Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Misogynistic sio Mwanaume mwenye chuki na wanawake, ni mwanaume anayeona men are superior to women, hizo ni definition mbili tofauti.


Women don't hate nice guys, women look down on nice guys(these are two different things) na Huwez amini kwamba hichi kitu ni kweli, women love bad boys, period. Sasa ww unataka kubishana na wanawake wenyew?
Misogynistic ni ~Hatred of, contempt for, or prejudice against women. ▼ show
 
Umetumia muda mwingi sana kumzungumzia mwanamke na wala sio huyo mbaba au mume bora,zaidi lengo lako lilikua kuponda ndoa za wazungu,nikueleze tu wazungu wanajitambua ndio mana mataifa yao yameendelea sana,wanaheshimu ndoa na maamuzi kati yao,sio ubabe na ujinga wa ndoa za kiafrika.
Mataifa ya ulaya kama wangekuwa wana ziheshimu ndoa wasingekuwa na rate kubwa ya talaka na single parent, hata rate ya ndoa ulaya inazidi kupungua kila mwaka.
 
Vipi Messi ameoa demu wake wa utotoni na wana miaka zaidi ya 10 kwenye ndoa.

Binafsi siamini theories za mahusiano. Hakuna mtaalamu wa mapenzi na mahusiano. Ni kama mchezo wa BIKO
Masupastaa wengi walio waoa mademu zao walikuwa nao utotoni, wengi ndoa zao zimedumu mfano Messi,Lebron, Snoop Dogg na wengineo wengi.Sababu moja mademu zao waliwavumilia,kipindi wanahustle kutafuta,zile up and down walishare wote na ndio maana ni rahisi kwao kudumu.

Ila demu wa kudate nae ushapata umarufu au upo vizuri kiuchumi mara nyingi wanafuata hela,sababu wanajua kuna mgawanyo wa mali plus Alimony.Ndio maana kuna trend ya masupastaa wengi hawataki ndoa ila wanazalisha basi,anatunza mtoto.
 
100%

Lakini msimistake aina hii ya wanaume na ambayo mleta mada anataka wanaume wawe. Kuna wanaume wanajua exactly wanachotaka, wanajua jinsi ya kusimamia uanaume wao, hawapelekeshwi ovyo na wanatimiza majukumu yao 90% na atadai haki ya mke atimize majukumu yake pia bila kumchekea.

Mwanaume mwenyewe maamuzi yake ya kiume not necessarily akawa mkatili, mpigaji, womanizer, irresponsible and the likes.
Hahahahahah sawa kuwa bold sio lazma mtu awe katili ila ni kuhusu checks and balances.

Kuna vitu Alpha males hawezi fanya navyo ni kuwa Mushy in any way. Yani kubembeleza kwingi huwa hakunaga, its either unataka ama hutaki then kila mtu anafanya mambo yake.
 
Nmeishia kwenye bikra, Kumbe hainihusu hii

Nmezalisha nliemtoa bikra me mwenyewe,

Kuhusu ndoa hapo sijajua, Ila anytime atakaa ndani.
 
Aisee daaah nondo tupu ila ushauri wako unanifanya ni cancel mambo mengi sana aisee.

Mfano, Kuna demu flani kesho kaniomba nimtoe out tupate angalau muda wa kukutana na kuongea mawili matatu, ila huyu demu nishamgonga mara nyingi tuu, sasa as per what you said, kama nishamtumia nikiendelea kumtoa out maana yake ataendelea kunidharau sio?
Mringie, Mhairishe mara mbili au tatu mfululizo then onana nae akiwa anakaribia kukata tamaa ya kutolewa out na wewe.
 
Mjomba hapa tunaongelea wanaume na wanawake hatuongelei simba wala swala, halafu hilo neno "assume" nimelitumia wapi tena zaidi ya mara moja tu tena ambapo nilikuwa siongelei takwimu au mwenzetu husomi kuelewa unasoma tu ili mradi ukimbilie kubisha, hizo takwimu nilizokupa ni za sensa ya mwaka jana sasa wewe hayo ya wanaume kufa mapema na wanawake kuzaliwa kwa idadi kubwa umeyatoa wapi na yameanza lini
Muhimbili
 
Mi naona ni kinyume chake, hakuna mwanaume hata anaetaka mke wake afanye kazi. Wengi wetu tunatamani asili ya binadamu ichukue mkondo wake, mke akae ndani alee watoto na mume akatafute, full stop. Na pia kama ilivyo nature, jinsia ya kiume inapaswa kuwa na sauti na maamuzi zaidi. Ndio maana wanaume wanasauti nzito kiasili, why? Na wanawake wana sauti nyembamba , why?! Means kiasili mwanaume ndio kiongozi wa familia. Beijing imevuruga asili ya familia, ni mpango wa kishetani.
Hata sisi tunapenda hivyo. Ila unakuta kwenye familia watu wamezaliwa wanawake watupu, mtoto wa kike atahudumiaje familia yake ikiwa anakaa ndani analea tu? Pili watoto wanasomeshwa, unakuja kumkuta mkeo tayari anafanya kazi sasa inakuwaje ukataka abaki ndani alee watoto
 
Daah, my thoughts exactly !! 😂😂😃😃😅

Nina mke huu mwaka wa 7, na watoto watatu juu, ila i will never give her a guarantee ya ndoa kanisani, never, i always keep her on edge, kwamba akizingua anakwenda na maji...
Apo akizingua anakwenda na maji, ni kwamba hao watoto watabaki na nani mkuu?? Watoto watatu
 
Apo akizingua anakwenda na maji, ni kwamba hao watoto watabaki na nani mkuu?? Watoto watatu
Elewa sentensi (comprehension). Lengo ni kumfanya aamini hivyo, ila in actuality i never intend to let her go.., never.
 
Back
Top Bottom