Ukweli mchungu ambao kila mtu anauona uwe CCM au CHADEMA lakini anaumia kimyakimya

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini.

Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza wazanzibar Serikalini kama hii, karibu kila ofisi kila idara utawakuta, na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao.

Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za vijana wetu walioko mitaani wakati kwao sisi haturuhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi ya watoto zetu kwenda kujiuza na hata kwa kuishi tu mbara unabaguliwa waziwazi

Kiuhalisia huu Mungano hauna faida kwa watanganyika, Mama anawapendelea ndugu zake bila kificho
 
Yaani tumepumbazwa sana tumekuwa kama familia ya single mother,Mama anajifanyia anavyotaka watoto wa kiume kimya sababu baba hayupo,inasikitisha sana
 
Yaani hadi Wizara zisizo za Muungano sasa zinaongozwa na Wazanzibari,Matanganyika yapo busy na mitano tena
 
Nimeamini inaonenaka hata Nyerere alizidiwa ujanja na baharia na Mama naye anapitia mulemule
 
Tanganyika NI shamba la bibi akishafanya KAZI shambani anarudi nyumbani kwenye makazi kizimkazi
 
Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini,
Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza
wazanzibar Serikalini kama hii,kalibu kila ofisi kila idara utawakuta,na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao
Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za vijana wetu walioko mitaani wakati kwao sisi haturuhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi ya watoto zetu kwenda kujiuza
na hata kwa kuishi tu mbara unabaguliwa waziwazi
Kiuhalisia huu Mungano hauna faida kwa watanganyika,Mama anawapendelea ndugu zake bila kificho
Mama mama mama
 
Mm hua nashangaa kwann kama ww n mbara hupat kaz Zanzibar??
Ili upate kaz za serekali znz lazma uwe mzanzibar mkaazi ambao wanakua na ID zao na kama sio mzanzibar ili upate ID ni lazma ukae znz kwa mda wa miaka 5 bila ya kuondok unapata ID na kuwa na sifa ya mzanzibar na kuomba kazi popote pale unapotaka
 
Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini,
Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza
wazanzibar Serikalini kama hii,kalibu kila ofisi kila idara utawakuta,na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao
Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za vijana wetu walioko mitaani wakati kwao sisi haturuhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi ya watoto zetu kwenda kujiuza
na hata kwa kuishi tu mbara unabaguliwa waziwazi
Kiuhalisia huu Mungano hauna faida kwa watanganyika,Mama anawapendelea ndugu zake bila kificho
Kula kwa urefu wa kamba
 
Na Mzanzibar akija bara?
 
HILO NI KWELI KWA 100%. MUUNGANO WA KITAPELI NDIO MADHARA YK HY
 
Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini,
Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza
wazanzibar Serikalini kama hii,kalibu kila ofisi kila idara utawakuta,na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao
Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za vijana wetu walioko mitaani wakati kwao sisi haturuhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi ya watoto zetu kwenda kujiuza
na hata kwa kuishi tu mbara unabaguliwa waziwazi
Kiuhalisia huu Mungano hauna faida kwa watanganyika,Mama anawapendelea ndugu zake bila kificho
Acha ukabila
 
Muungano una faida sana kwa Wazanzibar wa kawaida.

  • Wanaweza kuishi bara na kufanya chochote, wewe Zanzibar unaenda kama mtalii
  • Wana bodi yao ya mikopo elimu ya juu (ZHESLB) aakikosa mkopo wanaomba pia HESLB bara
  • Wana ajira zao kwa kitambulisho cha Mzanzibar, wakikosa wana 15% ya kazi za bara zenye staha, TRA, etc
  • Wana nafasi zao za kisiasa na wana bunge la wawakilishi kenye majimbo ya watu 5,000. Zanzibar ya watu milioni 1 na nusu ina majimbo ,zaidi ya 50.
  • Wanasiasa wao wamerundikana bara kwenye wizara mabazo hata siyo za muungano
  • Kina Shaka Hamdu shaka ni wakuu wa wilaya Kilosa, Morogoro
  • Kina Prof Mbarawa ni mawaziri wa uchukuzi, ila Waziri Mkuu anaenda Zanzibar kama Mtalii.
  • Mtanganyika wa kawaida hanufaiki chochote na Zanzibar.

Wanaopiga kelele Zanzibar ni wanasiasa ambao wanataka vyeo zaidi au wanataka heshima zaidi ya kidiplomasia wakienda nje.

- Bila kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi, wewe ni MTALII tu.

images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom