Huu ni uzi wangu wa September niliposema kuwa ACT imegawanyika vipande viwili ACT (Maalim) waliokimbia CUF na ACT watakaona Membe angewasadia kupata kura za ushindi Majimbo ya Kusini ambayo CUF wamefanya vizuri.
ACT waliamini ni chama kinachoweza kuwa mbadala wa CDM na kupata angalau wabunge Zanzibar, lakini matokeo yake ni Aibu ya Karne na Baada ya Uchaguzi huu CUF imebaki na nguvu kidogo wakati CDM inapambana isife kabisa licha ya kuwa na mtaji wa watu, wakati huo ACT itakutana na mgogoro mkubwa ndani ya Chama.
Katika Urais nafasi ya Tatu ya Urais basi ni ushindani kati ya ACT, CUF na CHAUMA.
Mwisho kama CCM itaendelea Kuwa moja kama sasa 2025 itakuwa inashindana na vyama vidogo sana. Ushauri wangu CDM wasibishane wala kutaka kuoenekana wanajua kuliko Wananchi wa Watanzania na waamue Kubaidili(Reform) Sera ya Chama chao kutoka kuwa chama cha Kibepari na kuwa Social democrat kama CCM
Wisho Tanzania rasmi ni defacto One party State, Na China inavoimarika Nchi nyingi za Africa Tanzania ndio itakuwa Mfano wao wa Dhahabu.