Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini hiki??? Ninachoona ni Matapeli wawili wa dini na siasa wakiwa na askofu katolikiUtaelewa tuu bado siku 36
View attachment 1577370
Zetu dua tuu
Hatuko tayari kuwekwa ramani sisi na madini yetu
Wala hatupo tayari kuwahimiza watoto wetu kuwa na wenzi wa jinsia moja
Na hatuko tayari kuvuruga amani ya nchi iliyojengwa kwa miaka zaidi ya 50
Uongo na propaganda za Tundu huzioni mkuu? Au ndio kipofoKizazi hiki cha leo kilichojaa wasomi hakiwezi kukalishwa na propaganda za kijinga kama hizi, nenda page ya Millard ayo amempost Jiwe akipinga hoja ya Majimbo, kasome comments utapata picha
Hao wote ni makada wa ccm.Utaelewa tuu bado siku 36
View attachment 1577370
Mkuu samahani lakini kama ntakukwaza,ccm ndo imetufikisha hapa tulipo,Elimu duni,maisha magumu,unafanya kazi kwa bidii lakini serikali hyohyo inakunyang,anya hata hicho kidogo kwa kupitia TRA.kama mwenye PhD hana uwezo Wa kujieleza je sisi la saba B,mfumo Wa elimu ni mbovu sana huwezi kujilinganisha na wenzetu ndani ya east Africa,ngoja nikupe mfano!Upinzani ulishakufa tangu 2015. Bado chama cha kuitikisa CCM, hakijazaliwa bado. Chadema saccos Ltd, hawa ni wazee wa matukio hata ilani yao ni magumashi tu. Wekeni mfano wa democrasia na maendeleo, kwenye saccos yenu kwanza ndio watanzania wanaweza kuwa amini.
Zetu dua tuu
Hatuko tayari kuwekwa ramani sisi na madini yetu
Wala hatupo tayari kuwahimiza watoto wetu kuwa na wenzi wa jinsia moja
Na hatuko tayari kuvuruga amani ya nchi iliyojengwa kwa miaka zaidi ya 50
Umeandika kwa uchungu sana kwa sababu CCM ndio waliokufikisha hapo.CCM kama chama kina hodhi DOLA yote. Vyombo muhimu vya dola vipo kwa interest ya CHAMA (kumlinda Mwenyekiti) na si Nchi.
The Party is bigger than the State. Hata TISS, wapo ku-serve interests za Chama/Party na si Nchi/State. Ndiyo maana yoyote anayeshindana na Chama anashughulikiwa na DOLA. Katibu Mkuu wa CCM ana nguvu kuliko RPC au hata IGP.
Kubadili huu mfumo vyama vya upinzani haviwezi. Inahitaji atokee kiongozi mwenye uelewa na busara kutambua huo mfumo hauna manufaa na kuuvunja au wananchi wafanye mass protests.
CCM bila DOLA ni nyepesi kuliko ACT.
Amani bila haki ni sawa na nchi kuongozwa na mtu kama Jiwe.Zetu dua tuu
Hatuko tayari kuwekwa ramani sisi na madini yetu
Wala hatupo tayari kuwahimiza watoto wetu kuwa na wenzi wa jinsia moja
Na hatuko tayari kuvuruga amani ya nchi iliyojengwa kwa miaka zaidi ya 50
Kweli wewe ni Mataga, sasa mbona umekimbia hoja?Niko nawasaidia wananchi wenye mapenzi mema kwa nchi yao, hapa bukoba nimesaidia100 kwa leo...
Umeamkaje comred?🤣🤣🤣🤣Huu mguu leo sitolala.dah,,ee Mungu nipe vitu vizurivizuri kama hivi niendelee kutafuna.
Hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumiAmani bila haki ni sawa na nchi kuongozwa na mtu kama Jiwe.
Mwaga pombe twende na Mh Lissu 2020
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
CCM kama chama kina hodhi DOLA yote. Vyombo muhimu vya dola vipo kwa interest ya CHAMA (kumlinda Mwenyekiti) na si Nchi.
The Party is bigger than the State. Hata TISS, wapo ku-serve interests za Chama/Party na si Nchi/State. Ndiyo maana yoyote anayeshindana na Chama anashughulikiwa na DOLA. Katibu Mkuu wa CCM ana nguvu kuliko RPC au hata IGP.
Kubadili huu mfumo vyama vya upinzani haviwezi. Inahitaji atokee kiongozi mwenye uelewa na busara kutambua huo mfumo hauna manufaa na kuuvunja au wananchi wafanye mass protests.
CCM bila DOLA ni nyepesi kuliko ACT.
Mmechanganyikiwa sana baada ya kupeleka fedha za walipakodi Chato kujenga uwanja
Mmechanganyikiwa sana baada ya kupeleka fedha za walipakodi Chato kujenga uwanja
😂😂😂Tena mie napendekeza uitwe Magufuli intnl. Airport ili wengi wetu tujitambue!.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Chongeni weee muungano nilazima mnatoka mwaka huu mnajisemesha ilimturudishe nyuma zzk shikia hapohapoMwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF.
CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20 tokea sasa.
Imechukua siku 20 tu CCM kuivunja ACT-Wazalendo vipande viwili na kumnasa Zitto Kabwe mjanja kwenye Tundu Bovu.
Ukweli Mchungu ACT-Wazalendo hawana nafasi ya kupata Mbunge hata mmoja upande wa Bara na visiwani wamekatwa nako hali si shwari.
Baada ya Uchaguzi Turudi hapa Kujibu hili swali.
Ni Maalim au Lipumba aliyeiua CUF?
Tamaa ya Zitto Kabwe imefanya Taifa tumpoteze Kijana Kwa Msongo wa Mawazo.