Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Atheist idea haikuwepo zamani hakuna uthibitisho hata kidogo ,kwa sababu mpaka leo haina nguvu.

Kama ilikuwepo ilikuwa na nguvu ndogo sana ,tena mno kiasi kwamba haikuwa na uwezo wa kujitosheleza kushawishi watu.

Nadharia ya uwepo wa Mungu ilikuwa mwanzo kabisa kushinda etheist ndio maana ilikuwa rahisi kwa dini kukua ,watu walikuwa na idea za kuabudu Miungu ,mizimu yaani kifupi vitu visivyoonekana.

Ilikuwa rahisi kwa dini kuchukua nafasi kuliko atheist kwa vile ni mfumo ambao hauna mashiko wala haujitoshelezi .

Kama waafrica walipinga ukoloni kwa nn wasipinge dini kama zimeletwa? Kama watu walipogania uhuru , resistance kibap ila mbona hawakupigana kuondoa dini?

Atheists wapo serious kuamini watu wengi duniani wanafuata uongo!?
Dini haziluenezwa kwa Maridhiano ya Mezani!
Watu wengi wamepoteza maisha zaidi ya watu mamilioni..

Kwa wakristo Dini zimeenezwa in the name of Crusades and War na Heresy killing through burning people alive..and Empire Creation na kuweka sheria za kanisa kuwa Ndiyo kipimo cha maadili na sheria za kiutawala...

Kwa Waislamu It was through Jihad and Empire Creation ma kuziweka Sheria za Dini kuwa kipimo.cha maadili na sheria za kiutawala..

Kwahyo wengi waliamua kusali/Kuswali kuhofia maisha Yao na hasa kufa,Kunyongwa au kuchomwa moto.hadharani...

Nakupa mifano ya kidini kwanza!

Kipindi cha Musa, Musa alikuja na sheria na Amri akasema yoyote asiyeshika Sheria hizi atauwawa na kuuliwa na watu aisha kwa kupondwa na mawe au kupewa adhabu yoyote..
na waliokuwa hawaishiki kiukweli waliuliwa!..

swali ni kuwa unafikiri Nani angeendelea kuamini anachokiamini wakati usalama wa Maisha yake upo hatarini?

Kipindi cha mtume..Baada ya watu wasioshika Dini walikuwa wakipatiwa adhabu kali sana..

Na ndo maana Mtume anakiri Kuwa kulikuwa na wanafiki katika Dini..Unafikiri kwa sababu gani?

Unafiki unakuja pale mtu anapoogopa Adhabu ila ndani ya moyo wake hayupo pamoja na nyinyi...

Nataka nikupe mfano mwingine..

Chukulia sasa Hivi nikuulize wewe ni kabila gani utanitajie lile babu yako alilokuwa nalo ila babu yako na babu yako hujui alikuwa ni kabila gani na ukitrace kabila lake utakuta kuwa Kabila hilo alijipachika baada ya kufika maeneo hayo na kukaa kwa muda mrefuu..

Sasa hapo naamaanisha nini Kwakuwa wale atheists waliopinga ,walizaa watoto na watoto wao waliwakuta wazazi wao wakibehave Unafiki kwa kusali na wao pia waliamini wazazi wao wanasali..
Na wao wakarithisha kusali kwa watoto wao bila kuuliza wala kuhoji..

Na hivyo ndivyo dini ilivyosambaaa..
Na kuhofia Upoteaji wa Dini..

Ndipo ikaanzishwa Hofu ya KUCHOMWA moto kwa wanaotenda Dhambi kitu ambacho kabla ya hapo hakikuwepo..

Ukienda kwa Wayahudi hakuna Theology ya Kuwa kuna siku ya Hukumu watu watachukuliwa na kuuliwa na watu watapelekwa motoni wwngine peponi...

Kwa maelezo hayo mafupi ni kwamb Dini ni mfumo wa Kurithishana kutoka kizazi Kilichokuwa na uoga kuja kizazi chetu bila kuchunguza ukweli walioturithisha kama ulikuwa ni code au Ni maneno ya Hadithi!
 
Je ,unaweza kunithibitishia hapo mashariki ya kati palipotokea dini na historia zote ,kwamba kuna atheist wengi ?
Sio rahisi kutawala dunia kwa mabavu then utawala huo ukaendelea ..

Kwa nn dini zipo karibia mabara yote wakati zimetokea Asia?

Hakuna sehemu mtume alianza kupambana na tawala ,ila yeye ndio alianza kushambuliwa.

Hata leo jihad ipo sio kupigana ,ni ile hali ya kujitolea katika njia ya kutarajia malipo kwa Mungu sio kupihana kama mnavyodanganywa.
 
Je ukijiita mungu, nikiulizwa kama nilikuwa nachat n mungu nikasema ndio nitakuwa nimekosea?
Hapana.

Ila kwa imani za hizi dini, Wanadai mwanadamu kujiita Mungu ni kosa na dhambi.

Mfano wakristo wanadai, Mungu wao hafananishwi na chochote.
Kama nitakuwa sawa kukuita mungu kwa nini ukatae kuwa hakun mungu wakati hapo utakuwa umejiita mungu nami nimekutambua kama mungu?
Mungu ninayesema Hayupo ni huyo anaye aminiwa yupo mbinguni huko au peponi.
 
Ndio 😂😂😂 yule jamaa ndio kaanzisha ,wewe tangu ujue kingereza unafuata tu mkumbo
Na wewe toka ufundishwe kiarabu unafuata tu mkumbo.

Waarabu ndio wameanzisha dini yao ya uislamu, Wewe na waafrika wenzako waislamu msio jitambua mmekuja kudandia mtumbwi kwa mbele.
 
Hapana.

Ila kwa imani za hizi dini, Wanadai mwanadamu kujiita Mungu ni kosa na dhambi.

Mfano wakristo wanadai, Mungu wao hafananishwi na chochote.

Mungu ninayesema Hayupo ni huyo anaye aminiwa yupo mbinguni huko au peponi.
Sawa ndio maana nakwambia sema " hakuna mungu muweza wa yote, anaeaminiwa kuwepo mbinguni" usiseme hakuna mungu. Unakubali?
 
Na wewe toka ufundishwe kiarabu unafuata tu mkumbo.

Waarabu ndio wameanzisha dini yao ya uislamu, Wewe na waafrika wenzako waislamu msio jitambua mmekuja kudandia mtumbwi kwa mbele.
😂Ulikuwa unakataa nn ? Wewe ni mfuata mkumbo tu wala huwez kutetea hoja zako
 
Sawa ndio maana nakwambia sema " hakuna mungu muweza wa yote, anaeaminiwa kuwepo mbinguni" usiseme hakuna mungu. Unakubali?
Kwani nikisema Mungu hayupo nimekosea nini?

Wewe unapachika majina vitu vingine ambavyo vipo halafu una viita Mungu ili niseme havipo?

Mungu ni jina ambalo halipo.

Sawasawa tu nikisema Mungu hayupo.
 
Mungu anaye daiwa yupo juu mawinguni anaye control kila kitu huko ndio hayupo.
Next time jaribu kuwa specific kuhusu mungu unaemuongelea, uki generalize tu kuwa hakuna mungu wakati unakubali mti unaweza itwa mungu una confuse.
 
Kwani nikisema Mungu hayupo nimekosea nini?

Wewe unapachika majina vitu vingine ambavyo vipo halafu una viita Mungu ili niseme havipo?

Mungu ni jina ambalo halipo.

Sawasawa tu nikisema Mungu hayupo.
Unaitwa intropreneur.
Ukasema unaweza jiita mungu.
Nimekubali unaweza kujiita mungu na nikakutambua kama mungu.

Sasa intropreneur kujiita mungu si amejipa hilo jina?
 
ISAYA 48

Mungu atangaza matukio mapya

1 Sikilizeni, enyi watu wa Yakobo,
enyi mnaojulikana kwa jina la Israeli,
nyinyi mlio wa ukoo wa Yuda.
Nyinyi huapa kwa jina la Mwenyezi-Mungu,
na kudai mnamwabudu Mungu wa Israeli;
lakini hayo si ukweli wala sawa.

2 Nyinyi mnaona fahari kujiita watu wa mji mtakatifu,
na kujidai kumtegemea Mungu wa Israeli,
ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi.

3 “Nilitangaza zamani matukio ya awali,
niliyatamka mimi mwenyewe
na kuyafanya yajulikane kwenu.
Mara nikaanza kuyatekeleza,
nayo yakapata kutukia.

4 Lakini nilikujua wewe kuwa mkaidi;
kichwa kigumu kama chuma,
uso wako mkavu kama shaba.

5 Kwa hiyo nilikutangazia tangu zamani,
kabla hayajatukia mimi nilikutangazia,
usije ukasema, ‘Kinyago changu kiliyatenda hayo,
sanamu zangu za kuchonga na kusubu ziliyafanya.’

6 “Wewe uliyasikia na sasa unayaona yote.
Kwa nini huwezi kuyakiri?
Tangu sasa nitakujulisha mambo mapya;
mambo yaliyofichika ambayo hukuyajua.

7 Mambo hayo yanatukia sasa;
hukupata kuyasikia kabla ya leo,
hivyo huwezi kusema, ‘Aa! Nilikwisha yajua.’

8 Hujapata kamwe kuyasikia wala kuyajua;
tangu zamani masikio yako hayakuyasikia.
Nilijua kuwa wewe ni mwenye hila,
na kwamba wewe ni mwasi tangu kuzaliwa.

9 “Kwa heshima ya jina langu,
ninaiahirisha hasira yangu;
kwa ajili ya heshima yangu,
ninaizuia nisije nikakuangamiza.

10 Mimi nitawajaribu lakini si kama fedha katika tanuri.
Nitawajaribu katika tanuri ya taabu.

11 Ninafanya hivyo kwa ajili yangu mwenyewe.
Kwa nini jina langu lidharauliwe?
Utukufu wangu siwezi kumpa mwingine!
Koreshi, mteule wa Mwenyezi-Mungu

12 “Nisikilize ee taifa la Yakobo,
nisikilize ee Israeli niliyekuita.
Mimi ndiye Mungu;
mimi ni wa kwanza na wa mwisho.

13 Kwa mkono wangu niliuweka msingi wa dunia,
mimi mwenyewe nilizitandaza mbingu.
Nikiziita mbingu na dunia,
zinasimama haraka mbele yangu.

14 “Kusanyikeni nyote msikilize!
Nani kati ya miungu yenu aliyetabiri vitu hivi?
Mimi Mwenyezi-Mungu nampenda Koreshi;
yeye atatekeleza lengo langu kuhusu Babuloni,
naam, yeye atawashambulia Wakaldayo.

15 Mimi, naam, mimi nimeyasema na kumwita;
nimemleta, naye atafaulu katika mpango wake.

16 Njoni karibu nami msikie jambo hili:
Tangu mwanzo mimi sikusema kwa siri,
tangu mambo hayo yaanze kutendeka, nimekuwapo.”
Sasa, Bwana Mungu amenituma,
na kunipa nguvu ya roho yake.
Mpango wa Mungu kwa watu wake

17 Mwenyezi-Mungu, Mtakatifu wa Israeli,
Mkombozi wako, asema hivi:
Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako,
ninayekufundisha kwa faida yako,
ninayekuongoza katika njia unayotakiwa kwenda
.

18 Laiti ungalizitii amri zangu!
Hapo baraka zingekutiririkia kama mto,
ungepata fanaka kwa wingi kama mawimbi ya bahari.

19 Wazawa wako wangekuwa wengi kama mchanga,
naam, wangekuwa wengi kama chembe za mchanga.
Jina lao kamwe lisingaliondolewa,
kumbukumbu lao halingalitoweka mbele yangu.”

20 Sasa, ondokeni Babuloni!
Kimbieni kutoka Kaldayo!
Tangazeni jambo hili kwa sauti za shangwe,
enezeni habari zake kila mahali duniani.
Semeni: “Mwenyezi-Mungu amelikomboa
taifa la mtumishi wake Yakobo.”

21 Alipowaongoza jangwani hawakuona kiu,
aliwatiririshia maji kutoka mwambani,
aliupasua mwamba maji yakabubujika.

22 Lakini Mwenyezi-Mungu asema hivi:
“Watu waovu sitawapa amani.”
Iliyochaguliwa sasa

Zingatia -Isaya 48:17
 
Unaitwa intropreneur.
Ukasema unaweza jiita mungu.
Nimekubali unaweza kujiita mungu na nikakutambua kama mungu.

Sasa intropreneur kujiita mungu si amejipa hilo jina?
Ndio naweza kujipa hilo jina, si jina tu kama majina mengine.
 
Ukiletewa Aya za Quran kuzungumzia maneno ya Allah wao utazingatia hilo?

Au unadhani kila mtu ni mkristo anapaswa kuzingatia ulicho andika hapa?
 
Ndio naweza kujipa hilo jina, si jina tu kama majina mengine.
Naweza ulizwa intropreneur ni mungu nikajibu ndio. Huyo alieniuliza akienda kumwambia mwenzake kuwa intropreneur ni mungu nae akasadiki atakuwa sawa?
Kama atakuwa sawa basi kusema hakuna mungu unakosea.
 
Mungu ni jina lenye asili ya Kibantu linalotumika kwa yeyote anayesadikiwa katika dini mbalimbali kuwa na uhai.

Mti ni mmea wenye uhai.
Jiwe lina uhai?

Mtu akiamini jiwe kama Mungu wake, utasema kwamba Mungu jiwe hana uhai?
 
Back
Top Bottom