Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Una angalia wingi badala ya facts.

Ndio maana kuna kundi kubwa la wajinga kwenye dini kama nyie.
Facts zipi ? Una facts gani au wewe una akili kushinda watu wote duniani?

Ebu tuonyeshe uwezo wako , kielimu umefanya nn ? Kiuchumi uko wapi?

Unaongelea wajinga ,je kama wewe ndio mjinga unajua hilo.!
 
MUNGU anasema kuwa yupo karibu sana na sisi na anajibu maombi ya yule anayemuomba . Anachotaka ni kuwa tuwe wanyenyekevu kwake na tumuamini ili tupate kuongoka.

Muujiza ni tofauti na dua (maombi)...

Mungu alikuwa akileta miujiza yake kupitia kwa manabii na mitume ili kuwa ni ishara kwa watu wasioamnini wapate kuongoka.

Baba zako waliokutangulia LIKUD walikuwa ni wabishi sana na walikuwa wakibishana na kuipinga sana mitume...na walikuwa wakitaka wateremshiwe ishara za wazi kutoka mbinguni ili wapate kuamini...Hizi ishara ndio zilikuwa zikiitwa miujiza..mfano ni miujiza aliyopewa Musa aifanye ili firauni na watu wake wapate kuongoka...aliifanya miujiza ila baadae waliendelea kumpinga kwa kusema ile miujiza si chochote bali ni uchawi tu.
 
Nimekwambia nijibu swali langu kwanza ndipo nitakujibu hilo lako
Naku uliza hivi, 👇

Ulisema Mungu ni uhai, Sasa sa hivi utasemaje Mungu akifa kama huyo Jehova wanyonyi Mungu wa wakenya alivyokufa anaitwa Mungu?

Huoni kwamba maelezo yako yanapingana na definition yako ya Mungu ni uhai?
 
Uwezo wako mdogo sana kuelewa.

NIMESEMA SIJIBU SWALA LAKO KWA SABABU HAUJANIJIBU NILICHOKUULIZA. KAMA WEWE HAUJIBU MASWALI YANGU KWA NINI UNATAKA MIMI NIKUJIBU.???????????

Pumzika kama huna jibu
 
Unajicontradict sana..!
Kuamini kwa Mungu,Miungu ,Mizimu yote Huitwa Deities Believe..
Haijalishi unaamini nini..kati ya Hivyo..

Ila nilichotaka kukuonyesga ni kuwa Atheist ilikuwepo toka zamani..

Walikuwepo watu wanaoamini Miungu mingine wao hawakuitwa Watu wanaosema hakuna Mungu..Kulikuwa na Miungu mingu ya Samria na mingine ya kigeni mingi tu..

Na naona unataka kupotosha kuwa walipinga miungu ya Daudi no..waliopinga Miungu ya Daudi walifahamika Na hata hiyo ndo ilikuwa sababu ya Suleiman kutawala na watoto wengine wa Daudi kunyimwa Ufalme kwa sababu ya kuabudu Miungu mingine..
Kuabudi miungu mingine na kusema hakuna Mungu ni vitu viwili tofauti..

Ni sawa na kusema kunywa maji na kutokula kabisa..

Budha ni Dini ilikuwepo kabla ya dini Nyingi za Mashariki pengine kuliko hata Dini za Kimisri na Kisameria..

Nahisi ikitoka Dini ya Kisameria inaweza ikafata budha kwa dini za zamani..

HAdithi au Story za Samerian nyingi ziliingizwa kwenye Biblia na Dini ya kikristo kama Nuhu,Uumbaji wa Chavah(Hawa nk)

Swali ulilouliza..
Kuhusu Atheist kukosa ushawishi pengine naweza nikawa sio mtu sahihi wa kulijibu kutokana na kuwa mimi sio mmoja wa atheist ila nachojua ninkwamba hakuna kazi ngumu kama kumtoa mtu aliyepata ushawishi vizazi mpaka vizazi..

Kwa mfano ni vigumu sana kuniamini nikikuambia huyo baba au mama uliyenaye sio mama yako au sio baba yako nafikiri unaweza hata kuniua nikikuambia hivyo but huenda ni ukweli ila ni kitu ambacho hata kama ni ukweli hutotaka kuusikia ..
Atheist ni idea ya Western dhidi ya dini ya zilizotoka Asia walikataa ,bahati mbaya hizo dini zinabamba mpaka leo huko kwao.

Atheist wengi waliingia kweny dini ,kuliko watu wa dini walioingia kweny Atheist

View: https://www.reddit.com/r/AskHistorians/comments/1qwmqd/when_was_the_first_account_of_atheism_in_history/?rdt=63139
 
Facts zipi ? Una facts gani au wewe una akili kushinda watu wote duniani?

Ebu tuonyeshe uwezo wako , kielimu umefanya nn ? Kiuchumi uko wapi?

Unaongelea wajinga ,je kama wewe ndio mjinga unajua hilo.!
Wewe mvaa kobazi dini yako imesaidia nini zaidi ya kuabudu madubwasha ya kibox kama wehu mliorukwa akili?
 
Najibiwa sana na Mwenyeezi Mungu sijawahi kuamka saa 8 usiku au saa 9 nisali nimlilie Mungu asinijibu sio kweli hata mchana kabla ya kufanya lolote nasali namuomba Mungu asimamie jambo langu Wallah linakuwa hapo hapo namuomba Mungu bwana ww mabwana mfalme wa mbinguni na ardhini yeye ndo tunamuabudu na kumuomba.
mental illness hii
 
Wewe mvaa kobazi dini yako imesaidia nini zaidi ya kuabudu madubwasha ya kibox kama wehu mliorukwa akili?
😂😂😂Wewe upinde onyesha mafanikio yako ili tujue kwamba una akili ,kama hujui hata marekani kuna mataahira yanaongea kingereza.

Usipanic ! Fanya kujibu kwanza...Basi chizi hajitambui hata kidogo .

Dunia haiwezi kuvumilia ujinga kama bahati vile haiwezi kukaa na uchafu kwa kudhibitisha hilo,atheist ndio mnaongoza kwa kujiua.
 
Uwezo wako mdogo sana kuelewa.

NIMESEMA SIJIBU SWALA LAKO KWA SABABU HAUJANIJIBU NILICHOKUULIZA. KAMA WEWE HAUJIBU MASWALI YANGU KWA NINI UNATAKA MIMI NIKUJIBU.???????????

Pumzika kama huna jibu
Una unda definition uchwara za huyo Mungu halafu ukiulizwa maswali unaanza Viroja na kubwabwaja bwabwaja...

Naku uliza hivi, kulingana na Definition yako ya kwamba "Mungu ni uhai" huyo Jehova wanyonyi alivyokufa anabaki kuitwa Mungu?

Kama anabaki kuitwa Mungu, Huoni kwamba ume kwenda kinyume na definition yako uliyo toa mwenyewe kwamba Mungu ni uhai?
 
Mbona kama unalazimisha watu waamini unachotaka , wewe una kitu gani mpaka watu wakuamini unayosem?

Mpaka unakufa hakuna mtu anafuata upuuzi wako.

Mwenye akili hutoa elimu ,sasa wewe unapigia debe imani yako ,ukiulizwa maswali utakimbia ndip tatizo lenu bado mko wachache kw vile hamna ushawishi.
umeandika kimihemko sana , akili yako umeinyima uhuru , bado upo gizan
 
Una unda definition uchwara za huyo Mungu halafu ukiulizwa maswali unaanza Viroja na kubwabwaja bwabwaja...

Naku uliza hivi, kulingana na Definition yako ya kwamba "Mungu ni uhai" huyo Jehova wanyonyi alivyokufa anabaki kuitwa Mungu?

Kama anabaki kuitwa Mungu, Huoni kwamba ume kwenda kinyume na definition yako uliyo toa mwenyewe kwamba Mungu ni uhai?
Ndio uelewa wako umeishia hapo.
Kila la heri.
 
Mbon unakosa msimamo ,we si mtu wa kutetea ugalatia[emoji1787]
kwama tuna miaka 2000 kwann hizi dini zimekuja huki afrika miaka 500 iliyopita je mungu hakujuwa uwepo wetu miaka 1500 yote hii ? tunaabudu MASANAMU / MIZIMU YA WENZETU
 
😂😂😂Wewe upinde onyesha mafanikio yako ili tujue kwamba una akili ,kama hujui hata marekani kuna mataahira yanaongea kingereza.

Usipanic ! Fanya kujibu kwanza...Basi chizi hajitambui hata kidogo .

Dunia haiwezi kuvumilia ujinga kama bahati vile haiwezi kukaa na uchafu kwa kudhibitisha hilo,atheist ndio mnaongoza kwa kujiua.
Wewe mvaa kobazi, unatoka nje ya mada ya Mungu unataka tuzungumze mafanikio yangu.

Inaonyesha huelewi hata kiini cha mada kwa vile ume wehuka na hujui hata mada inahusu nini.
 
kwama tuna miaka 2000 kwann hizi dini zimekuja huki afrika miaka 500 iliyopita je mungu hakujuwa uwepo wetu miaka 1500 yote hii ? tunaabudu MASANAMU / MIZIMU YA WENZETU
Kwa nn hizo dini zipo ? Mpaka sasa mpaka unakufa zinaendelea ..

Ina kutoka Asia mpaka kufikia mabara yote ni kufika mabara yote .
 
Wewe mvaa kobazi, unatoka nje ya mada ya Mungu unataka tuzungumze mafanikio yangu.

Inaonyesha huelewi hata kiini cha mada kwa vile ume wehuka na hujui hata mada inahusu nini.
Mjinga hauna mafanikio hakuna mtu unaweza kumshawishi huo ujinga wako...Kama umeshindwa kupata mafanikio kwa ujinga wako unaoamini😂
 
Back
Top Bottom