Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko

Niende kwenye mada!

Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu

1. Kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM
Najua CCM sasaivi wanajaribu kuwaita makada wao nguli ambao waliumizwa na magufuli Kama Kinana, Nape na Makamba wakiamini hawa wanaweza kurudisha hali ya CCM kikampeni ila ukweli ni kuwa hapana it’s too late. Kwa CCM wengi wana amini kuwa mwenyekiti wao ni mtu wa visasi na kutumia tu watu kwa faida zake hivyo wengi wanaamini kuwa hata hawa wakirudi hawatarudi kwa moyo mweupe. CCM wengi wanevunjika moyo na hawana raha na Magufuli. Suala la Kikwete kuonekana hivi karibuni akitoa tathimini ambazo zinaonekana kabisa ni tofauti na nyimbo anazoimba magufuli limewafanya watu wengi waone dhahili kuwa CCM sio moja!

Kwenye hili maneno ya Mzee Butiku kwa vyombo vya dola kuhusu uchaguzi wa mwaka huu aliyoyatoa kwenye kikao cha NCCR yananifanya ku conclude kuwa hata class ya wazee nyeti wa nchi hii wamesha endorse mabadiliko yatakayofanyika nchini hapo October kupitia sanduku la kura.

2.Lissu kutokuwa na makandokando!
CCM wanapata shida sana kutafuta hoja ya kumpigia Lissu. Hayuko kwenye ufisadi, hayuko kwenye uzembe wala hayuko kwenye ujanja ujanja. Track record ya Lissu kuwahenyesha CCM kuanzia bungeni hadi nje ya bunge inambeba sana Lissu. Mbaya zaidi ni tukio la kujaribu kumuua. Watanzania wengi wanajua ni mwenyekiti wa CCM ndiye ambaye yuko behind jaribio la mauaji la Lissu

3. Wapiga kura wa Mwaka huu 2020!
Kiuhalisia wapiga kura wengi wa mwaka huu ni vijana wa miaka ya themanini nwishoni na tisini. Alafu kuna kundi la vijana wa 2000. Haya makundi ni makundi yenye kiu ya mabadiriko, ni makundi ya kizazi cha internet ambacho kinajua mengi na kuona mengi. Mizani hiki sio loyal kwa CCM tofauti na kizazi cha 60’s na 70’s.

4. Makosa ya wazi ya magufuli- Magufuli kafanya makosa mengi ya wazi, kubambikia watu wanaompinga kesi na kuwaonea Mf viongozi wa upinzani, msanii idris, mwandishi erick kabendera na vijana mdude nyangari na kina tito magoti.

Magufuli katoa matamko yaliyosababisha maisha ya watu kuathilika kiuchumi kama tamko la kuzuia uagizwaji wa sukari jambo lililopelekea bei ya sukari kupanda maradufu

Kwa wakulima Pia Kuna maamuzi ya serikali yaliyoharibu biashara za wakulima na kuwa let was shida Mf Korosho, mbaazi na hata mahindi bila kusahau mazao mengine ya biashara

Kwa wafanyakazi ndo usiseme. Hawa hawaongei ila wote moyoni wanasema wana jambo Lao nae na hiyo itakuwa ni October 2020

Kwa wafanyabiashara hawa ndo wengi wana amini kuwa magufuli amekuja kuwatesa. Wengi wanaona kama snawadhulumu hasa wakiona wanavyofirisiwa na kufungiwa biashara na TRA.

Mwisho kabisa ni kwa vijana graduate- hawa ni kundi kubwa lililoachwa bila ajira. Sekta binafsi iliwaajiri wengi sana kipindi cha awamu ya nne ila kwa mkwamo kwenye awamu hii ya tano wengi wamepoteza kazi na wengine ndo hawajapata kabisa kazi.

kuna mengine mengi kama mafao ya wastaafu ila itoshe tu kusema kuwa Kuna uwezekano wa asilimia 98 kuwa kuna historia itakayitikisha Ardhi ya Africa Mashariki inaenda kuandikwa October mwaka huu!!

Karibu Ikulu( Magogoni na Chamwino) Tundu Antipas Lissu!

Inawezekana, ila sijui unatumia kiungo gani kuchakata taarifa za kisiasa, ILA NAAMINI SIO KUPITIA UBONGO.
 
Kiukweli upinzani ukijipanga vizuri unatoboa. Kuna kundi la wafanyabiashara wanavyosumbuliwa na mfumo wa kodi , wafanyakazi wa serikali ambao kwa miaka mitano hawajui nyongeza ya mshahara au kupandishwa madaraja, kuna waliolizwa na korosho zao, wanafunzi wa vyuo mikopo haieleweki, kuna wastaafu hawajapewa pesa zao kwa miaka sasa, kuna kanda zimegabuguliwa kwa makusudi, CCM yenyewe ina mipasuko, ajira kwa vijana hakuna . Upinzani ukifanyia kazi hizi hoja, naamini zinawagusa watanzania wengi na hivyo kwenye uchaguzi kazi itakuwa ni pevu haswa. Shida ya upinzani ni kuwa hata watu wakisema wampe TL uraisi, mawaziri watakuwa ni wapi??
Fuatilia rekodi ya lissu;

Mwaka 2010 alishinda ubunge katika Jimbo lake huku madiwani 16 kati ya 17 walikuwa ni CCM, 1 akiwa ni CHADEMA.

Mwaka 2020 akashinda tena ubunge huku madiwani 16 kati ya 17 wakiwa ni CHADEMA na mmoja akiwa ni wa CCM.

Lissu ni born winner bila shurti.
 
Pole sana kamanda na ndoto zako za saa saba na robo jambo usilojua ni kwamba ccm ziko mbili ccm raia na ccm jesh ccm raia ikishindwa inaingia ccm jesh kilazima chin ya jwtz kwaheri mkuu naomba nivute shuka nilale huku nikikuna kuna ndambi liloshiba vyema langu maana ninakula mema ya nch kwa kipato changu halal chin ya jemedal maguful tanzania iko mikono salama sina wasi mieeee
Unawajua JWTZ au unawasikia??? Nadhani hujui historia ya nchi hii.
Kama unaihusisha JWTZ na CCM basi umekosea sana. Kati ya Taasisi zote nchini ni JWTZ tu ndo iliyojitenga na ufedhuli wa CCM tangu mwanzo.

Kama unabisha tafuta nini kilitokea mwaka 1964 lugalo barracks na 1982 maeneo ya Kinondoni na Magomeni.

Usiku mwema
 
Fuatilia rekodi ya lissu;

Mwaka 2010 alishinda ubunge katika Jimbo lake huku madiwani 16 kati ya 17 walikuwa ni CCM, 1 akiwa ni CHADEMA.

Mwaka 2020 akashinda tena ubunge huku madiwani 16 kati ya 17 wakiwa ni CHADEMA na mmoja akiwa ni wa CCM.

Lissu ni born winner bila shurti.

Sidhani kama hizo record unazotoa ni kigezo tosha cha kumpa urais....Kuwa rais si jambo la kitoto ndugu.

Kwa record hizo kuna wabunge wengi wanashinda najimboni kwa record za ajabu still hawafai kuwa wakuu wa nchi.
 
Akili kubwa zinatumia akili kubwa kuchakata taarifa. Kama unabisha tukutane October 2020

Mkuu naweza kuwa na mashaka ya vitu na mabo mengi, ikiwa na pamoja kutokuwa na hakika kama wenye kubeba mimba ni kina mama, Jua kama huwa lipo au halipo, sina pia hakika kama samaki wanaishi ndani ya maji. ILA NAHAKIKA MAGUFULI ANASHINDA UCHAGUZI OCTOBER, 2020. Jaribu kuona uhakika nilio nao kwa ushindi wa Magufuli baba lao.
 
Nakwambia hakika! Magufuli hashindi uchaguzi wa mwaka huu! Akipona ni aombe serikali ya mseto ambayo hata hiyo inategemea Lissu akubali au akatae.
 
Sidhani kama hizo record unazotoa ni kigezo tosha cha kumpa urais....Kuwa rais si jambo la kitoto ndugu.

Kwa record hizo kuna wabunge wengi wanashinda najimboni kwa record za ajabu still hawafai kuwa wakuu wa nchi.
Unafikiri Lissu alipona risasi 16 ili iweje????
 
Pole sana kamanda na ndoto zako za saa saba na robo jambo usilojua ni kwamba ccm ziko mbili ccm raia na ccm jesh ccm raia ikishindwa inaingia ccm jesh kilazima chin ya jwtz kwaheri mkuu naomba nivute shuka nilale huku nikikuna kuna ndambi liloshiba vyema langu maana ninakula mema ya nch kwa kipato changu halal chin ya jemedal maguful tanzania iko mikono salama sina wasi mieeee
Pimbi weee , mema yepi umekula hd uwe muongo kiasi hicho
 
Pimbi weee , mema yepi umekula hd uwe muongo kiasi hicho
Achana nae huyu. Hawajui JWTZ. Anaona mabeyo ni cdf anadhani JWTZ yote ni mabeyo!! Nyerere angekuwa hai angemwambia JWTZ ni kina nani maana walimkosakosa kama mara 3 hivi. Jaribio la mwisho la 1982 ndo lilimuogopesha zaidi maana wanaume hawa kumtaarifu hadi wiki ya mwisho. Baadae Nyerere akaona isiwe tabu akamuachia Mwinyi aongoze nchi
 
JwTz ni taasisi inayoheshimika sana raia kuliko maelezo...binafs nawaheshimu mnoo
 
Back
Top Bottom