Uchaguzi 2020 Ukweli Mchungu: CCM is too complicated kwa Vyama vyetu vya Upinzani

Mjadala umefungwa.
 
List ya wabunge ilikwisha pangwa na muhusika kabla ya uchaguzi na ndiyo sababu mama Samoa alisema hata mkichaguliwa CCM ndiyo itaunda serikali, maneno hayo yangesemwa na upinzani angesimamishwa kwa kuingilia uchaguzi. CCM inabebwa na mabavu ya serikali na polisi, vinginevyo ni lakini kama uji wa mtoto.
 
Kuna takataka wako too focused kubiff na Zitto kuliko hata shetani.

#MaviMatupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…