Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Nakazia [emoji419][emoji375]



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu
Kuishi nao kwa akili ndo mpango mzima
 
Mkuu hakuna viumbe wanao lindwa na sheria kama wanawake hasa kwa nchi za USA na Ulaya..

Just imagine ukimpiga mwanamke au kumtukana haijalishi yeye ndio anakosa unakamatwa na kufungwa Wewe.

USA kuna namba ya mapolisi 911, mke wako akipiga namba hii utajua hujui, Yani yeye ndio anasikilizwa kwanza.

Wewe utasikilizwa maoni yako ukiwa kwenye pingu au mahakamani, Haijalishi yeye mwanamke ndio mkosaji au wewe.

Feminism ni janga kubwa sana kwa nchi za ulaya kiasi kwamba hakuna mwanaume anatamani kuishi na mwanamke.kwenye ndoa ni Hit and run...

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 

Lakini ndio wanaotupa misaada sisi magaidi na majangiri wa kwenye ndoa na mahusiano,mwanamke naye ni kiumbe mwenye nafsi na utashi kama mwanaume kwanini kumkandamiza sana?wengi tumezaliwa na kulelewa na wazazi wetu wa kike malezi na makuzi yetu 90% yametoka kwa mama zetu,still bado hatumthamini mwanamke na tuko proud humu kumkandamiza na mumdharau mwanamke. Shame on you guys.
 

Una umri gani?this ila childish and foolish talk.
 
Ukisoma Hii post utagundua Taifa linateswa na Mapenzi kweli kweli

Ndio maana wadau tunasema hiki kipengele kiingizwe kwenye katiba ili kulilindabtaifa na kuongeza nguvu kazi isiyo na hofu hofu, hofu na msongo wa mawazo hata hadi kufa ndio watoto ambao huzaliwa baada ya mwanaume kua mume bora
 
Hivi sentence kama hii unazungumzia wanawake mnaowaokota tu huko mitaani kwa ajili ya kumalizia nyege zenu au unazungumzia mpaka wale mnaowaita WAKE zenu?

Bora hao wa kuokota mtaani kule, anakupa, unampa mnamalizana. Nazungumzia yule unaetaka kumuoa, au mkeo. Yaan mwanamke unaeweza kumpa attention na ukafikiria Kua ni mwenzako upange nae mipango kila kitu ajue.
 
Baadhi ni ya kweli baadhi ya Uongo
 
Huo ndiyo ukweli. Wanawake wapo hivi.
Ukimuuliza unampenda mwanaume wa aina gani? atakuambia awe muaminifu, mpole na anayempenda ila kiukweli mwanamke hapendi mwanaume wa aina hiyo.
Mwanamke anampenda bad guy kwasabb hujiona yupo salama zaidi
Hahahah mwanamke anapenda commander sio pleaser. Yani ukiwa mwanaume wa kutaka approval kwa kila kitu anaanza kukushusha vyeo.

Ukiwa mtu ambaye huwazi atajiskiaje we unampa orders tu jua atakupenda balaa. Yani onyesha tu kuwa hubabaishwi nae tu uone ambavyo ata bow down.
 
Swali nilim-quote Mizam na SIYO wewe. Naomba anijibu niliyem-quote.

Swali anajibu yoyote, muhimu uelewe ni wanawake wote. Awe malaya wa mtaani anaejiuza hadharani, au mwanamke uliemuweka ndani. Wote mama yao ni mmoja, tabia zao zinafanana toka enzi za Adamu na Hawa.

Hiv Hawa alikosa chakula hadi akale lile tunda? Jibu ni Ni.
Hiv Adam asinge mpa attention Hawa, si lingekua la kwake? Na pengine Mungu angetafuta namna na kumsamehe Adam. Ila alipompa attention tu! Unajua kilichotokea.
 
Tatizo hapo, tunaishi kwa ajili ya watu, hatuishi kwa ajili yetu.

Tunajiona kama tumejiumba wenyewe, hatutaki kutazama "instruction manual " ya muumba wetu. Tunafata ya watu.
Tatizo katika nyakati hizi mambo yamekuwa kama ilivyo tabiriwa na mitume na manabii kwamba nyakati za mwisho watu watakengeuka na kutofuata tena maagizo ya Mungu. Siku hizi wanao fuata maagizo ya Mungu ndio wanao onekana wajinga na dunia hii iliyo jaa ushetani ina waadhibu kwa kosa hilo la kufuata mambo ya Mungu. Hata mwanaume anae jaribu kuwa baba/bora anafuata maelekezo ya muumba lakini mwisho wa siku anakuwa punished kwa sababu hiyo..

Sasa hivi ukiokota pochi yenye milioni moja ukaenda kuripoti polisi kwamba umeokota pochi yenye kitambulisho na milioni moja, polisi wenyewe kwanza wanakupiga makofi na kukuweka ndani kabisa na mwenye pochi akija anakuongezea na kesi nyingine anasema pochi iliibiwa kwenye gari pamoja na laptop kwa hiyo useme na laptop ipo wapi...
 
Sahihi asilimia 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…