Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Mwenye masikio na asikieAaah... Ni mapema bado kuisemea ACT ngojaa wachukue zanzibar ndo utasema imekufa au lah
Kabisaaa...Mwenye masikio na asikie
Shallow mindedZetu dua tuu
Hatuko tayari kuwekwa ramani sisi na madini yetu
Wala hatupo tayari kuwahimiza watoto wetu kuwa na wenzi wa jinsia moja
Na hatuko tayari kuvuruga amani ya nchi iliyojengwa kwa miaka zaidi ya 50
Bora hiyo shallow, kuliko wetabula rasa kabisaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Shallow minded
Mmechanganyikiwa sana baada ya kupeleka fedha za walipakodi Chato kujenga uwanjaZetu dua tuu
Hatuko tayari kuwekwa ramani sisi na madini yetu
Wala hatupo tayari kuwahimiza watoto wetu kuwa na wenzi wa jinsia moja
Na hatuko tayari kuvuruga amani ya nchi iliyojengwa kwa miaka zaidi ya 50
Kama hiyo ya chato inawauma sijui ya October 28 itawafanyaje!?Mmechanganyikiwa sana baada ya kupeleka fedha za walipakodi Chato kujenga uwanja
Kwani Oktoba 28 unajua itatokea nini?? Tanzania inajua Magufuli anaenda kustaafishwa rasmi!Kama hiyo ya chato inawauma sijui ya October 28 itawafanyaje!?
Watanzania hatuko tayari kuwekwa rehani pamoja na mali zetu. Heri tukajenge na kwako kama unataka
Kasome ilani yako ya uchaguzi ndio ujue unakopelekwa, vinginevyo subiri october 28Kwani October 28 unajua itatokea nini?? Tanzania inajua magufuli anaenda kustaafishwa rasmi!
Embu fafanua utawekuwekwaje rehani ??unamaanisha nini? Tuanzie hapo?
Nimeisoma sijaona sehemu ya wananch kuwekwa rehani. Embu nisaidie basiKasome ilani yako ya uchaguzi ndio ujue unakopelekwa, vinginevyo subiri october 28
Na hapo ndio utajua hujui
Niko nawasaidia wananchi wenye mapenzi mema kwa nchi yao, hapa bukoba nimesaidia100 kwa leo...Nimeisoma sijaona sehemu ya wananch kuwekwa rehani. Embu nisaidie basi
Mbona hueleweki??? Ndo umeikimbia hoja yako nini???πππNiko nawasaidia wananchi wenye mapenzi mema kwa nchi yao, hapa bukoba nimesaidia100 kwa leo...
Utaelewa tuu bado siku 36Mbona hueleweki??? Ndo umeikimbia hoja yako nini???πππ