Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Achia hapo ukiendelea zaidi utaharibu.
 
Hongera mkuu kwa analysis nzuri. Ni kweli Magufuli harudi Ikulu, na kitendo cha kutaka kulazimisha kama atakavyo shawishiwa na wapambe itakuwa disaster kubwa na mwisho mbaya sana kwake.
Kwa hili ningemuomba sana Mama Janeth Magufuli amshauri mumewe asikubaliane na hao wapambe Bali akipata hizo 30% ya kura aridhike kuiponya familia na taabu na abaki kuendeleza hiyo slogan ya #HAPAKAZITUU ndani ya CCM ili pengine baadae yaweza kusaidia kutokuwa chama cha rushwa na uongo na kupewa madaraka tena.
Uzuri ni kuwa alishafanya tafrija kubwa kuiaga ikulu ya Chamwino alipowaita kula na kunywa wajumbe wa MM wa CCM.
 
Mwenzako anaweka upembuzi weww unaleta mambo ya udola. Nini maana ya hizi chaguzi?

Dola inapaswa kum accomodate yeyote anayeweza kupigiwa kura na wananchi na akashinda. Siyo dola itake nani awe rais.

Wake up old man!
Unaijua dola ya Tanzania?

Schoolboy politics at its best!

Wake up boy!
 
Unaijua dola ya Tanzania?

Schoolboy politics at its best!

Wake up boy!
Danganyaneni tuu. Dola hii ni imara kama ya Libya ya Gaddafi?
Au Misri ya Mubarak na Sudan ya Albashir?
Uimara wa dola ni wananchi kuikubali na hii imepoteza kukubalika
 
Labda Kama unamaanisha 0.70%🤣😂🤣! Maana idadi ya mashoga Tz haifiki hata 0.5% ya watz wote, na kwa bahati yake mbaya waliowengi hawakujiandikisha kupiga kura🤣😂🤣!
Ndio kampeni mnapiga hivyo. 😛😛
 
Danganyaneni tuu. Dola hii ni imara kama ya Libya ya Gaddafi?
Au Misri ya Mubarak na Sudan ya Albashir?
Uimara wa dola ni wananchi kuikubali na hii imepoteza kukubalika
Very good. 🙏🙏🙏🙏
 
Kha.. Vijana mnaojifunzia siasa kupitia mitandao mna kazi sana!

Ukweli ni kwamba Lisu hata pata zaidi ya 20% ya kura zote! Huu ukweli sijui kwanini chadema mnaupuuza.?

Anyway, oktoba siyo mbali.
 
Ila tume itamtangaza yule wa kijani
 
Andiko lako zuri saaana kwa watu wenye stress litawasaidia, rudi shule ukasome siasa na focus yako iwe kwenye siasa za Tanzania na hasa mfumo wa ccm. Unaanzia wapi kuitoa ccm yenye mtandao kuanzia kwa balozi wa nyumba kumi, mabalozi ndiyo watafuta kura, kwa upande mwingine upinzani unategemea mafuriko. Poor analysis as u trying to compare unlikes.

Nikusaidie tu kimahesabu; tanzania bara ina jumla vijiji 12000;
Kila kijiji kina kinaweza kuwa na wastani wa idadi ya KAYA 1500 hivyo kuwa na wastani wa chini kabisa wa mabalozi 150.

Ukifanya hesabu za chini kabisa kwamba vijiji 12,000 vina mabalozi 12,000*150 = mabalozi 1,800,000. Kwa hiyo balozi akipewa jukumu la kutafuta wapiga kura wachache sana kwenye ubalozi wake mfano 10.

Kwa mahesabu ya makadirio utaona ccm ikipata kura 18,000,000

Kumbuka pia kuwa idadi ya wanaccm kwa hesabu za karibuni kulingana na ripoti ya PolePole wako 16,800,000

CCM ITASHINDA KWA 95% HUU NDIYO UKWELI MCHUNGU

ndiyo
 

Mzee Baba bahati mbaya sana ulivyoandika ni kinyume Cha uhalisia. Wapiga kura watamchagua tena Dr Magufuli. October 28 sio mbali.
 
Labda Kama unamaanisha 0.70%[emoji1787][emoji23][emoji1787]! Maana idadi ya mashoga Tz haifiki hata 0.5% ya watz wote, na kwa bahati yake mbaya waliowengi hawakujiandikisha kupiga kura[emoji1787][emoji23][emoji1787]!

Hadi unatia huruma mwaka huu maji yamewafika shingoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…