Hao sio athiest ni jamii za utawala ulikuwepo walikuwa kuna vitu wanaamini ,zaidi walikuwa jamii za kushirikina na walikuwa na nguvu zaidi ...Sio hawa wenye idea za watu wa sasa wanaishi America.
America kule atheists iliingia kama movement nyingine za kudai uhuru miaka mingi hata kabla ya huyo jamaa.
Athiests wa zamani walikuwa wanapinga kusambaa kwa idea ya Mungu .Kumbuka
walikuwa ni jamii za kushirikina ,hawa walikuwa na Miungu yao hakuna kitabu ambacho kimeandika hawakuwa wakiabudu ,walikuwa na Miungu yao .
kupingana na idea ya Miungu ni juu ya kuhofia kuondelewa kwa utawala wao duniani ...Mungy mkubwa washapotea
Atheists hawa wafuata mkumbo wakina
Infropreneur ni idealism ambayo wana idea mpya kutoka kwa watu wa kwanza ..Wana tamaduni zao tofauti na wala wa zamani.
Mtume hakupiga vita ila alipigwa vita kumbuka hilo, jamii zilizokuwepo kabla yake ni washirikina ,manaswara ,Mayahudi ..Hao ndio wanatajwa kweny Qur an.
Alipewa maelezo hayo kwa vile hao ndio maadui wakubwa wa enzi ,kumbuka hata waliopita kama Mussa ,issa walipigwa vita na hizo jamii haswa wayahudi na washirikina .