Vipi upo mkuu?Ramli chonganishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi upo mkuu?Ramli chonganishi
hahahaVipi upo mkuu?
CCM kama chama kina hodhi DOLA yote. Vyombo muhimu vya dola vipo kwa interest ya CHAMA (kumlinda Mwenyekiti) na si Nchi.
The Party is bigger than the State. Hata TISS, wapo ku-serve interests za Chama/Party na si Nchi/State. Ndiyo maana yoyote anayeshindana na Chama anashughulikiwa na DOLA. Katibu Mkuu wa CCM ana nguvu kuliko RPC au hata IGP.
Kubadili huu mfumo vyama vya upinzani haviwezi. Inahitaji atokee kiongozi mwenye uelewa na busara kutambua huo mfumo hauna manufaa na kuuvunja au wananchi wafanye mass protests.
CCM bila DOLA ni nyepesi kuliko ACT.
List ya wabunge ilikwisha pangwa na muhusika kabla ya uchaguzi na ndiyo sababu mama Samoa alisema hata mkichaguliwa CCM ndiyo itaunda serikali, maneno hayo yangesemwa na upinzani angesimamishwa kwa kuingilia uchaguzi. CCM inabebwa na mabavu ya serikali na polisi, vinginevyo ni lakini kama uji wa mtoto.Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF.
CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20 tokea sasa.
Imechukua siku 20 tu CCM kuivunja ACT-Wazalendo vipande viwili na kumnasa Zitto Kabwe mjanja kwenye Tundu Bovu.
Ukweli Mchungu ACT-Wazalendo hawana nafasi ya kupata Mbunge hata mmoja upande wa Bara na visiwani wamekatwa nako hali si shwari.
Baada ya Uchaguzi Turudi hapa Kujibu hili swali.
Ni Maalim au Lipumba aliyeiua CUF?
Tamaa ya Zitto Kabwe imefanya Taifa tumpoteze Kijana Kwa Msongo wa Mawazo.
Kuna takataka wako too focused kubiff na Zitto kuliko hata shetani.Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF.
CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20 tokea sasa.
Imechukua siku 20 tu CCM kuivunja ACT-Wazalendo vipande viwili na kumnasa Zitto Kabwe mjanja kwenye Tundu Bovu.
Ukweli Mchungu ACT-Wazalendo hawana nafasi ya kupata Mbunge hata mmoja upande wa Bara na visiwani wamekatwa nako hali si shwari.
Baada ya Uchaguzi Turudi hapa Kujibu hili swali.
Ni Maalim au Lipumba aliyeiua CUF?
Tamaa ya Zitto Kabwe imefanya Taifa tumpoteze Kijana Kwa Msongo wa Mawazo.
Vipi umeona walivyokunyoosha mkuu?