Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

CCM siku ikishindwa ndiyo Milele tena, haitakaa isimame Daima. waibe tu kura, waue watu, wadhulumu lkn iko siku isiyokuwa na tarehe.........mtaona!
 
nimejiandikisha moshi, nina ishi mbeya.
kama ilivyokuwa 2015, nitasafiri kwenda kupiga kura
 
Naunga mkojo hoja
 
Mnadanganyana na kujifariji Sana wana ufipa!.
Mafarao wako wapi? KANU ikowapi? Uganda People Congress UPC kikichikuwa rafiki ya CCM kiko wapi?

Yuko wapi Laurent Bgabgo?

CCM nayo inaelekea kwenye trashbin la Hisroria

CCM imechokwa kweli kweli

Mimi niandikayo haya nilikuwa CCM damudamu ila ila nimeona TANZANIA kwanza

CHADEMA SERA ZAO ZINAINGIA AKIKLINI
 
Mkuu Magu ni professor wa kushindwa kwa hiyo yeye kushindwa uchaguzi si Jambo jipya kwake.Kwa hiyo badala kuhangaika na Magu kushindwa tunangaike na tunafanyaje mshindwa asijitangaze kushinda
 
Ungelijua kwanini Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe aambatani na Lissu kwenye kusaka wadhamini kama alivyofanya kipindi cha Lowassa 2015 ungejitoa JF mazima!!!!
 
Ungelijua kwanini Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe aambatani na Lissu kwenye kusaka wadhamini kama alivyofanya kipindi cha Lowassa 2015 ungejitoa JF mazima!!!!
Mtaongea yote mwaka huu!! Lissu kawashika vibaya sana
 

Huo ndio ukweli wenyewe. Labda Jecha afanye yake.
 

huyu jamaaa ni mara mia ya cdm nzima, anatoa maneno yenye mashiko sio kama kale kachalii kaz yake kila sku kuombewa sjui anataka risasi ziyeyuke zilizobaki ndan
 
Yaani hii nayo unaona ni promo kabisa kwa JPM??? Kweli CCM mmeishiwa hoja. Hiyo treni ya Mwaka 47 ya kizamani kabisa ndo kitu cha kujisifia karne hii ya 21???
Ningewaona wajanja kama mngetafuta mwekezaji angejenga treni ya umeme kwa mfumo wa PPP hapo ningewaona wajanja!!

Ndo mana Raisi wenu anaendaga kuzindua hadi vituo vya mabasi. Yaani kwa hiyo treni ya mwaka 47 inayochukua masaa zaidi ya 15 kufika Arusha tu sio jambo la kujisifia kabisa.At least SGR sio huo ujinga wenu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…