Usimtetee.Nyerere hana kosa.
- Kuungana ni jambo jema
- Kuunganisha nguvu ndio ushindi
Nyerere aliacha NCHI MOJA na serikali MBILI.
Leo tuna NCHI MBILI Serikali MBILI kwasababu tunataka sana kufurahisha MATAPELI
Tanzania ingekua ni Muungano wa Serikali 3 malalamiko mengi tusingekua nayo , si zamani, sasa wala baadae kwa sababu kila Serikali ingekua unajua na kutenda ndani ya mipaka yake tofauti na sasa.
Unaambiwa majukumu ya. iliyokua iwe Serikali ya Tanganyika yanafanya na Serikali ya Muungano. Hapo utatofautisha vipi Muungano na Tanganyika.