Unajicontradict sana..!
Kuamini kwa Mungu,Miungu ,Mizimu yote Huitwa Deities Believe..
Haijalishi unaamini nini..kati ya Hivyo..
Ila nilichotaka kukuonyesga ni kuwa Atheist ilikuwepo toka zamani..
Walikuwepo watu wanaoamini Miungu mingine wao hawakuitwa Watu wanaosema hakuna Mungu..Kulikuwa na Miungu mingu ya Samria na mingine ya kigeni mingi tu..
Na naona unataka kupotosha kuwa walipinga miungu ya Daudi no..waliopinga Miungu ya Daudi walifahamika Na hata hiyo ndo ilikuwa sababu ya Suleiman kutawala na watoto wengine wa Daudi kunyimwa Ufalme kwa sababu ya kuabudu Miungu mingine..
Kuabudi miungu mingine na kusema hakuna Mungu ni vitu viwili tofauti..
Ni sawa na kusema kunywa maji na kutokula kabisa..
Budha ni Dini ilikuwepo kabla ya dini Nyingi za Mashariki pengine kuliko hata Dini za Kimisri na Kisameria..
Nahisi ikitoka Dini ya Kisameria inaweza ikafata budha kwa dini za zamani..
HAdithi au Story za Samerian nyingi ziliingizwa kwenye Biblia na Dini ya kikristo kama Nuhu,Uumbaji wa Chavah(Hawa nk)
Swali ulilouliza..
Kuhusu Atheist kukosa ushawishi pengine naweza nikawa sio mtu sahihi wa kulijibu kutokana na kuwa mimi sio mmoja wa atheist ila nachojua ninkwamba hakuna kazi ngumu kama kumtoa mtu aliyepata ushawishi vizazi mpaka vizazi..
Kwa mfano ni vigumu sana kuniamini nikikuambia huyo baba au mama uliyenaye sio mama yako au sio baba yako nafikiri unaweza hata kuniua nikikuambia hivyo but huenda ni ukweli ila ni kitu ambacho hata kama ni ukweli hutotaka kuusikia ..