Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

πŸ€”πŸ˜…
 
Sasa hapo wewe ndio unaonekana chizi

Sanamu ni kitu kinachoonekana,kinagusika na kinaweza kufananishwa na kitu kingine

MWENYEZIMUNGU haonekani,hashikiki na wala hafanani na chochote
 
Hao sio athiest ni jamii za utawala ulikuwepo walikuwa kuna vitu wanaamini ,zaidi walikuwa jamii za kushirikina na walikuwa na nguvu zaidi ...Sio hawa wenye idea za watu wa sasa wanaishi America.

America kule atheists iliingia kama movement nyingine za kudai uhuru miaka mingi hata kabla ya huyo jamaa.

Athiests wa zamani walikuwa wanapinga kusambaa kwa idea ya Mungu .Kumbuka
walikuwa ni jamii za kushirikina ,hawa walikuwa na Miungu yao hakuna kitabu ambacho kimeandika hawakuwa wakiabudu ,walikuwa na Miungu yao .

kupingana na idea ya Miungu ni juu ya kuhofia kuondelewa kwa utawala wao duniani ...Mungy mkubwa washapotea

Atheists hawa wafuata mkumbo wakina Infropreneur ni idealism ambayo wana idea mpya kutoka kwa watu wa kwanza ..Wana tamaduni zao tofauti na wala wa zamani.

Mtume hakupiga vita ila alipigwa vita kumbuka hilo, jamii zilizokuwepo kabla yake ni washirikina ,manaswara ,Mayahudi ..Hao ndio wanatajwa kweny Qur an.

Alipewa maelezo hayo kwa vile hao ndio maadui wakubwa wa enzi ,kumbuka hata waliopita kama Mussa ,issa walipigwa vita na hizo jamii haswa wayahudi na washirikina .
 
Una point LIKUD, sasa tufanye nini ili tumpate Mungu anayejibu maombi?
 
Samahani unajua maana Ya Atheists..?
ngoja nikueleze maana yake..

Sasa "atheist" imetokana na neno la Kigiriki kama ifuatavyo.. "a" (without) na "theos" (god), kwahiyo limamaanisha "without god" au "godless."

Kwahiyo sasa atheist ni mtu anapingana na imani ya kuwepo Kwa Mungu,Miungu yaani gods or deities.

typically reject the notion of a supreme being or higher power and instead rely on reason, evidence, and scientific understanding Sijui kama umenipata kwa hapo..

Watu wengi nimeona mnachanganya kati ya Agnostics,Ignostics, na Atheists.. na ndo maana nikauliza hayo maswali

Narudi kwenye hoja yako..

Atheists zaman walikuwa jamii ya kishirikina?

Hapana Philosophia Inapinga uwepo wa Mungu muweza wa yote..na uwepo wa Miungu..
Na ndo hasa ukiangalia maana yake halisi ni Hiyo atheists

Na tukitrace Lini Philosophy ilianza ni Zamani sana hata kabla ya Yesu kuwepo Duniani..

So conclusion ni kwamba Atheists ilikuwa ipo kwa wale wenye Elimu Kubwa sana wana Philosophia..
NA wanaohilosophia wote Wanasayansi wote wa zamani walipinga uwepo wa Mungu...na hiyo ndo iliitwa Atheists "Kimaana"
Na walikuwepo zaman hata kipindi cha Nuhu
 
Hajapunga, yuko sahihi. Je utakubali kuwa wewe ndie hauko sahihi kwa kusema mungu hayupu?
Mungu hayupo.

Nikikwambia mimi ni Mungu utakubaliana nami?

Pesa, jiwe, miti au chochote kile kinaweza kuitwa Mungu kulingana na imani ya mhusika, vitu vyote vinaweza kuabudiwa kwa kuitwa jina " Mungu"
Mtu yoyote yuko huru kuabudu chochote hata jiwe. je utakubaliana na mimi kwamba chochote kinchoabudiwa ni mungu kwa huyo anaekiabudu? Kama ndio, Why unasema hakuna mungu.
Kuabudu chochote kwa kukiita Mungu ni sawa tu.

Hata wewe unaweza kujiita Mungu uka abudiwa.

Ndio maana yule mwanamama mfalme Zumaridi ana jiita Mungu na ana wafuasi wanao mwabudu.
Mimi nikikwambia haya ninayoyajibu hapa naambiwa na mungu ninaemwabudu (hautaamini), wewe ukitaka nithibitishe. Je utathibitishiwaje kwa kitu unachodai hakipo?
Nitakuuliza hayo unayo ambiwa na Mungu, ni Mungu wa namna gani?

Mungu jiwe, Mungu mti, Mungu pesa au kitu chochote ulicho amua kukiita Mungu?
Ukiweza kuthibitisha kwamba 13Γ—7=28 na uka onyesha njia uliyotumia na ikaonekana ni kweli, Basi jibu la 13Γ—7=91 lita batilishwa katika kanuni za hisabati.

Na jibu la 13Γ—7= 28 lita thibitishwa rasmi.

Kusema kwamba kuna Mungu mmoja muumba wa vyote, mjuzi wa vyote, mkuu wa vyote ni Uongo.

Mungu wa namna hii hayupo.
 
Wafia dini kama wewe Accumen Mo ni wafuata mkumbo wa dini za waarabu ambazo umepumbazwa na kukaririshwa tu.

Hata waafrika walikuwa na dini zao vilevile tofauti na uislamu.
 
Wafia dini kama wewe Accumen Mo ni wafuata mkumbo wa dini za waarabu ambazo umepumbazwa na kukaririshwa tu.

Hata waafrika walikuwa na dini zao vilevile tofauti na uislamu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Naona unavyoumia ,kunywa pombe ni kufuata mkubwa ,uzinzi ni kufuata mkumbo .

Kuwa na familia ni kufuata mkumbo ...Unasema walikuwa na dini zao ni sawa ,kila jamii ilikuwa na dini yake
 
Reactions: 511
Nikikwambia mimi ni Mungu utakubaliana nami?
Ndio nitakubali maana wapo miungu wengi
Pesa, jiwe, miti au chochote kile kinaweza kuitwa Mungu kulingana na imani ya mhusika, vitu vyote vinaweza kuabudiwa kwa kuitwa jina " Mungu"
Kama ndivyo basi unakosea kusema hakuna mungu
Kuabudu chochote kwa kukiita Mungu ni sawa tu.

Hata wewe unaweza kujiita Mungu uka abudiwa.

Ndio maana yule mwanamama mfalme Zumaridi ana jiita Mungu na ana wafuasi wanao mwabudu.
Ikiwa hivyo nitaitwa mungu, sasa mbona unasema hakuna mungu?
Nitakuuliza hayo unayo ambiwa na Mungu, ni Mungu wa namna gani?

Mungu jiwe, Mungu mti, Mungu pesa au kitu chochote ulicho amua kukiita Mungu?
Kujua aina ya mungu sio hoja, hoja ni je ni mungu au hakuna mungu.
Kama unakiri mti, jiwe, vinaweza kuitwa mungu, basi unakosea kusema hakuna mungu.
 
Atheist idea haikuwepo zamani hakuna uthibitisho hata kidogo ,kwa sababu mpaka leo haina nguvu.

Kama ilikuwepo ilikuwa na nguvu ndogo sana ,tena mno kiasi kwamba haikuwa na uwezo wa kujitosheleza kushawishi watu.

Nadharia ya uwepo wa Mungu ilikuwa mwanzo kabisa kushinda etheist ndio maana ilikuwa rahisi kwa dini kukua ,watu walikuwa na idea za kuabudu Miungu ,mizimu yaani kifupi vitu visivyoonekana.

Ilikuwa rahisi kwa dini kuchukua nafasi kuliko atheist kwa vile ni mfumo ambao hauna mashiko wala haujitoshelezi .


Kama waafrica walipinga ukoloni kwa nn wasipinge dini kama zimeletwa? Kama watu walipogania uhuru , resistance kibap ila mbona hawakupigana kuondoa dini?

Atheists wapo serious kuamini watu wengi duniani wanafuata uongo!?
 
Reactions: 511
Unapaswa kusema hakuna mungu mmoja muumba wa vyote, sio hakuna mungu.
Mungu hayupo ndio, kwa vile vitu vingine vina majina yake specific.

Hilo jina "Mungu" linapachikwa tu kwa kitu chochote chenye jina lake linalo exist already.

Ndio maana mwanamama mfalme Zumaridi anaitwa " Zumaridi" ila pia ni Mungu kwa watu wa imani yake.

Mimi naitwa, infropreneur lakini pia naweza kujiita Mungu infropreneur.
 
Huna tofauti na wapiga ramli. Sijaona way forward hapo. Pia wakristu (na. Waislamu bila shaka) wanamuomba Mungu huyo huyo wa Ibrahim. Au nakose?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Naona unavyoumia ,kunywa pombe ni kufuata mkubwa ,uzinzi ni kufuata mkumbo .

Kuwa na familia ni kufuata mkumbo ...Unasema walikuwa na dini zao ni sawa ,kila jamii ilikuwa na dini yake
Na kuwa Atheist ni kufuata mkumbo?
 
Je ukijiita mungu, nikiulizwa kama nilikuwa nachat n mungu nikasema ndio nitakuwa nimekosea?

Kama nitakuwa sawa kukuita mungu kwa nini ukatae kuwa hakun mungu wakati hapo utakuwa umejiita mungu nami nimekutambua kama mungu?
 
Unakumbuka mtume Paulo alivyo elezea maana ya Neno Imani??
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…