Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Kwamba
 
WATOTO MNAOWAZARAU BABA ZENU KUNA SIKU NANYINYI MTAKUWA AKINA BABA,,,,,DADA UNATOKA NA MME WAMTU MNGU AKUJALIE MME NDO UTAJUA USAHIHI WA KILE ULIKUWA UNAKIFANYA,,,,,,ikisimama ogeni maji ya baridi ilale,,,,,mapenzi yatawaua mbwa nyinyi
 
100%

Lakini msimistake aina hii ya wanaume na ambayo mleta mada anataka wanaume wawe. Kuna wanaume wanajua exactly wanachotaka, wanajua jinsi ya kusimamia uanaume wao, hawapelekeshwi ovyo na wanatimiza majukumu yao 90% na atadai haki ya mke atimize majukumu yake pia bila kumchekea.

Mwanaume mwenyewe maamuzi yake ya kiume not necessarily akawa mkatili, mpigaji, womanizer, irresponsible and the likes.
 
Ni kweli kabisa, yaani usawa upo kwenye mamlaka tu, ila kwenye majukumu wanataka yote abebe mwanaume, how? Kama ni. 50 kwa 50, basi kuanzia kujemga nyumba, ada za watoto, gharama za matumizi nyumbani nk. tutoe 50/ 50, sio natoa 100% halafu unataka tuwe na haki sawa, no way!! Na hapo nado nalipa house girl wa kulea watoto aliozaa yeye ili aweza kwenda kazini..

Beijing ilikuwa mkakati wa shetani kuvuruga taasisi ya familia..
 

You spit facts man.
 
Mademu wanapenda moto jama jama tuwapelekeeni moto tena huww mkali kuliko ule wa jehanum
 
Ndio maana ndoa ya CR7 imedumu Kwa sababu mzee anaishi kama hana make vile! Wife amekuwa na adabu Kwa CR7!
Vipi Messi ameoa demu wake wa utotoni na wana miaka zaidi ya 10 kwenye ndoa.

Binafsi siamini theories za mahusiano. Hakuna mtaalamu wa mapenzi na mahusiano. Ni kama mchezo wa BIKO
 
Hii comment itapendwa sana na wanawake. Kifupi nature ya Mapenzi ni kutokuwa na utaratibu. Haya mambo ya utaratibu tumeyaleta kwa ubinafsi wetu na ndio chanzo cha migogoro. Ingekuwa mpe - mtoe na hakuna habari za ndoa wala usiongeona matatizo.
 
Hivi shemej fai upo manhaj gan?

Salafy?

Qur aniyu?

Ahlu twariqa?

Ahlu shafy.?

Ahmadiya...?

Ahlu shigha Ally?

Na unaelimu gani?

Ibtadia?

Mubtadia?

Thanawi?

Diploma?

Degree?

Doctor...?

Ili nijue Kwanza nguvu z hoja zako

insha'Allah natumai utajibu kama ulivyoulizwa.

Wasalam
 
Hili ni moja kati ya bandiko bora kabisa nililowahi kusoma toka nimejiunga JF. Umeandika busara tupu Jombaa.

Ndoa ni very outdated institution. Asilimia kubwa ya watu wengi huingia huko kwa sababu ya social conformity.
 
Muislam mwanafunzi.
 
Una umri gani?this ila childish and foolish talk.
Acha kudisi watu unataka umri wangu ili iwaje hili ni jukwaa huru kama hutaki hoja za wengine pita hivi mzee.
Tunazungumza uhalisia wa kitaani wewe unaketa eti oooh mwanamke nae anahaki sujui blash blashi sikia mzee wanawake unaowazungumzia sijui wanahaki ni wale wa miaka ile ambao kwa sasa wana 50+ na kuendelea huko hawa wa sasa wanahitaji kupelekewa moto kama ule wa Elia sasa wewe jishaue hapa vijana wa kimongoli wapite na mkeo ndo utajua mtoa mada alilenga nini dadekiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…