Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Mwamba huwajui hawa viumbe, Mungu akufunulie uwaelewe vizuri. Isiombe akufunulie kwa majuto. Ila ukishupaza shingo atakufunulia kwa majuto.
 
Hebu angalia hapa jf wangapi ni platinum members na levels zingine .
Platinum ni wakuhesabu ,sawa na wenye kuweza wake wanne pia wapo na Kuna wasioweza hata huyo mmoja.
Equation still Bado haibalance,
 
Au asubiri siku mzee kitombile apite na mke wake, ndio ataliamini ili bandiko.
 
Sasa kwani tangia mwanzo sisi tunasema nini, si ndio hicho hicho ulichosema. Tatizo linakuja mtu anataka 50/ 50 wakati gharama zote za nyumbani na malezi ya watoto yanafanya na mwanaume, hadi kazi zake za ndani zinafanywq na house girl tena anaelipwa na mwanaume, na yeye pia anatunzwa kama mtoto ndani ya nyumba , halafu anataka 50/50 kwenye mamlaka na maamuzi, hapo ndio tunaongelea sisi.
 
Hata hiyo hit and run, au hiyo ya kumtreat mwanamke as a recreational instrument ni akili pia. Maana ukimtreat mwanamke kama mwenzao, au kama partner inakula kwako. So ili mahusiano yadumu, ni bora uwe hueleweki. Akizingua piga chini. Ukimkamata kacheat piga chin achana na mambo ya eti ndoa ndoa hadi kufa. Ni upumbavu na ujinga. Utazidi kuteseka hadi unaingia kaburini na itawaachia watoto wako na wazazi wako wakipata tabu kisa mwanamke.
 
Unafanya mazoezi gani na lishe gani? Maana kukaa dakika 30 itakuwa kuna namna.
Kula chakula cha kushiba kama unauzito.wa kilo 80 kula kilo tatu kila mlo, kula kuku mzima, mboga za majani, tangawizi, kitunguu swaumu, ugali wa mhogo au dona, piga mazoezi, kama jumping jack, plank, push ups, kegel,.......zingatia lishe kula 5% ya uzito wako protein ziwe nyingi, vaa pendeza jipende peleka moto ili chakula ukitendee haki..... Sijisifu mkuu naapa mbele ya mungu kama yupo, nauwezo wa kupanda kifuani kwa mwanamke zaidi ya saa moja mpka aseme imetosha.......utaniua......jama jama tuwapelekee moto tujipende hivi viumbe huwa vinafuata harufu ya K kwenye miili za wanaume wachakataji .
 
Shetani ana watu wake, ukiona hupitii masahibu ya dunia ya kukata tamaa ujue upo upande wa giza, ila ukiona dunia ni kama inakuangukia mateso ni mengi ujue upo upande wa Mungu na nguvu hiyo inapingana na nguvu za giza
Aisee kumbe, nipo upande wa Mungu ila I feel like giving up bro .
 
Wanawake huwa siwaelew na siitaji kuwaelewa me huwa nazielewa mbususu zao, kuanzia pale kiunoni adi kwenye mapaja ndio huwa napaelewa.
 
Kwanini hao wanawake hawaji kujitetea wenyewe mpaka utaje wanaume waache kuandika upande wao waandike pia kutetea upande wa wanawake kwani hili jukwaa la wanaume tu, watu Kama ninyi ndio munaopenda kutetea wanawake na kampeni zenu.
 
Hebu angalia hapa jf wangapi ni platinum members na levels zingine .
Platinum ni wakuhesabu ,sawa na wenye kuweza wake wanne pia wapo na Kuna wasioweza hata huyo mmoja.
Equation still Bado haibalance,
Sina uhakika kama ulikuwa unaelewa hesabu darasani mkuu, maana kama hesabu rahisi tu za kwenye maisha halisi kama hizo zinakupiga chenga, je zile za ubaoni ambazo unaona mwalimu anashuka tu formula huku anapiga blah blah si ulikuwa unaona maruweruwe tu
 
Sasa huo ndio unaitwa unyonyaji na mwanamke wa hivyo 50/50 inatakiwa isiwe hata part ya maongezi yake achilia mbali kupewa na mume wake, lakini pia mkuu wewe ndio wa kwanza nimeona una mtazamo huo wanaume wengi niliowahi kujadiliana nao kuhusu hilo huwa hawataki hivyo, wengi wanataka wake zao wawasaidie kutafuta pesa na kulipa bili na bado wafanye majukumu yao ya nyumbani kama kina mama whether mahousegirl wawepo au wasiwepo
 
Mi naona ni kinyume chake, hakuna mwanaume hata anaetaka mke wake afanye kazi. Wengi wetu tunatamani asili ya binadamu ichukue mkondo wake, mke akae ndani alee watoto na mume akatafute, full stop. Na pia kama ilivyo nature, jinsia ya kiume inapaswa kuwa na sauti na maamuzi zaidi. Ndio maana wanaume wanasauti nzito kiasili, why? Na wanawake wana sauti nyembamba , why?! Means kiasili mwanaume ndio kiongozi wa familia. Beijing imevuruga asili ya familia, ni mpango wa kishetani.
 
Mkuu kama hujakodiwa basi wewe pasina shaka yyte mwanamke ndio ana sauti hapo kwako. Ova.
 
Kila kitu unaanza na "Assume" najua siongei na binadamu Bali robot, kwani unaonesha unataka kuprove point zako Kwa data ambazo hata mjinga yeyote anajua
Wanamme hufa mapema zaidi na idadi ya wananke wanaozaliwa ni kubwa ,Bado hiyo haikufanyi kuona ,swala ni wengi kuliko simba
 
Brother umeandika sana ila hakuna kinachoeleweka umebaki kusema mwanamke anaonewa sijui mwanaume gari likiwa bovu yani irrelevant to mada, hujaeleza nini vyanzo vya ndoa nyingi kupitia masahibu mengi hujaeleza kwanini wanaume bora wababa bora kwanini wanateseka kwenye mahusiano ukilinganisha na wanaume watukutu , umekua mzito kuelewa jambo jepesiiiiiii umedandia vitu vingine
 
Mjomba hapa tunaongelea wanaume na wanawake hatuongelei simba wala swala, halafu hilo neno "assume" nimelitumia wapi tena zaidi ya mara moja tu tena ambapo nilikuwa siongelei takwimu au mwenzetu husomi kuelewa unasoma tu ili mradi ukimbilie kubisha, hizo takwimu nilizokupa ni za sensa ya mwaka jana sasa wewe hayo ya wanaume kufa mapema na wanawake kuzaliwa kwa idadi kubwa umeyatoa wapi na yameanza lini
 
Rational.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…