Ukweli mchungu ambao kila mtu anauona uwe CCM au CHADEMA lakini anaumia kimyakimya

Ukweli mchungu ambao kila mtu anauona uwe CCM au CHADEMA lakini anaumia kimyakimya

Yaani hadi Wizara zisizo za Muungano sasa zinaongozwa na Wazanzibari,Matanganyika yapo busy na mitano tena
Nani wa kulaumiwa?
Mwenye uchungu akanyanyue lile funiko la kaburi la mwenyeheri kule Mwintongo amchomoe amtandike mijedeli sababu yote ni yeye aliye kunyimine Tanganyika yenu, hata baada ya G55 kugutuka 1993 kilichowapata Horace Kolimba (Katibu Mkuu wa Chama ) na John Samwel Malecela (Waziri Mkuu na Makamo wa Kwanza wa Rais ) huyu wa pili anaweza kusimulia.
 
Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini,
Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza
wazanzibar Serikalini kama hii,kalibu kila ofisi kila idara utawakuta,na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao
Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za vijana wetu walioko mitaani wakati kwao sisi haturuhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi ya watoto zetu kwenda kujiuza
na hata kwa kuishi tu mbara unabaguliwa waziwazi
Kiuhalisia huu Mungano hauna faida kwa watanganyika,Mama anawapendelea ndugu zake bila kificho
Yaani hadi Wizara zisizo za Muungano sasa zinaongozwa na Wazanzibari,Matanganyika yapo busy na mitano tena

Hili Lina Ukweli mchungu Sana kwa Watanganyika.
1. Shaka Hamdu Shaka (Mzanzibari) ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa huko Mkoani Morogoro, japokuwa TAMISEMI siyo Wizara ya Muungano.
 
Nani wa kulaumiwa?
Mwenye uchungu akanyanyue lile funiko la kaburi la mwenyeheri kule Mwintongo amchomoe amtandike mijedeli sababu yote ni yeye aliye kunyimine Tanganyika yenu, hata baada ya G55 kugutuka 1993 kilichowapata Horace Kolimba (Katibu Mkuu wa Chama ) na John Samwel Malecela (Waziri Mkuu na Makamo wa Kwanza wa Rais ) huyu wa pili anaweza kusimulia.
Nyerere hana kosa.
  • Kuungana ni jambo jema
  • Kuunganisha nguvu ndio ushindi

Nyerere aliacha NCHI MOJA na serikali MBILI.

Leo tuna NCHI MBILI Serikali MBILI kwasababu tunataka sana kufurahisha MATAPELI
 
Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini,
Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza
wazanzibar Serikalini kama hii,kalibu kila ofisi kila idara utawakuta,na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao
Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za vijana wetu walioko mitaani wakati kwao sisi haturuhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi ya watoto zetu kwenda kujiuza
na hata kwa kuishi tu mbara unabaguliwa waziwazi
Kiuhalisia huu Mungano hauna faida kwa watanganyika,Mama anawapendelea ndugu zake bila kificho
Hili swala nimesikia likilalamikiwa na watu wengi. Sijafahamu ukweli wake kiasi gani.
 
Muungano una faida sana kwa Wazanzibar wa kawaida.

  • Wanaweza kuishi bara na kufanya chochote, wewe Zanzibar unaenda kama mtalii
  • Wana bodi yao ya mikopo elimu ya juu (ZHESLB) aakikosa mkopo wanaomba pia HESLB bara
  • Wana ajira zao kwa kitambulisho cha Mzanzibar, wakikosa wana 15% ya kazi za bara zenye staha, TRA, etc
  • Wana nafasi zao za kisiasa na wana bunge la wawakilishi kenye majimbo ya watu 5,000. Zanzibar ya watu milioni 1 na nusu ina majimbo ,zaidi ya 50.
  • Wanasiasa wao wamerundikana bara kwenye wizara mabazo hata siyo za muungano
  • Kina Shaka Hamdu shaka ni wakuu wa wilaya Kilosa, Morogoro
  • Kina Prof Mbarawa ni mawaziri wa uchukuzi, ila Waziri Mkuu anaenda Zanzibar kama Mtalii.
  • Mtanganyika wa kawaida hanufaiki chochote na Zanzibar.

Wanaopiga kelele Zanzibar ni wanasiasa ambao wanataka vyeo zaidi au wanataka heshima zaidi ya kidiplomasia wakienda nje.

- Bila kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi, wewe ni MTALII tu.

View attachment 3327585
Aisee
 
Ili upate kaz za serekali znz lazma uwe mzanzibar mkaazi ambao wanakua na ID zao na kama sio mzanzibar ili upate ID ni lazma ukae znz kwa mda wa miaka 5 bila ya kuondok unapata ID na kuwa na sifa ya mzanzibar na kuomba kazi popote pale unapotaka

Yaani Kama vile unaomba Uraia katika nchi nyingine ya Kigeni! Hii imekaaje?
 
Yaani Kama vile unaomba Uraia katika nchi nyingine ya Kigeni! Hii imekaaje?
Ukumbuke Zanzibar ilikua ni nchi kamili baada ya kuungana na tanganyika ikapotez baadhi ya mambo ila sio yote mengine ndo kama ivo wanajiamulia wenyewe vile wanavyotaka
 
Ukumbuke Zanzibar ilikua ni nchi kamili baada ya kuungana na tanganyika ikapotez baadhi ya mambo ila sio yote mengine ndo kama ivo wanajiamulia wenyewe vile wanavyotaka
Zanzibar ikiachwa pekee hakuna Mzanzibar wa kawaida atanufaika.

Wataonja joto la jiwe.

Watateseka vibaya sana
 
Mtaani pesa fake tena watumia buku tano zimekua nyingi jamani. Tiss mko wapi Kuna mwana kapigwa elfu 60 zote bandia tena muuza genge
 
Zanzibar ikiachwa pekee hakuna Mzanzibar wa kawaida atanufaika.

Wataonja joto la jiwe.

Watateseka vibaya sana
Izo ni propaganda tu zisizo na mashiko
Serekali ya Zanzibar imeajir watumishi wengi mnoo na vikosi kama vyote kila mwaka wanajiri watu kwenye vikosi zaid ya 500+ na wanalipa mishahara kwa mapato yao wanayokushanya unasemaje hakuna mzanzibar atakaenufaika?
 
Vikosi unamaanisha wanajeshi?

Mpaka polisi ni wa muungano.

Unamaaisha vikosi vya mafunzo??
 
Vikosi unamaanisha wanajeshi?

Mpaka polisi ni wa muungano.

Unamaaisha vikosi vya mafunzo??
1. JKU
2.KVZ
3.KZU
4.KMKM
Ukumbe hao wanalipwa kwa rank tofaut kulingana na mtu cheo alichonacho
Nina mwana mmoja ni KMKM amenambia mshahara wao wametoafautiana kidog na hao polisi wa Muungano
 
1. JKU
2.KVZ
3.KZU
4.KMKM
Ukumbe hao wanalipwa kwa rank tofaut kulingana na mtu cheo alichonacho
Nina mwana mmoja ni KMKM amenambia mshahara wao wametoafautiana kidog na hao polisi wa Muungano
Jumla ni watu wangapi hao??
 
Ni kweli wanatuchukulia kazi zetu ,na ukiangalia wengine wamechukua nafasi hata za uwaziri na wakati hata elimu yao ni ya kutilia shaka.
Embu tuwekeeni elimu za MAWAZIRI waliopo ndani ya Srikali Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar aka Tanzania ( Tanganyika Zanzibar Iqbal Ahmadia).

Ekeni elimu zao hapa tuone.
 
Izo ni propaganda tu zisizo na mashiko
Serekali ya Zanzibar imeajir watumishi wengi mnoo na vikosi kama vyote kila mwaka wanajiri watu kwenye vikosi zaid ya 500+ na wanalipa mishahara kwa mapato yao wanayokushanya unasemaje hakuna mzanzibar atakaenufaika?
Zanzibar ina -import kila kitu mpaka ndizi na vitunguu.

Zanzibar imeanza kuuzwa kwa matajiri, kama visiwa vya Bawe na Fumba town kwa gharama ambazo hakuna Mzanzibar anamudu

Zanzibar inapemdwa na matajiri kuishi, ambao wana pesa na mitaa yao.ambayo Wazawa hawamudu kuisi.

Kama ilivyo Mauritius, Madagascar na visiwa vingine, maisha yangekuwa ghali sana na wazanzibar wa kawaida wangeteseka.

Huo ni ukweli ulio wazi. Kimshahar chako cha Laki 5, huwezi kununua nyumba Fumba town au kwenda Kisiwa cha Bawe.
 
Back
Top Bottom