 47 inayochukua masaa zaidi ya 15 kufika Arusha tu sio jambo la kujisifia kabisa.At least SGR sio huo ujinga wenu!!


povu la nn baba, SGR ipo na hii ingine ipo shida iko wap
 
Mafarao wako wapi? KANU ikowapi? Uganda People Congress UPC kikichikuwa rafiki ya CCM kiko wapi?

Yuko wapi Laurent Bgabgo?

CCM nayo inaelekea kwenye trashbin la Hisroria

CCM imechokwa kweli kweli

Mimi niandikayo haya nilikuwa CCM damudamu ila ila nimeona TANZANIA kwanza

CHADEMA SERA ZAO ZINAINGIA AKIKLINI
Mbona huulizi African National Congress (ANC) wako WAPI?
 
Siku zote ukitaka kufanikiwa ukiwa maskini jipendekeze kwa mwenye nacho. Udananda ndio mpango mzima. Hao wajerumani kwao washamaliza kila kitu ni mwendo wa kua mdananda kwa mabeberu ili ukomboke tu. Miaka elfu 10 ipite sisi weusi bado tunawahitaji mabeberu ili tukomboke hapa tulipo.
Wao sio wajinga, nchi imeendelea na bado inahitaji kunufaisha wananchi wake, na ukijipendekeza kwake atakutumia tu kujinufaisha
 
Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko

Niende kwenye mada!

Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu

1. Kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM
Najua CCM sasaivi wanajaribu kuwaita makada wao nguli ambao waliumizwa na magufuli Kama Kinana, Nape na Makamba wakiamini hawa wanaweza kurudisha hali ya CCM kikampeni ila ukweli ni kuwa hapana it’s too late. Kwa CCM wengi wana amini kuwa mwenyekiti wao ni mtu wa visasi na kutumia tu watu kwa faida zake hivyo wengi wanaamini kuwa hata hawa wakirudi hawatarudi kwa moyo mweupe. CCM wengi wanevunjika moyo na hawana raha na Magufuli. Suala la Kikwete kuonekana hivi karibuni akitoa tathimini ambazo zinaonekana kabisa ni tofauti na nyimbo anazoimba magufuli limewafanya watu wengi waone dhahili kuwa CCM sio moja!

Kwenye hili maneno ya Mzee Butiku kwa vyombo vya dola kuhusu uchaguzi wa mwaka huu aliyoyatoa kwenye kikao cha NCCR yananifanya ku conclude kuwa hata class ya wazee nyeti wa nchi hii wamesha endorse mabadiliko yatakayofanyika nchini hapo October kupitia sanduku la kura.

2.Lissu kutokuwa na makandokando!
CCM wanapata shida sana kutafuta hoja ya kumpigia Lissu. Hayuko kwenye ufisadi, hayuko kwenye uzembe wala hayuko kwenye ujanja ujanja. Track record ya Lissu kuwahenyesha CCM kuanzia bungeni hadi nje ya bunge inambeba sana Lissu. Mbaya zaidi ni tukio la kujaribu kumuua. Watanzania wengi wanajua ni mwenyekiti wa CCM ndiye ambaye yuko behind jaribio la mauaji la Lissu

3. Wapiga kura wa Mwaka huu 2020!
Kiuhalisia wapiga kura wengi wa mwaka huu ni vijana wa miaka ya themanini nwishoni na tisini. Alafu kuna kundi la vijana wa 2000. Haya makundi ni makundi yenye kiu ya mabadiriko, ni makundi ya kizazi cha internet ambacho kinajua mengi na kuona mengi. Mizani hiki sio loyal kwa CCM tofauti na kizazi cha 60’s na 70’s.

4. Makosa ya wazi ya magufuli- Magufuli kafanya makosa mengi ya wazi, kubambikia watu wanaompinga kesi na kuwaonea Mf viongozi wa upinzani, msanii idris, mwandishi erick kabendera na vijana mdude nyangari na kina tito magoti.

Magufuli katoa matamko yaliyosababisha maisha ya watu kuathilika kiuchumi kama tamko la kuzuia uagizwaji wa sukari jambo lililopelekea bei ya sukari kupanda maradufu

Kwa wakulima Pia Kuna maamuzi ya serikali yaliyoharibu biashara za wakulima na kuwa let was shida Mf Korosho, mbaazi na hata mahindi bila kusahau mazao mengine ya biashara

Kwa wafanyakazi ndo usiseme. Hawa hawaongei ila wote moyoni wanasema wana jambo Lao nae na hiyo itakuwa ni October 2020

Kwa wafanyabiashara hawa ndo wengi wana amini kuwa magufuli amekuja kuwatesa. Wengi wanaona kama snawadhulumu hasa wakiona wanavyofirisiwa na kufungiwa biashara na TRA.

Mwisho kabisa ni kwa vijana graduate- hawa ni kundi kubwa lililoachwa bila ajira. Sekta binafsi iliwaajiri wengi sana kipindi cha awamu ya nne ila kwa mkwamo kwenye awamu hii ya tano wengi wamepoteza kazi na wengine ndo hawajapata kabisa kazi.

kuna mengine mengi kama mafao ya wastaafu ila itoshe tu kusema kuwa Kuna uwezekano wa asilimia 98 kuwa kuna historia itakayitikisha Ardhi ya Africa Mashariki inaenda kuandikwa October mwaka huu!!

Karibu Ikulu( Magogoni na Chamwino) Tundu Antipas Lissu!
Lissu akishinda uchaguzi nitakwenda hospitali nifanyiwe operation ya kurudishiwa govi langu la Kihaya na Kinyakyusa
 
Kura atakazopata Hashimu Rungwe,zitakua mara dufu ya kura za Lisu
 
Back
Top Bottom