Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Misogynistic ni ~Hatred of, contempt for, or prejudice against women. β–Ό show
 
Mataifa ya ulaya kama wangekuwa wana ziheshimu ndoa wasingekuwa na rate kubwa ya talaka na single parent, hata rate ya ndoa ulaya inazidi kupungua kila mwaka.
 
Vipi Messi ameoa demu wake wa utotoni na wana miaka zaidi ya 10 kwenye ndoa.

Binafsi siamini theories za mahusiano. Hakuna mtaalamu wa mapenzi na mahusiano. Ni kama mchezo wa BIKO
Masupastaa wengi walio waoa mademu zao walikuwa nao utotoni, wengi ndoa zao zimedumu mfano Messi,Lebron, Snoop Dogg na wengineo wengi.Sababu moja mademu zao waliwavumilia,kipindi wanahustle kutafuta,zile up and down walishare wote na ndio maana ni rahisi kwao kudumu.

Ila demu wa kudate nae ushapata umarufu au upo vizuri kiuchumi mara nyingi wanafuata hela,sababu wanajua kuna mgawanyo wa mali plus Alimony.Ndio maana kuna trend ya masupastaa wengi hawataki ndoa ila wanazalisha basi,anatunza mtoto.
 
Hahahahahah sawa kuwa bold sio lazma mtu awe katili ila ni kuhusu checks and balances.

Kuna vitu Alpha males hawezi fanya navyo ni kuwa Mushy in any way. Yani kubembeleza kwingi huwa hakunaga, its either unataka ama hutaki then kila mtu anafanya mambo yake.
 
Nmeishia kwenye bikra, Kumbe hainihusu hii

Nmezalisha nliemtoa bikra me mwenyewe,

Kuhusu ndoa hapo sijajua, Ila anytime atakaa ndani.
 
Mringie, Mhairishe mara mbili au tatu mfululizo then onana nae akiwa anakaribia kukata tamaa ya kutolewa out na wewe.
 
Muhimbili
 
Hata sisi tunapenda hivyo. Ila unakuta kwenye familia watu wamezaliwa wanawake watupu, mtoto wa kike atahudumiaje familia yake ikiwa anakaa ndani analea tu? Pili watoto wanasomeshwa, unakuja kumkuta mkeo tayari anafanya kazi sasa inakuwaje ukataka abaki ndani alee watoto
 
Daah, my thoughts exactly !! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜…

Nina mke huu mwaka wa 7, na watoto watatu juu, ila i will never give her a guarantee ya ndoa kanisani, never, i always keep her on edge, kwamba akizingua anakwenda na maji...
Apo akizingua anakwenda na maji, ni kwamba hao watoto watabaki na nani mkuu?? Watoto watatu
 
Apo akizingua anakwenda na maji, ni kwamba hao watoto watabaki na nani mkuu?? Watoto watatu
Elewa sentensi (comprehension). Lengo ni kumfanya aamini hivyo, ila in actuality i never intend to let her go.., never.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…