Uchaguzi 2020 Ukweli Mchungu: CCM is too complicated kwa Vyama vyetu vya Upinzani

Kizazi hiki cha leo kilichojaa wasomi hakiwezi kukalishwa na propaganda za kijinga kama hizi, nenda page ya Millard ayo amempost Jiwe akipinga hoja ya Majimbo, kasome comments utapata picha
Zetu dua tuu
Hatuko tayari kuwekwa ramani sisi na madini yetu
Wala hatupo tayari kuwahimiza watoto wetu kuwa na wenzi wa jinsia moja
Na hatuko tayari kuvuruga amani ya nchi iliyojengwa kwa miaka zaidi ya 50
 
Kizazi hiki cha leo kilichojaa wasomi hakiwezi kukalishwa na propaganda za kijinga kama hizi, nenda page ya Millard ayo amempost Jiwe akipinga hoja ya Majimbo, kasome comments utapata picha
Uongo na propaganda za Tundu huzioni mkuu? Au ndio kipofo
Your browser is not able to display this video.

unamuona chongo?
 
Mkuu samahani lakini kama ntakukwaza,ccm ndo imetufikisha hapa tulipo,Elimu duni,maisha magumu,unafanya kazi kwa bidii lakini serikali hyohyo inakunyang,anya hata hicho kidogo kwa kupitia TRA.kama mwenye PhD hana uwezo Wa kujieleza je sisi la saba B,mfumo Wa elimu ni mbovu sana huwezi kujilinganisha na wenzetu ndani ya east Africa,ngoja nikupe mfano!
Your browser is not able to display this video.
 
Ila kuibiwa 2.7 trillions ni sawa tu! Bado tuna safari ndefu sana ya kukomboa fikra za Watanzania.

Zetu dua tuu
Hatuko tayari kuwekwa ramani sisi na madini yetu
Wala hatupo tayari kuwahimiza watoto wetu kuwa na wenzi wa jinsia moja
Na hatuko tayari kuvuruga amani ya nchi iliyojengwa kwa miaka zaidi ya 50
 
Umeandika kwa uchungu sana kwa sababu CCM ndio waliokufikisha hapo.

BTW nimeambiwa kwamba kuna bubu ataka kusema leo amechelewa kwenda kuosha vibibi vya kithungu kule Marekani.
 
Zetu dua tuu
Hatuko tayari kuwekwa ramani sisi na madini yetu
Wala hatupo tayari kuwahimiza watoto wetu kuwa na wenzi wa jinsia moja
Na hatuko tayari kuvuruga amani ya nchi iliyojengwa kwa miaka zaidi ya 50
Amani bila haki ni sawa na nchi kuongozwa na mtu kama Jiwe.
Mwaga pombe twende na Mh Lissu 2020

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hivi bado unayaishi maisha ya mkwere ya ku protest ndugu?. Tafuta kazi ya kufanya nakusihi kwani hilo hutapata atakayekuunga mkono. Kama ulikuwa hujaelewa asilimia kubwa ya waliokuwa wanaandamana ni mama lishe na machinga kwa kunyimwa eneo huru la kujitaftia Rizk pamoja na kutozwa tozo zisizo na mantiki, now hilo halipo,wataachaje shuhuli zao kwa manufaa ya Saccos zenu tena?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Usicheke ndugu, hamna viumbe wataalam wa "Kujizima Data" kama wa Tz, Mkwere alijitengenezea 'ki lami chake' kwa kisingizio cha kuchepusha foleni chalinze watu kimyaa!. Wengi humu tu wasafiri muda mwingi, ni lini kumekuwepo na foleni ya kutisha pale kona ya Chalinze?. Leo hii mtu anaponda tu kisa hampendi mtekelezaji.
 
Chongeni weee muungano nilazima mnatoka mwaka huu mnajisemesha ilimturudishe nyuma zzk shikia hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…