Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Sisi tunasema Alhamdulillah kwa ujio wa Tundu Lissu [emoji120].
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Lissu huyhuyu Mwabudu Wakoloni na Wakenya. Akipata kura zaidi ya asilimia 7, nakuachia Nyumba Yangu iliyopo Mtaa wa Ufipa
Nyumba labda unyumba mtu mwenye nyumba hawezi tuma emoji
 
Lissu akipata japo %5 ya kura zote basi ashukuru Mungu,hii nchi haiwezi ikakabidhiwa kwa watu wenye malengo binafsi,lissu huyu ni rais wa mitandaoni,na kama kura zungalipigwa mitandaoni jamaa angekuwa president lakini sasa uhalisia haiko hivyo,

Huku kijijini hakuna anayemjua lissu zaidi ni kuwa waanamini lissu ni ghaidi hivyo wananchi wanahofu kubwa huenda ughaidi ukatamalaki Tanzania sababu ya huyu lissu
Ata moboutu seseko na sultan wa Zanzibar walikuwepo na vibaraka wao
 
Sasa wewe endelea kuota!

Lisu mngekuwa mnampigia kura hapa jf na twiter angeshashinda!

Sasa uhalisia huku mitaani ni tofauti watu wana mahaba na JPM sijapata kuona,
Hata makonda watu wa kigamboni walikuwepo na mahaba nae
 
Nisome taratibu tu utaelewa.

Nisemee
Mtu A akiwa Ccm , upinzani wanamuita Fisadi
Ila mtu A akihamia upinzani, upinzani wanamfutia title ya ufisadi na kusema Ufisadi ni mfumo
Ila sasa fisadi karudi nyumbani
 
Nisome taratibu tu utaelewa.

Nisemee
Mtu A akiwa Ccm , upinzani wanamuita Fisadi
Ila mtu A akihamia upinzani, upinzani wanamfutia title ya ufisadi na kusema Ufisadi ni mfumo
Ofcoz ni kweli ndugu,mifumo ikiwa imara inampa ugumu mtu yeyote kufanya mambo ya ovyo kama ufisadi,ila mifumo ikiwa mibovu inatoa mianya mingi sana ya kufanya upuuzi huo ndo maana watu wenye kufikiria mbali wanapiga kelele sana kuhusu mifumo yetu ya kiuendeshaji.Kama kuzipa nguvu taasisi kuliko watu kwani watu wanapita lakini taasisi zinabaki pale daima.
 
Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko

Niende kwenye mada!

Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu

1. Kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM
Najua CCM sasaivi wanajaribu kuwaita makada wao nguli ambao waliumizwa na magufuli Kama Kinana, Nape na Makamba wakiamini hawa wanaweza kurudisha hali ya CCM kikampeni ila ukweli ni kuwa hapana it’s too late. Kwa CCM wengi wana amini kuwa mwenyekiti wao ni mtu wa visasi na kutumia tu watu kwa faida zake hivyo wengi wanaamini kuwa hata hawa wakirudi hawatarudi kwa moyo mweupe. CCM wengi wanevunjika moyo na hawana raha na Magufuli. Suala la Kikwete kuonekana hivi karibuni akitoa tathimini ambazo zinaonekana kabisa ni tofauti na nyimbo anazoimba magufuli limewafanya watu wengi waone dhahili kuwa CCM sio moja!

Kwenye hili maneno ya Mzee Butiku kwa vyombo vya dola kuhusu uchaguzi wa mwaka huu aliyoyatoa kwenye kikao cha NCCR yananifanya ku conclude kuwa hata class ya wazee nyeti wa nchi hii wamesha endorse mabadiliko yatakayofanyika nchini hapo October kupitia sanduku la kura.

2.Lissu kutokuwa na makandokando!
CCM wanapata shida sana kutafuta hoja ya kumpigia Lissu. Hayuko kwenye ufisadi, hayuko kwenye uzembe wala hayuko kwenye ujanja ujanja. Track record ya Lissu kuwahenyesha CCM kuanzia bungeni hadi nje ya bunge inambeba sana Lissu. Mbaya zaidi ni tukio la kujaribu kumuua. Watanzania wengi wanajua ni mwenyekiti wa CCM ndiye ambaye yuko behind jaribio la mauaji la Lissu

3. Wapiga kura wa Mwaka huu 2020!
Kiuhalisia wapiga kura wengi wa mwaka huu ni vijana wa miaka ya themanini nwishoni na tisini. Alafu kuna kundi la vijana wa 2000. Haya makundi ni makundi yenye kiu ya mabadiriko, ni makundi ya kizazi cha internet ambacho kinajua mengi na kuona mengi. Mizani hiki sio loyal kwa CCM tofauti na kizazi cha 60’s na 70’s.

4. Makosa ya wazi ya magufuli- Magufuli kafanya makosa mengi ya wazi, kubambikia watu wanaompinga kesi na kuwaonea Mf viongozi wa upinzani, msanii idris, mwandishi erick kabendera na vijana mdude nyangari na kina tito magoti.

Magufuli katoa matamko yaliyosababisha maisha ya watu kuathilika kiuchumi kama tamko la kuzuia uagizwaji wa sukari jambo lililopelekea bei ya sukari kupanda maradufu

Kwa wakulima Pia Kuna maamuzi ya serikali yaliyoharibu biashara za wakulima na kuwa let was shida Mf Korosho, mbaazi na hata mahindi bila kusahau mazao mengine ya biashara

Kwa wafanyakazi ndo usiseme. Hawa hawaongei ila wote moyoni wanasema wana jambo Lao nae na hiyo itakuwa ni October 2020

Kwa wafanyabiashara hawa ndo wengi wana amini kuwa magufuli amekuja kuwatesa. Wengi wanaona kama snawadhulumu hasa wakiona wanavyofirisiwa na kufungiwa biashara na TRA.

Mwisho kabisa ni kwa vijana graduate- hawa ni kundi kubwa lililoachwa bila ajira. Sekta binafsi iliwaajiri wengi sana kipindi cha awamu ya nne ila kwa mkwamo kwenye awamu hii ya tano wengi wamepoteza kazi na wengine ndo hawajapata kabisa kazi.

kuna mengine mengi kama mafao ya wastaafu ila itoshe tu kusema kuwa Kuna uwezekano wa asilimia 98 kuwa kuna historia itakayitikisha Ardhi ya Africa Mashariki inaenda kuandikwa October mwaka huu!!

Karibu Ikulu( Magogoni na Chamwino) Tundu Antipas Lissu!
Tafiti zinaonesha asilimia za ushindi kwa mheshimiwa Lissu ni 87% na siyo 70% mkuu, rekebisha hilo.
Magu 10 na vyama vingine 3%
 
Hawezi kuwa kiongozi huyu, hana hoja za maendeleo na anajipendekeza sana kwa wazungu
Siku zote ukitaka kufanikiwa ukiwa maskini jipendekeze kwa mwenye nacho. Udananda ndio mpango mzima. Hao wajerumani kwao washamaliza kila kitu ni mwendo wa kua mdananda kwa mabeberu ili ukomboke tu. Miaka elfu 10 ipite sisi weusi bado tunawahitaji mabeberu ili tukomboke hapa tulipo.
 
Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko

Niende kwenye mada!

Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu

1. Kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM
Najua CCM sasaivi wanajaribu kuwaita makada wao nguli ambao waliumizwa na magufuli Kama Kinana, Nape na Makamba wakiamini hawa wanaweza kurudisha hali ya CCM kikampeni ila ukweli ni kuwa hapana it’s too late. Kwa CCM wengi wana amini kuwa mwenyekiti wao ni mtu wa visasi na kutumia tu watu kwa faida zake hivyo wengi wanaamini kuwa hata hawa wakirudi hawatarudi kwa moyo mweupe. CCM wengi wanevunjika moyo na hawana raha na Magufuli. Suala la Kikwete kuonekana hivi karibuni akitoa tathimini ambazo zinaonekana kabisa ni tofauti na nyimbo anazoimba magufuli limewafanya watu wengi waone dhahili kuwa CCM sio moja!

Kwenye hili maneno ya Mzee Butiku kwa vyombo vya dola kuhusu uchaguzi wa mwaka huu aliyoyatoa kwenye kikao cha NCCR yananifanya ku conclude kuwa hata class ya wazee nyeti wa nchi hii wamesha endorse mabadiliko yatakayofanyika nchini hapo October kupitia sanduku la kura.

2.Lissu kutokuwa na makandokando!
CCM wanapata shida sana kutafuta hoja ya kumpigia Lissu. Hayuko kwenye ufisadi, hayuko kwenye uzembe wala hayuko kwenye ujanja ujanja. Track record ya Lissu kuwahenyesha CCM kuanzia bungeni hadi nje ya bunge inambeba sana Lissu. Mbaya zaidi ni tukio la kujaribu kumuua. Watanzania wengi wanajua ni mwenyekiti wa CCM ndiye ambaye yuko behind jaribio la mauaji la Lissu

3. Wapiga kura wa Mwaka huu 2020!
Kiuhalisia wapiga kura wengi wa mwaka huu ni vijana wa miaka ya themanini nwishoni na tisini. Alafu kuna kundi la vijana wa 2000. Haya makundi ni makundi yenye kiu ya mabadiriko, ni makundi ya kizazi cha internet ambacho kinajua mengi na kuona mengi. Mizani hiki sio loyal kwa CCM tofauti na kizazi cha 60’s na 70’s.

4. Makosa ya wazi ya magufuli- Magufuli kafanya makosa mengi ya wazi, kubambikia watu wanaompinga kesi na kuwaonea Mf viongozi wa upinzani, msanii idris, mwandishi erick kabendera na vijana mdude nyangari na kina tito magoti.

Magufuli katoa matamko yaliyosababisha maisha ya watu kuathilika kiuchumi kama tamko la kuzuia uagizwaji wa sukari jambo lililopelekea bei ya sukari kupanda maradufu

Kwa wakulima Pia Kuna maamuzi ya serikali yaliyoharibu biashara za wakulima na kuwa let was shida Mf Korosho, mbaazi na hata mahindi bila kusahau mazao mengine ya biashara

Kwa wafanyakazi ndo usiseme. Hawa hawaongei ila wote moyoni wanasema wana jambo Lao nae na hiyo itakuwa ni October 2020

Kwa wafanyabiashara hawa ndo wengi wana amini kuwa magufuli amekuja kuwatesa. Wengi wanaona kama snawadhulumu hasa wakiona wanavyofirisiwa na kufungiwa biashara na TRA.

Mwisho kabisa ni kwa vijana graduate- hawa ni kundi kubwa lililoachwa bila ajira. Sekta binafsi iliwaajiri wengi sana kipindi cha awamu ya nne ila kwa mkwamo kwenye awamu hii ya tano wengi wamepoteza kazi na wengine ndo hawajapata kabisa kazi.

kuna mengine mengi kama mafao ya wastaafu ila itoshe tu kusema kuwa Kuna uwezekano wa asilimia 98 kuwa kuna historia itakayitikisha Ardhi ya Africa Mashariki inaenda kuandikwa October mwaka huu!!

Karibu Ikulu( Magogoni na Chamwino) Tundu Antipas Lissu!
Kama hiyo asilimia 70% ni ushindi wa kwenye mioyo na hisia basi sawa, lakini kwenye mantiki na hesabu JPM anasubiri kuapishwa tu kwa ushindi wa kimbunga wa asilimia zaidi ya 80%

Ndio, JPM ndiye atakayeapishwa kuwa Rais, na kazi itaendelea kwa speed ya kimbunga cha baharini.
 
Wewe masikini dola zote zilizoanguka zilikuwa na makapuku kama wewe , Nothing lasts longer , Tafuta kazi ya kufanya , hii unayofanya itakuponyoka tu , una miezi mitatu tu ya kulipwa hicho unacholipwa
Sio vizuri kuonea maskini wenzako mtarajiwa.
 
Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko

Niende kwenye mada!

Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu

1. Kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM
Najua CCM sasaivi wanajaribu kuwaita makada wao nguli ambao waliumizwa na magufuli Kama Kinana, Nape na Makamba wakiamini hawa wanaweza kurudisha hali ya CCM kikampeni ila ukweli ni kuwa hapana it’s too late. Kwa CCM wengi wana amini kuwa mwenyekiti wao ni mtu wa visasi na kutumia tu watu kwa faida zake hivyo wengi wanaamini kuwa hata hawa wakirudi hawatarudi kwa moyo mweupe. CCM wengi wanevunjika moyo na hawana raha na Magufuli. Suala la Kikwete kuonekana hivi karibuni akitoa tathimini ambazo zinaonekana kabisa ni tofauti na nyimbo anazoimba magufuli limewafanya watu wengi waone dhahili kuwa CCM sio moja!

Kwenye hili maneno ya Mzee Butiku kwa vyombo vya dola kuhusu uchaguzi wa mwaka huu aliyoyatoa kwenye kikao cha NCCR yananifanya ku conclude kuwa hata class ya wazee nyeti wa nchi hii wamesha endorse mabadiliko yatakayofanyika nchini hapo October kupitia sanduku la kura.

2.Lissu kutokuwa na makandokando!
CCM wanapata shida sana kutafuta hoja ya kumpigia Lissu. Hayuko kwenye ufisadi, hayuko kwenye uzembe wala hayuko kwenye ujanja ujanja. Track record ya Lissu kuwahenyesha CCM kuanzia bungeni hadi nje ya bunge inambeba sana Lissu. Mbaya zaidi ni tukio la kujaribu kumuua. Watanzania wengi wanajua ni mwenyekiti wa CCM ndiye ambaye yuko behind jaribio la mauaji la Lissu

3. Wapiga kura wa Mwaka huu 2020!
Kiuhalisia wapiga kura wengi wa mwaka huu ni vijana wa miaka ya themanini nwishoni na tisini. Alafu kuna kundi la vijana wa 2000. Haya makundi ni makundi yenye kiu ya mabadiriko, ni makundi ya kizazi cha internet ambacho kinajua mengi na kuona mengi. Mizani hiki sio loyal kwa CCM tofauti na kizazi cha 60’s na 70’s.

4. Makosa ya wazi ya magufuli- Magufuli kafanya makosa mengi ya wazi, kubambikia watu wanaompinga kesi na kuwaonea Mf viongozi wa upinzani, msanii idris, mwandishi erick kabendera na vijana mdude nyangari na kina tito magoti.

Magufuli katoa matamko yaliyosababisha maisha ya watu kuathilika kiuchumi kama tamko la kuzuia uagizwaji wa sukari jambo lililopelekea bei ya sukari kupanda maradufu

Kwa wakulima Pia Kuna maamuzi ya serikali yaliyoharibu biashara za wakulima na kuwa let was shida Mf Korosho, mbaazi na hata mahindi bila kusahau mazao mengine ya biashara

Kwa wafanyakazi ndo usiseme. Hawa hawaongei ila wote moyoni wanasema wana jambo Lao nae na hiyo itakuwa ni October 2020

Kwa wafanyabiashara hawa ndo wengi wana amini kuwa magufuli amekuja kuwatesa. Wengi wanaona kama snawadhulumu hasa wakiona wanavyofirisiwa na kufungiwa biashara na TRA.

Mwisho kabisa ni kwa vijana graduate- hawa ni kundi kubwa lililoachwa bila ajira. Sekta binafsi iliwaajiri wengi sana kipindi cha awamu ya nne ila kwa mkwamo kwenye awamu hii ya tano wengi wamepoteza kazi na wengine ndo hawajapata kabisa kazi.

kuna mengine mengi kama mafao ya wastaafu ila itoshe tu kusema kuwa Kuna uwezekano wa asilimia 98 kuwa kuna historia itakayitikisha Ardhi ya Africa Mashariki inaenda kuandikwa October mwaka huu!!

Karibu Ikulu( Magogoni na Chamwino) Tundu Antipas Lissu!
Hizi ndizo dondoo watawala wanatakiwa watujibu waajiri wao.

Kuwatisha waajiri ni kuweka ajira yako matatani
 
Unaijua dola ya Tanzania?

Schoolboy politics at its best!

Wake up boy!
Wajinga pekee ndio utaowatisha tena na hicho kizazi kinaisha, dola yako unayoisemea imeajiliwa na sisi wananchi na tunayo haki ya kuwafukuza kazi au kuwapa mkataba mpya kama wanafaa.

Hivo vitisho watishe kizazi cha miaka 60 kushuka.
 
Back
Top Bottom