Nimeamini inaonenaka hata Nyerere alizidiwa ujanja na baharia na Mama naye anapitia mulemuleYaani hadi Wizara zisizo za Muungano sasa zinaongozwa na Wazanzibari,Matanganyika yapo busy na mitano tena
Sababu sio mzanzibarMm hua nashangaa kwann kama ww n mbara hupat kaz Zanzibar??
Mama mama mamaNi kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini,
Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza
wazanzibar Serikalini kama hii,kalibu kila ofisi kila idara utawakuta,na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao
Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za vijana wetu walioko mitaani wakati kwao sisi haturuhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi ya watoto zetu kwenda kujiuza
na hata kwa kuishi tu mbara unabaguliwa waziwazi
Kiuhalisia huu Mungano hauna faida kwa watanganyika,Mama anawapendelea ndugu zake bila kificho
Ili upate kaz za serekali znz lazma uwe mzanzibar mkaazi ambao wanakua na ID zao na kama sio mzanzibar ili upate ID ni lazma ukae znz kwa mda wa miaka 5 bila ya kuondok unapata ID na kuwa na sifa ya mzanzibar na kuomba kazi popote pale unapotakaMm hua nashangaa kwann kama ww n mbara hupat kaz Zanzibar??
Kula kwa urefu wa kambaNi kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini,
Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza
wazanzibar Serikalini kama hii,kalibu kila ofisi kila idara utawakuta,na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao
Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za vijana wetu walioko mitaani wakati kwao sisi haturuhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi ya watoto zetu kwenda kujiuza
na hata kwa kuishi tu mbara unabaguliwa waziwazi
Kiuhalisia huu Mungano hauna faida kwa watanganyika,Mama anawapendelea ndugu zake bila kificho
Na Mzanzibar akija bara?Ili upate kaz za serekali znz lazma uwe mzanzibar mkaazi ambao wanakua na ID zao na kama sio mzanzibar ili upate ID ni lazma ukae znz kwa mda wa miaka 5 bila ya kuondok unapata ID na kuwa na sifa ya mzanzibar na kuomba kazi popote pale unapotaka
Acha ukabilaNi kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini,
Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza
wazanzibar Serikalini kama hii,kalibu kila ofisi kila idara utawakuta,na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao
Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za vijana wetu walioko mitaani wakati kwao sisi haturuhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi ya watoto zetu kwenda kujiuza
na hata kwa kuishi tu mbara unabaguliwa waziwazi
Kiuhalisia huu Mungano hauna faida kwa watanganyika,Mama anawapendelea ndugu zake bila kificho
Muungano una faida sana kwa Wazanzibar wa kawaida.Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini,