Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Umeandika vitu vingi lakini upeo wako wa uelewa mdogo sana hasa wa Lugha
Chochote afanyacho Mungu kwa Mwanadamu huitwa muujiza kwa lugha ya kiswahili kutofafautisha kati ya afanyacho binadamu na Mungu

Mfano mimi kuna siku sikuwa na hela hata ya kula nikaomba Mungu kuwa Mungu nisaidie kisha i nikasema moyoni ngoja niende kumuona rafiki yangu nimuombe hela nikiwa na uhakika atanipa sababu huwa tunasaidiana kwenye shida na raha.Haishi mbali na kwangu nikampigia simu akasema njoo uchukue.

Nikatoka kwa mguu kwenda kwake .Nikiwa njiani nikaona chini kuna pochi ardhini kuna pochi .Nikaokota kuangalia ina dola za Mia Mia jumla 40 sawa na dola elfu 4 kwa rate ya wakati huo sh 2000 sawa na shilingi za Tanzania milioni 8 nikageuza nikamwambia rafiki yangu a basi nineshapata hela usijali
Huo kwangu ulikuwa muujiza yaani kitu alichonitendea Mungu.
Wakati wote kiswahili kitu akifanya Mungu huitwa muujiza ni lugha ya kawaida
 
Unaweza kuthibitisha kauli hii?
Na kuthibitishia Mungu huyo hayupo kwa namna yeyote ile ya kuthibitishika.

Kisicho kuwepo hakina uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika.

Ukisema kitu kipo, eleza na thibitisha kipo kwa namna gani?

Kama huyo Mungu yupo mlete hapa au mwambie aje hapa ajidhihirishe.

Au thibitisha huyo Mungu ni nini, Na yupo kwa namna gani?

Na si mawazo yako ya kufikirika tu.
 
Ndicho mnacho kifanya watu wa dini. Mnamuomba Mungu siku zote miaka yote hampati majibu ila hamuachi kuendelea kumuomba kwa sababu mnatarajia kupata matokeo tofauti. That is insanity bro..
We mwehu sema baadhi sio wote ulihoji watu wote wa dini dunia nzima kufikia hiyo conclusion kuwa watu wote wa dini wanaomba Mungu miaka yote na hawapati majibu mwehu wewe

Wahi hospitali ya vichaa mirembe update tiba mapema muda si mrefu utatupa nguo na kutembea uchi barabarani ,kichaa kinakunyemelea
 
Kati yangu na walio eneza dini kwa upanga nani analazimisha watu waamini Anacho taka
Mpango upi? wamekuletea kingereza ,wmekuletea siasa ya uadui .

Wamekupa kingereza bado wanakubagua kwa ngozi yako ...Kuwa busy na maisha yako utengano duniani ni suala la lazima
 
Pamoja sana ila Accumen Mo hawezi kuelewa kwa sababu anaogopa adhabu ya kaburini
Adhabu ipi? Kuishi kwa kufuata taratibu fulani ni tatizo kwako

Mbona watu wana makabila tofauti? wanafuata mila zao mpaka wanakufa .

Kaangalie wahadzabe hawana time na mtu ,unachoamini fanya kuamini usiwe kikwazo kwa wengine maana uneoneka mjinga
 
Na si mawazo yako ya kufikirika tu.
Ungeishia kwenye maelezo yako ya mwanzo ningekujibu hoja with vividly. Ila kwa hichi ulichoandika hapa inaonyesha hunanuwezo wa kuhimili majibu yangu.

Wewe ndie umetoa mawazo ya kufikirika kama abunuwasi, mimi bado sijasema chochote zaidi ya kukutaka uthibitishe kauli yako, umeshaji defend kwa kuwa huna hoja.
 
Uwezo wako mdogo sana ,watu duniani wanabaguana kwa dini tu ...Kama unaamini mawazo hayo ni mjinga kabisa.

Watu duniani hata hapa Tanzania wanabaguana kwa ukanda ,makabila ,race mbalimbali ,maskini vs matajiri .

Kiduninia mataifa yanabaguana ,race (wazungua ,araba , Africa).

Wewe unabaguliwa kwa ngozi wako ila kweny dini hakuna ubaguzi watu wote ni wamoja ...

Jaribu kuzunguka eti dini imeleta Ubaguzi.. Huoni vita yq CCM vs CHADEMA humu ?
Wewe mwenyewe unawabagua wakristu kila siku kwenye comment zako hapa unawaita makafiri. What are u talking about bro.. Dini yako ninaijua kuliko wewe mkuu kwa sababu nimezaliwa huko. Tena Ukoo wetu waliipokea dini mapema sana yani hapa nikikutajia majina yangu hapa ni mpaka babu yangu wa kumi ni majina ya kiarabu Unaposema hakuna ubaguzi kwenye dini nakuona kama mtoto vile. Hivi sio kwenye dini yako mnafundishwa " muislamu nduguye muislamu?"

Nyie mnawaita wenzenu makafiri wenzenu wana waita waabudu majini. Mnabaguana hatari halafu hapa kwenye comment una jibarahuza eti hakuna ubaguzi. What are u talking about bro?
 
Je ni mungu yupi wa kweli unaetaka afatwe na anaejibu maombi ya wanadamu. Guide me.
Hawa ni atheist wanalazimisha watu kufauta mawazo yao ,they are fully doubting themselves

Kiufupi hawajiamini kutwa kukandia dini ,kujiona bora ila wanaongoza kwa kujiua duniani 😅😅
 
Duh unatukana matusi hadi mwezi mtukufu mkuu ? Tobaa!!!
Anyways hivi toka uanze kumuabudu huyo unae muabudu umesha vumbua kitu gani mkuu?
Adhabu ipi? Kuishi kwa kufuata taratibu fulani ni tatizo kwako

Mbona watu wana makabila tofauti? wanafuata mila zao mpaka wanakufa .

Kaangalie wahadzabe hawana time na mti ,unachoamini fanya kuamini usiwe kikwazo kwa wengine maana uneoneka mjing
 
Duh unatukana matusi hadi mwezi mtukufu mkuu ? Tobaa!!!
Anyways hivi toka uanze kumuabudu huyo unae muabudu umesha vumbua kitu gani mkuu?
Neno insanity unajua maana yake ? Umeandika hapo au kingereza kilikuja kwa meli
 
Umeandika vitu vingi lakini upeo wako wa uelewa mdogo sana hasa wa Lugha
Chochote afanyacho Mungu kwa Mwanadamu huitwa muujiza kwa lugha ya kiswahili kutofafautisha kati ya afanyacho binadamu na Mungu

Mfano mimi kuna siku sikuwa na hela hata ya kula nikaomba Mungu kuwa Mungu nisaidie kisha i nikasema moyoni ngoja niende kumuona rafiki yangu nimuombe hela nikiwa na uhakika atanipa sababu huwa tunasaidiana kwenye shida na raha.Haishi mbali na kwangu nikampigia simu akasema njoo uchukue.

Nikatoka kwa mguu kwenda kwake .Nikiwa njiani nikaona chini kuna pochi ardhini kuna pochi .Nikaokota kuangalia ina dola za Mia Mia jumla 40 sawa na dola elfu 4 kwa rate ya wakati huo sh 2000 sawa na shilingi za Tanzania milioni 8 nikageuza nikamwambia rafiki yangu a basi nineshapata hela usijali
Huo kwangu ulikuwa muujiza yaani kitu alichonitendea Mungu.
Wakati wote kiswahili kitu akifanya Mungu huitwa muujiza ni lugha ya kawaida
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
 
Back
Top Bottom