Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF.
CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20 tokea sasa.
Imechukua siku 20 tu CCM kuivunja ACT-Wazalendo vipande viwili na kumnasa Zitto Kabwe mjanja kwenye Tundu Bovu.
Ukweli Mchungu ACT-Wazalendo hawana nafasi ya kupata Mbunge hata mmoja upande wa Bara na visiwani wamekatwa nako hali si shwari.
Baada ya Uchaguzi Turudi hapa Kujibu hili swali.
Ni Maalim au Lipumba aliyeiua CUF?
Tamaa ya Zitto Kabwe imefanya Taifa tumpoteze Kijana Kwa Msongo wa Mawazo.